Utajiri ni rahisi kuupata ila masharti yake ni magumu

H
Unafikiri Mungu yupo pekeake?
Unadhani hakunà miungu wengine?

Ulinganifu unakuja Kwa sababu Mwanadamu ni mfano wa MUNGU.

Ukishasema mwanadamu ujue automatically umemtaja Mungu, unalijua hilo?

miungu ipo mingi Sana, Ila Mungu Tajiri namba moja, je naye ni Tapeli au dhulmat?
Hakuna kitu kama icho umepotea kabisa hakuzaa ,wala hakuzaliwa hizo ni sifa kuu za binadamu yeye hana na hana mshirika wowote kwa sura moja nimekupa fact ndo maana we ni wale waliopotea hana mshirika means hamna miungu anayo compete nayo yuko pekee
 
Kutoka 20:3
"Usiwe na miungu mingine ila mimi"

Hayo ni maneno ya MUNGU mkuu akiwaambia wana wa Israel ambayo hivi leo ni sehemu ya amri kumi za MUNGU.

Unaielewaje hiyo Aya?
 
Aliyekuambia kumchambua Mungu ni kukufuru ni Nani?

Unaweza Nipa nukuu popote pale?
Unaingia kwenye shirk kwa imani yetu waislamu mungu ukimlinganisha na chochet sijui mfano wa binadamu ni ushirikina huna tofauti na wanga wale waganga
 
Nipe Aya kutoka kwenye Quran achana na porojo za Masheikhe.

Mwanzo 1:26
Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.

Mwanzo 1:27
Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

Unazielewaje hizi Aya?
 
Tumia tu akili so mungu ni biandamu wacha wenge ngoja nikuletee haya inasema ivyo washarikina ilijulikan tu mtakuja kutokea
 
H

Hakuna kitu kama icho umepotea kabisa hakuzaa ,wala hakuzaliwa hizo ni sifa kuu za binadamu yeye hana na hana mshirika wowote kwa sura moja nimekupa fact ndo maana we ni wale waliopotea hana mshirika means hamna miungu anayo compete nayo yuko pekee

Mkuu nipe Rejea Kwa faida ya wanajukwaa.

Ila Kama ni maoni yako tuyachukulie Kama maoni.

Jambo unalokosea ni kuwa unaamini Mungu ni mmoja wakati huyo unayemuamini ni mmoja anakuambia kuna miungu wengine, ndio maana anakuambia usiabudu miungu mingine isipokuwa yeye.

Kusema hakuzaa Inategemea unamzungumzia mungu yupi!

Mambo haya yanahitaji uelewa kuliko maoni tuu
 
Akina Ibrahim Ayubu na Suleman, hakuna aliyejua asili ya utajiri wao, labda walitubu mwisho na kumrudia Mungu. Hata mtu wa misukule akitubu anasamehewa. Mtoa hoja nakuunga mkono, hakuna utajiri halali. Ni maujanga ya ajabu, mengine ni aibu sema tu ni Siri ya mhusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia tu akili so mungu ni biandamu wacha wenge ngoja nikuletee haya inasema ivyo washarikina ilijulikan tu mtakuja kutokea

😀😀

Nani kasema Mungu ni mwanadamu?

Ingawaje wapo wanadamu ni miungu,

Au walipewa sifa na kuitwa mungu
 
Akina Ibrahim Ayubu na Suleman, hakuna aliyejua asili ya utajiri wao, labda walitubu mwisho na kumrudia Mungu. Hata mtu wa misukule akitubu anasamehewa. Mtoa hoja nakuunga mkono, hakuna utajiri halali. Ni maujanga ya ajabu, mengine ni aibu sema tu ni Siri ya mhusika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Swali linakuja Tajiri namba moja "Mungu" ni Tapeli na dhulmat?

Ukijibu swali hilo mada itakuwa imeishia hapa
 
Tumia tu akili so mungu ni biandamu wacha wenge ngoja nikuletee haya inasema ivyo washarikina ilijulikan tu mtakuja kutokea

Kwa hiyo Kwa Uelewa wako

Allah ndiye Yahwe au Jehovah?
Kwa Uelewa Wako Buddha ndiye Baal
Kwa Uelewa wako Shinto ndiye Allah??

Ukijadili mambo haya usiendekeze Hisia,
 
Kwa hiyo Kwa Uelewa wako

Allah ndiye Yahwe au Jehovah?
Kwa Uelewa Wako Buddha ndiye Baal
Kwa Uelewa wako Shinto ndiye Allah??

Ukijadili mambo haya usiendekeze Hisia,
Sawa allah si kiarabu mbona hutumii akili mkuu 😂😂🤣🤣kaumbwa kwa mfano wa binadamu je yeye mungu ni taifa gani, jinsia, nywele

Hiyo unayoquoate hamna kitu na kama kuna mungu yuko ivyo basi sio mungu tunae muogopa ng'o

Usithubutu kumfananisha mungu na mambo ya ovyo
 
Kwa hiyo Kwa Uelewa wako

Allah ndiye Yahwe au Jehovah?
Kwa Uelewa Wako Buddha ndiye Baal
Kwa Uelewa wako Shinto ndiye Allah??

Ukijadili mambo haya usiendekeze Hisia,
We ushazoea kuandika na kutunga story na hizo aya ulizoandik umekariri ukushrikisha ubongo sisi tunaotumia akili hutudanganyu hata kidogo ndo kwa akili ndogo unaamini yesu alikuwa mungu akateswa na binadamu aliyewaumba akafa duh
 
Sawa allah si kiarabu mbona hutumii akili mkuu 😂😂🤣🤣kaumbwa kwa mfano wa binadamu je yeye mungu ni taifa gani, jinsia, nywele

Hiyo unayoquoate hamna kitu na kama kuna mungu yuko ivyo basi sio mungu tunae muogopa ng'o

Usithubutu kumfananisha mungu na mambo ya ovyo

Wewe ndio hutumii Akili.

Allah ni Mungu wa kiarabu hasa kabila la wakurdi.

Ukiangalia sheria za Allah na Jehovah zinafanana Kwa waumini wao Kama kweli ni Yule Yule mmoja?

Na unajua Mungu sio personal name isipokuwa ni Cheo Kama Vile Rais, Mfalme, Baba, Farao.

Ndio maana nikakuambia mambo haya lazima uwe na Uelewa mkubwa.

Mungu aliyetajwa kwenye kitabu cha Torati anaitwa Yahwe ndiye Mungu WA Wayahudi.

Huyo ndiye aliwaambia Wayahudi wasiabudu miungu mingine Kama akina Allah( mungu wa waarabu), Baal, Buddha, Shinto, na wengineo.

Usije ukadhani Allah ndiye Yehova utakuwa umekosea pakubwa.

Ni Kama useme "Rais" ambacho ni Cheo na sio personal name ni mmoja Duniani,
Na kumfananisha Rais wa Tanzania na Wakenya kuwa ni mmoja, utakuwa umevurugwa na kuonyesha huna Uelewa wowote na elimu za Dini.
 
We ushazoea kuandika na kutunga story na hizo aya ulizoandik umekariri ukushrikisha ubongo sisi tunaotumia akili hutudanganyu hata kidogo ndo kwa akili ndogo unaamini yesu alikuwa mungu akateswa na binadamu aliyewaumba akafa duh

Toa Aya watu wajifunze.

Wewe unasema Mungu ni mmoja wakati huo huo unayemuabudu anakuambia miungu ipo mingi huoni kama wewe ni hamnazo
 
Unauchambua utajiri wakati hujawahi kuwa tajiri
 
Wewe ndio hutumii Akili.

Allah ni Mungu wa kiarabu hasa kabila la wakurdi.

Ukiangalia sheria za Allah na Jehovah zinafanana Kwa waumini wao Kama kweli ni Yule Yule mmoja?

Na unajua Mungu sio personal name isipokuwa ni Cheo Kama Vile Rais, Mfalme, Baba, Farao.

Ndio maana nikakuambia mambo haya lazima uwe na Uelewa mkubwa.

Mungu aliyetajwa kwenye kitabu cha Torati anaitwa Yahwe ndiye Mungu WA Wayahudi.

Huyo ndiye aliwaambia Wayahudi wasiabudu miungu mingine Kama akina Allah( mungu wa waarabu), Baal, Buddha, Shinto, na wengineo.

Usije ukadhani Allah ndiye Yehova utakuwa umekosea pakubwa.

Ni Kama useme "Rais" ambacho ni Cheo na sio personal name ni mmoja Duniani,
Na kumfananisha Rais wa Tanzania na Wakenya kuwa ni mmoja, utakuwa umevurugwa na kuonyesha huna Uelewa wowote na elimu za Dini.
Ona sasa unajivunga 🤣🤣🤣allah ni kiarabu. Nyie mna miungu watatu means Gods nyie now washiriki kama wale wanaoroga kwish a
 
Toa Aya watu wajifunze.

Wewe unasema Mungu ni mmoja wakati huo huo unayemuabudu anakuambia miungu ipo mingi huoni kama wewe ni hamnazo
🤣🤣🙂🤣Hamna kitu kama icho mi hata umlete alikukaririsha nampa mifano haI tu anakimbia hayo maandiko yako sio ya mungu yaani umepotea we na wanaenda kwa mganga hamna tofauti sema hujajitambua tu
 
Swali linakuja Tajiri namba moja "Mungu" ni Tapeli na dhulmat?

Ukijibu swali hilo mada itakuwa imeishia hapa
Mambo ya Mungu yanatokea wapi kwenye mada ya binadamu?..Mtoa mada kaeleweka ila wewe ndo unataka kupindisha hoja yake kwakuingiza mambo yasiyohusika.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ona sasa unajivunga 🤣🤣🤣allah ni kiarabu. Nyie mna miungu watatu means Gods nyie now washiriki kama wale wanaoroga kwish a

Kama Allah maana yake ni mungu ambaye ni God Kwa kingereza nimekuambia
Neno "mungu"sio jina isipokuwa ni Cheo, Kama allah(Mungu) ni cheo naomba jina la mungu wa kiarabu

Jina la Mungu wa Waisrael hapo chini
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;

Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

Ungekuwa unatoa na Reference ili kuzipa hoja zako nguvu.

Kutoka 6:6
Basi waambie wana wa Israeli, Mimi ni YEHOVA, nami nitawatoa ninyi mtoke chini ya mizigo ya Wamisri, nami nitawaokoa na utumwa wao, nami nitawakomboa kwa mkono ulionyoshwa, na kwa hukumu kubwa;
 
Back
Top Bottom