Utajiri ni Siri, na Siri ndio Utajiri wenyewe

Nimecheka sana huyo mdogo, wako kustuka hadi kumwaga chini ubani.. inaonyesha huyo mdogo wako ana wivu sana
 
huyo mtu wa rohoni anapatikana wapi mkuu
 
mkuu ni vitabu vya aina gani au ni site gani za knowledge seeking based on hizo stuff's zako. madini yako siyo fiction, kuna mahali unavuna haya madini either formal or informal way
 
Kila nikisoma mada zako nakumbuka mbali sana.[emoji1666]
 
mkuu ni vitabu vya aina gani au ni site gani za knowledge seeking based on hizo stuff's zako. madini yako siyo fiction, kuna mahali unavuna haya madini either formal or informal way

Soma Biblia. kisha Quran, kisha Bahaula na siku zetu,

Kisha jifunze kutoka kwa nature kuanzia wanyama, mimea, maji, anga, miamba na binadamu. Elimu hupatikana katika mazingira yanayokuzunguka
 
Utajir ni Siri
Asiyeamin na aiamin aijalishi umri ulionao
Siri hutunzwa sehemu za mbali
Mfano. Anga za mbali, baharini na kwenye vitabu. Hivyo kwa habar za kale wote wenye Siri waliishi ( kuwa matajiri ) na viroporopo kusogeza siku either kuwa watumwa wa wenye Siri na kadhalika

Hivyo Siri ni nguvu kuu
 

Na hiyo ndio inaleta dhana isemayo; Information is power"
 
Dunia ili iende lazima iwe hivyo, sio kila jambo watu wote wajue.

Ukitaka kuyajua hayo mbona rahisi tuu, ingia chimbo.

Ukiona jambo wanalijua watu wengi jua halina thamani.
Niliwahi kwenda KWA jamaa kumbe ni mtaalamu Sana wa mambo hayo!akaniambia hatma ya ndoa yangu na Future yangu nilishangaa Sana!!nikawa mpole hadi leo!!
 
Mwenye kusikia na asikie mi binafsi nakupongeza kwa huu uzi mkuu.
Lakn sasa mkuu mbona wapo wenye siri sana na wala sio matajiri inakuaje kwa hao?
 
Hata mimi nikiwaga na vipesa nakuaga na tabia za kitajiri tajiri.

Sema zikipongoronyoka hapo utataka tu koneksheni uishi mjini la sivyo utadanja chumbani na siri zako za kitajiri😁😁
 
Mpaka nimeandika ujue ninaushahidi.

Ila sio kila ushahidi unapaswa udhihirishwe, cha msingi shika nilichokuambia, wapo watu(wachache) wajuao kesho ya watu wengine.Unaweza kushika au kuliacha.
Goood Example ni wachungaji tuu wanajuaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…