Ibrahim alikuwa Tapeli na dhulumat?
Ayubu alikuwa Tapeli na dhulumati?
Suleiman alikuwa Dhulumat na Tapeli?
Ku-generalize kuwa Utajiri ni utapeli, udhulumati, Uchawi na biashara haramu ni Dalili ya akili za kimasikini.
Ni heri ungesema wengi wa matajiri wapo hivyo na utaje na Nchi kabisa.
Lakini kutoa excuse Kama zako ni moja ya sifa za Masikini.
Mwishowe useme Mungu naye ni Tapeli na dhulamat Kwa sababu yeye ndiye Tajiri namba moja.
Sifa ulizozitaja masikini wengi ndio tunazo.
Mungu sio masikini
Na Mungu ndiye anayetoa Utajiri Kwa sababu yeye ni Tajiri.
Umasikini wako na wenzako unasababishwa na sababu ulizozitaja, uzembe, uvivu na ujinga