C-C Digital Pro
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 361
- 532
Tuone.
AsanteWalokole ni wajinga sana wako Tyr kununua mafuta ya upako ili watajirike bila kazi wanasahahu
Ibrahimu alikuwa boss kwenye ufugaji pamoja lutu ndg yake
Hawajui ayubu alikuwa boss mwenye mashamba na mifugo na wafanyakazi kibao ama Kijiji!
Z na mwisho hakuna boss kwenye maandiko alitajirika bila kufanya kazi. Ili utajirike yakupasa ufanye kazi kama HUNA WAZAZI period.
AsanteFanya kazi maombi ya kazi hayakupi utajiri km maombi yangekua yanakufanya uwe tajiri wanaoomba kazi sasa hivi wote wangekua matajiri... fanya kazi kijana achana na maombi ya kazi
Fikiria Tena halafu uje.Wewe jamaa bado una shida mahali!
Au sijui ndiyo (ashakum si matusi) ushamba wa Wasukuma?kwa umri wako sidhani kama ni sahihi kutengeneza mavideo ya kuumba hata kama unahisi una hoja.