Utajiri wa Bwana Elon kuzidi kuporomoka, zipi sababu? Sisi kama watu wenye maono tunayapi ya kujifunza?

Utajiri wa Bwana Elon kuzidi kuporomoka, zipi sababu? Sisi kama watu wenye maono tunayapi ya kujifunza?

Kwa ufupi Tamaa ndo inayomfikisha apo alipo, kwani jamaa alijiona kwamba yeye ndo yeye apa Duniani, baada ya majigambo mengi sana kila kitu kinachopendwa na chenye thamani Duniani aliamini kwamba yeye ndo anayeweza kuimiliki...kumbe it was wrong move.....nakumbuka alijaribu kuomba proposal kwa WFP wamshawishi awape pesa ya kuweza kuimaliza njaa Duniani,lkn Watu walibaki kumcheki tu.
Mwisho wa Siku majigambo ndo yanamporomosha chini.
Amepoteza maono yake, mpaka aje ayakumbuke ndo atakuwa sawa.
WFP ndo waliomba mzigo kwa jamaa akawaambia wampe proposal mzee hata ungekua wewe uwezi ukatoa pesa kindezi ndezi tu
 
Huelewi unachoandika.

Utajiri wa stocks kwa hawa ma CEO kwanza wanaangaliwa sana na Security and Exchange Commission, hawaamui tu kuuza stocks ovyo. Halafu, ukianza tu kuuza stocks ovyo, watu wanajulishwa Elon Musk anauza stocks ovyo, inatengeneza panic, kuna nini kinakuja? Watu wanaanza kuuza stocks ovyo, stock inashuka bei haraka sana katika muda mfupi sana.

Ndiyo maana hawa watu wanaweza kuwa na pesa nyingi sana za stock market, lakini hawapo liquid.

Sam Bankman-Fried alimwambia Elon Musk kwamba anataka kumpa dola bilioni 3 ili awe kati ya investors wanaowekeza Twitter, Elon Musk akauliza, does Sam Bankman-Fried even have 3 billion dollars in liquid money?

Wanajua kwamba utajiri wao umefungwa kwenye stocks, ndiyo maana hata Elon Musk alivyonunua Twitter, ilibidi auze stocks na atangaze kabisa anauza stock za Tesla ili kununua Twitter.

Siku Elon Musk alivyotangaza kuwa anauza stocks za Tesla ili kununua Twitter, stocks za Tesla zilishuka thamani kwa 7%, kwa siku moja tu.

Soma hapa.

Aisee Yule Sam Bankman aliyepata hasara ya Dola bilioni 16 within a single night. Na kushtakiwa mahakamani kwa fraud!?
 
Kwa ufupi Tamaa ndo inayomfikisha apo alipo, kwani jamaa alijiona kwamba yeye ndo yeye apa Duniani, baada ya majigambo mengi sana kila kitu kinachopendwa na chenye thamani Duniani aliamini kwamba yeye ndo anayeweza kuimiliki...kumbe it was wrong move.....nakumbuka alijaribu kuomba proposal kwa WFP wamshawishi awape pesa ya kuweza kuimaliza njaa Duniani,lkn Watu walibaki kumcheki tu.
Mwisho wa Siku majigambo ndo yanamporomosha chini.
Amepoteza maono yake, mpaka aje ayakumbuke ndo atakuwa sawa.
Acha urongo WFP ndio walikuwa wa kwanza kwenda kuomba msaada kwa Elon yy akawaambia wampe proposal na wanshawishi kama akitoa pesa njaa itamalizwa duniani
 
Kwa mamlaka niliyopewa n'a mamlaka ya wataalamu .MIMI the only nadeclare kuwa kiranga kapigwa vyema n'a bwana @flying
Kiranga do you know what order flow is? Do you think every stock market transactions is centralized? Do you think every big market players makes their deal OTC,

It's very simple concept , stocks data and liquidity are real time reflection of stock price,
I believe you don't even know where to see the order flow of Big institutional Banks and hedge funds manegers,

If you don't know that these shares in stocks markets can be sold within short period Of time what else can I explain to you?

Any billionaire on billionaire club can't mass sell their shares for one reason and one reason only, it's their long term investments (decades) unless there is indication of bubble (,market crash) which always cause extremely high volatility.

I have seen big moves that caused brokerage firms to collapse, i have seen crazy market chaos your heart would handle if you were on wall street.

Friend I am a fundermentalist, you are just pathetic idiot picking up on random people on net and try to prove them wrong! You don't know me!
I've seen the worst in financial markets! Don't even think we are on the same race, cause we ain't
Wewe ni mdogo wangu naomba utupe nondo plz
 
Kwa mamlaka niliyopewa n'a mamlaka ya wataalamu .MIMI the only nadeclare kuwa kiranga kapigwa vyema n'a bwana @flying

Wewe ni mdogo wangu naomba utupe nondo plz
Mkuu uyu jamaa alivurugwa kwenye thread ya philosophy ndo akaja uku,

Dah tuendele na discussion ndugu zangu
 
Ulichokieleza hapo ndo hicho ambacho huwa nawaambia watu.

Kwamba utajiri wa hawa watu [mabilionea] siyo utajiri wa pesa taslimu zilizopo benki kwenye akaunti zao.

In a way, ni kama utajiri wa kufikirika unaotegemea kupanda na kushuka kwa masoko ya fedha.

Ndo maana hata Elon Musk alipoinunua Twitter, baadhi ya kiasi cha hela ilibidi akope benki.

I know Morgan Stanley coughed up about $3.5 billion. Bank of America pia walimpa mkopo pamoja na benki zingine za Japan, Ufaransa, na kwingineko.

Majuzi hapa Kanye West katoka kuwa bilionea wa bilioni takriban 4 za Kimarekani na kuwa milionea.

Kanye hakuwa na hayo mabilioni kwenye benki.

Balenciaga na wengine walipoamua kuacha kufanya naye kazi, ubilionea wake nao ukayeyuka.

Mabilionea wa kweli huwa ni akina Big Meech na akina El Chapo tu maana wao biashara zao hazihusiani na masoko ya fedha na hisa.
Kwani Kuna billionaire ambe utajiri wake ni in liquidity tu
 
Back
Top Bottom