Utajiri uko hapa. Serikali chukueni ushauri wangu mzuri na muufanyie kazi, mtanishukuru baadaye

Nchi nyingine vitengo vya intelligence vinajaza watu wenye akili kubwa, na maono mapana. Idara yetu inajaza makada tu wa CCM ambao hawana tija wala uwezo wa kuishauri serikali ifanye nini ili ijikwamue na huu umasikini unaolimaliza taifa, ndio maana utaona machawa wa mama wanazunguka ndani na nje ya nchi kwa kodi zetu na hawana mchango chanya wowote kwa taifa letu. Mfano, Steve Nyerere alienda India kwa gharama zetu kufanya nini? Hii ni kashfa kwa idara ya usalama wa Taifa, ilitosha kabisa kumtoa Mkurugenzi wa Idara Ofisini.

Mimi sio mwanasiasa wala mtu wa lawama, ni mtu wa solutions. Kama mimi nilikuwa fukara na leo nimekuwa TAJIRI MKUU WA MATAJIRI basi naamini kwamba naweza kuishauri serikali iyatumie mawazo na fikra zangu ili iweze kujinasua na ufukara na kutunisha akiba yake ya fedha za kigeni.

Leo nitaongelea eneo moja tu, ambalo serikali inaweza kuokoa mamilioni ya dola kwa mtaji kidogo tu na ika stabilise uchumi na kupunguza sana utegemezi.

Tanzania tumekuwa watumwa wa kiuchumi. Hatuna uwezo wa kudhibiti mfumuko wa bei unaosababishwa na soko la mafuta ulimwenguni, kwa kuwa tunahitaji mafuta kwenye shughuli zetu za kila siku, lakini hatuzalishi mafuta. Hivyo tunatumia mamilionibya fedha za kigeni kuagiza mafuta.

Nini tufanye?
Serikali isambaze vituo vya kujazia gesi asilia nchi nzima. Badala ya JWTZ kufungua ma bar, kumbi za harusi na ma fremu, wasaidiane na TPDC kuweka vituo vya kujaza gesi asilia nchi nzima.

Itungwe sheria kali kwamba Magari yote ya serikali, ya binafsi, ya abiria na mizigo yafungwe mfumo wa kutumia gesi asilia.

Gesi asilia ni shilingi 1,500/ kwa kilo na inakupeleka zaidi ya mara mbilì ya umbali ambao mafuta yangefika. Bei ya mafuta ni zaidi ya 3,000 na bei inazidi kupanda na hatuna namna ya kudhibiti mfumuko huo.

Kwa kufanya hivi, serikali itaokoa mamilioni ya dola zinazopotea kwenye uagizaji wa mafuta.

Pia serikali itaweza kudhibiti upandaji holela wa nauli, hii itapelekea mwananchi kupata huduma kwa bei nafuu kwani gharama za usafiridhaji zitakuwa chini.

JamiiForums under Maxence Melo wazo hili wapeni wizara ya fedha na wizara ya nishati. Wakiona lina tija walifanyie kazi, kama wanapenda kubaki na umasikini wa wananchi, basi tuendelee na mfumo uleule wa miaka yoye.
Through my knowledge ifikapo 2025, magari yaingizwe nchini yale yenye options za gas, hii kuforge siamini kama ndio njia sahihi, natoa mfano, binadamu hula kupitia mdomo, sasa utakapotaka kumlisha kwa kutoboa koromelo lake ili umuingizie chakula inaleta shida,
I talks as specialist tech!
 
Sasa chawa anafaida gani kwa taifa?

Chawa hataki kazi.
Hazalishi chochote.
Hatumii kichwa kufikiri.

Yeye kutwa kusifia hata makosa anasifia tu ili apewe pesa.

CHAWA WOTE WANYINGWE😂😂😂
 
Wivu tu. Sisi ni chawa wa faida! Ni Dkt Samia tu 2025
 
Steve ni msanii na mtanzania mweny kujishughulisha na sanaa ya uigizaji huenda mama kaenda kuwapa motisha hebu acheni kuhoji ujinga.
Wewe ndio uache ujinga. Hilo ulilosema lina tija? Kenya rais Ruto kasimamisha/kapunguza safari za nje kwa watumishi na viongozi wa umma kwa mantiki ya kupunguzw gharama na kupunguza matumizi ya Dola ili kupambana na kupanda kwa mafuta ambayo yana impact kubwa zaidi kwenye uchumi na ustawi wa kila raia wa Kenya.
 
Swali tu iv gar ilotengenezwa kutumia mfumo wa mafuta ukiibadili kutumia mfumo wa gas ubora na performance inabaki vle vle

Lakin pia solution yako naweza ikubali ila pia naweza ikataa kuna kitu kinaitwa supply and demand inawezekana kabsa saiv gas ukaiona ina bei ndogo sabu demand yake ni ndogo ebu tu imagine magr ya gas yaongezeke kitakacho fuatia ni bei ya gas kupanda tena mara dufu

Ntakupa mfano pind ges ya majumbani inaingia ilikua nafuu sana kuzid bei ya gunia la mkaa ila leo hii mkaa unabei nafuu kuliko gas ya kupikia majumban
 
Bara la Africa kuna Ugonjwa wa Viongozi kushindwa kusimamia Rathilimali walizo nazo Vizuri ili kujikwamua Na Umaskini.

Tumebaki kukimbilia kuomba misaada wakati tuna rathilimali nyingi zimetuzunguka.

Mimi nawapongeza sana Waarabu wao wamepewa Na Mungu Mafuta Na wameyatumia vizuri sana Na yamewaletea Utajiri mkubwa sana.

Tatizo la viongozi wa Africa hawataki kujifunza kwa waliofanikiwa bali wakipata Madaraka wanajinufaisha wao pamoja Na jamaa zao.

Mimi nitamkumbuka sana MH Magufuli. Huyu Bwana Kwa kweli pamoja Na Mapungufu Yake Alikua Kuna maali Anatupeleka kama nchi.

Nakubaliana kabisa Na wazo lako kwamba tuna Gess Ambayo ikitumika vizuri Inaweza kabisa kutuondoa kwenye Matumizi makubwa ya dola Na demand yetu kwenye nishati ni kubwa sana iyo ni fursa ya nchi kutengeneza Uchumi wake.

Tatizo baadhi ya viongozi hawawezi kumshauri MH Rais maana wana nufaika Na haya yanayoendelea kwenye soko la Mafuta.
 
Wewe ndio uache ujinga. Hilo ulilosema lina tija? Kenya rais Ruto kasimamisha/kapunguza safari za nje kwa watumishi na viongozi wa umma kwa mantiki ya kupunguzw gharama na kupunguza matumizi ya Dola ili kupambana na kupanda kwa mafuta ambayo yana impact kubwa zaidi kwenye uchumi na ustawi wa kila raia wa Kenya.
kwahy kenya ndo unaona ipo sahih?sisi tunatafuta namna ya kuwekeza na kujifunza uwekezaj ndy maana hz safar,kupanda kwa dola hy sio njia sahh ya kumantain.
 
Nchi nyingine vitengo vya intelligence vinajaza watu wenye akili kubwa, na maono mapana. Idara yetu inajaza makada tu wa CCM ambao hawana tija wala uwezo wa kuishauri serikali ifanye nini ili ijikwamue na huu umasikini unaolimaliza taifa, ndio maana utaona machawa wa mama wanazunguka ndani na nje ya nchi kwa kodi zetu na hawana mchango chanya wowote kwa taifa letu. Mfano, Steve Nyerere alienda India kwa gharama zetu kufanya nini? Hii ni kashfa kwa idara ya usalama wa Taifa, ilitosha kabisa kumtoa Mkurugenzi wa Idara Ofisini.

Mimi sio mwanasiasa wala mtu wa lawama, ni mtu wa solutions. Kama mimi nilikuwa fukara na leo nimekuwa TAJIRI MKUU WA MATAJIRI basi naamini kwamba naweza kuishauri serikali iyatumie mawazo na fikra zangu ili iweze kujinasua na ufukara na kutunisha akiba yake ya fedha za kigeni.

Leo nitaongelea eneo moja tu, ambalo serikali inaweza kuokoa mamilioni ya dola kwa mtaji kidogo tu na ika stabilise uchumi na kupunguza sana utegemezi.

Tanzania tumekuwa watumwa wa kiuchumi. Hatuna uwezo wa kudhibiti mfumuko wa bei unaosababishwa na soko la mafuta ulimwenguni, kwa kuwa tunahitaji mafuta kwenye shughuli zetu za kila siku, lakini hatuzalishi mafuta. Hivyo tunatumia mamilionibya fedha za kigeni kuagiza mafuta.

Nini tufanye?
Serikali isambaze vituo vya kujazia gesi asilia nchi nzima. Badala ya JWTZ kufungua ma bar, kumbi za harusi na ma fremu, wasaidiane na TPDC kuweka vituo vya kujaza gesi asilia nchi nzima.

Itungwe sheria kali kwamba Magari yote ya serikali, ya binafsi, ya abiria na mizigo yafungwe mfumo wa kutumia gesi asilia.

Gesi asilia ni shilingi 1,500/ kwa kilo na inakupeleka zaidi ya mara mbilì ya umbali ambao mafuta yangefika. Bei ya mafuta ni zaidi ya 3,000 na bei inazidi kupanda na hatuna namna ya kudhibiti mfumuko huo.

Kwa kufanya hivi, serikali itaokoa mamilioni ya dola zinazopotea kwenye uagizaji wa mafuta.

Pia serikali itaweza kudhibiti upandaji holela wa nauli, hii itapelekea mwananchi kupata huduma kwa bei nafuu kwani gharama za usafiridhaji zitakuwa chini.

JamiiForums under Maxence Melo wazo hili wapeni wizara ya fedha na wizara ya nishati. Wakiona lina tija walifanyie kazi, kama wanapenda kubaki na umasikini wa wananchi, basi tuendelee na mfumo uleule wa miaka yoye.
Good idea bro mwenye kusikia na asikie
 
Tatizo ni wewe kuona kuwa hilo wanalolifanya hawalijui, biashara ya mafuta ni sehemu ya serikali na viongozi wa juu kupiga hela! Usifikiri kuwa hawajui kuwa kuna namna ya kuleta relief, wanelewa vizuri sana ila wakifanya hivyo unafikiri hela na deals walizokuwa wanapata awali zitakuwaje
 
kwahy kenya ndo unaona ipo sahih?sisi tunatafuta namna ya kuwekeza na kujifunza uwekezaj ndy maana hz safar,kupanda kwa dola hy sio njia sahh ya kumantain.
Kutafuta namna ya uwekezaji Steve anaongeza nn? Kuliko kutapanya Dola si Bora udhibiti zilizopo Kwanza.
 
Hao viongozi sio wakuwazingatia ni watu duni kichwani ambao wengi wao Kama sio wote wamefika hapo juu kwa kutumia michezo michafu na dirt MONEY

So tunapoelekea kufanya mageuzi ya kiuchumi tunabidi kuwasikilza watu ambao hawana interest binafsi
Tatizo hao viongozi ndio wamwshikilia nafasi za kufanya maamuzi mkuu. Unategemea nini hapo.
 
Back
Top Bottom