Utajiri wa Bwana Elon kuzidi kuporomoka, zipi sababu? Sisi kama watu wenye maono tunayapi ya kujifunza?

WFP ndo waliomba mzigo kwa jamaa akawaambia wampe proposal mzee hata ungekua wewe uwezi ukatoa pesa kindezi ndezi tu
 
Aisee Yule Sam Bankman aliyepata hasara ya Dola bilioni 16 within a single night. Na kushtakiwa mahakamani kwa fraud!?
 
Acha urongo WFP ndio walikuwa wa kwanza kwenda kuomba msaada kwa Elon yy akawaambia wampe proposal na wanshawishi kama akitoa pesa njaa itamalizwa duniani
 
Kwa mamlaka niliyopewa n'a mamlaka ya wataalamu .MIMI the only nadeclare kuwa kiranga kapigwa vyema n'a bwana @flying
Wewe ni mdogo wangu naomba utupe nondo plz
 
Kwa mamlaka niliyopewa n'a mamlaka ya wataalamu .MIMI the only nadeclare kuwa kiranga kapigwa vyema n'a bwana @flying

Wewe ni mdogo wangu naomba utupe nondo plz
Mkuu uyu jamaa alivurugwa kwenye thread ya philosophy ndo akaja uku,

Dah tuendele na discussion ndugu zangu
 
Kwani Kuna billionaire ambe utajiri wake ni in liquidity tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…