Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Umenena mawazo potofu kama vile kuna njia moja tu ya kufanikiwa, pili umetaja tabia hizi wote wanazo tegemeana na mapokeo.
Wapo masikini wazulumati, matapeli, washirikina na wenye roho mbaya. Ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano unatumika vibaya kwa upotoshu huu mstari wa kumfariji masikini azidi kuwa masikini.