Utajiri ni rahisi kuupata ila masharti yake ni magumu

🤣🤣🙂🤣Hamna kitu kama icho mi hata umlete alikukaririsha nampa mifano haI tu anakimbia hayo maandiko yako sio ya mungu yaani umepotea we na wanaenda kwa mganga hamna tofauti sema hujajitambua tu

Mifano bila reference??

Labda Kama Elimu yako inakuongoza hivyo
 
😂😂😂We unajibiwa kwa akili tu allah ni mungu na cheo cha pekee hakuna kiumbe kngine tofauti ukisema ni cheo ambacho hamna kiumbe kinafit

Tofauti na nyie mna yesu mara mungu huyo huyo jina yesu halafu cheo ni Mungu

Sasa sisi muumba wetu hana jina kama binadamu ni allah tu basi
 
Mambo ya Mungu yanatokea wapi kwenye mada ya binadamu?..Mtoa mada kaeleweka ila wewe ndo unataka kupindisha hoja yake kwakuingiza mambo yasiyohusika.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

Huwezi jadili Jambo bila kujadili asili ya Jambo husika.

Sijui elimu yako ni kiwango gani, lakini kama unaelimu ya kutosha huwezi tilia Shaka hoja yangu.

Unawezaje kutaja Utajiri pasipo kumtaja aliyeweka Utajiri??
 
Mifano bila reference??

VinLabda Kama Elimu yako inakuongoza hivyo
We mwenyewe unatunga mambo hayaingii akilini man atakuamini na umekariri hujui kuchuja uongo kama ulivyozoea kuweka story za kutunga hapa jamvini😂😂
 


😀😀

Naomba nikuache tuu

Unasema Allah Hana majina wakati dini yako inatambua majina 99 ya Allah😀😀

Hata hivyo nimejadili na wewe nilijua huna elimu yoyote kuhusiana na dini ilikuwafunza wengine, so wewe ni Kama daraja tuu ili wengine wajifunze.

Kama ungekuwa unajua lolote kuhusiana na uyasemayo basi usingeshindwa kunukuu hata Aya moja kuyapa nguvu maelezo yako
 
We mwenyewe unatunga mambo hayaingii akilini man atakuamini na umekariri hujui kuchuja uongo kama ulivyozoea kuweka story za kutunga hapa jamvini😂😂


Wewe Kama hujui Tofauti ya Allah na Yahwe unasema ni mmoja huoni unashida
 
Ibrahim alichukua vitu vitani aliposhinda vita. Huo ni udhulumati aka wizi
 
Achana na stori za wana wa israel
 
Ndugu mleta mada, utajiri unaanzia bei gani labda............kabla hatujatiririka, maana kuna masela huku kitaa akila shavu la laki tano utasikia anajiita dangote.
 
Ibrahim alichukua vitu vitani aliposhinda vita. Huo ni udhulumati aka wizi

Kanuni za vita unazijua lakini?

Nenda pale Lugalo wakakupe ABC za vita, mshindi akishinda anafanyaje.

Soma vita ya Kwanza na yapili utajifunza.

Kuchukua MATEKA, Mali, wanawake wazuri kwenye vita ni ishu ya kawaida Mkuu
 
Taja maana ya jina moja nijue akili yako na zile ni sifa mfano anasamehe,, ana rehemu 😂😂😂

We mshirikina ndo maana ngumu kuelewa
 
Majina pia hubeba sifa za kitabia na kimaumbile.
Hili ulikuwa hulijui?
H
🤣🤣🤣🤣Huwezi kuelewa hata kidogo anasahem, yeye ndio mjuzi, mtoa riziki, anayeabudiwa ,wa kuombwa msamaha hayo ni yale 99


Kwa hyo ni watu 99 tofauti 😂😂kijana ni nimesoma seminary najua kila kitu hope nimezaliwa mkoa ambao ni wajuzi hatuna shida ya elimu japo nilikuwa mtoto ila nyie mambo zenu zilinishinda kusema kuna Mungu baba ,Mungu mwana na roho mtakatifu
 

Elimu ndogo ndio tatizo.

Upo Sawa Kwa Uelewa wako mdogo
 
Kwa hiyo kwasababu we ni mtumishi wa umma una uwezo kukopa hizo milioni kumi unazoziona nyingi unatuona sisi tusioweza kukopa wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…