Ndio maana anataka favor kutoka serikalini kule Ntwara.
Kuporomoka kwa utajiri kumesababishwa sana na kushuka kwa thamani ya Naira ambapo amewekeza sana Nigeria halafu soko la simenti linaushindani mkali,Ningeshangaa, uwekeze Tanzania harafu utajiri wako uzidi kupanda, lazima usipojiongeza utaisha
hapa ni kazi tu.
Hiyo ndiyo legacy aliyotuachia Nyerere yaani kuchukia matajiri (yeye alipenda kuwaita mabeberu au mabepari), kujinasibisha na unyonge, kupenda ujamaa na kufanya wananchi wadhani serikali itawaletea kila kitu hata mkate itawaletea mezani ukiwa na butter.Aisee!! Hivi ni kwa nini watu masikini hupenda kuona wenye nacho wanataabika? Hatari sana hii.
Aisee! Bado tafakari ya nyakati, muhusika na uhalisia vinahitajika. Laa sivyo, tutaanza kuitana majina mabaya ya mbwa wa majalalani kule uswahilini.Hiyo ndiyo legacy aliyotuachia Nyerere yaani uchukia matajiri (yeye alipenda kuwaita mabeberu au mabepari), kujinasibisha na unyonge, kupenda ujamaa na kufanya wananchi wadhani serikali itawaletea kila kitu hata mkate itawaletea mezani ukiwa na butter.
Umasikini wa mawazo ni umasikini kushinda wote kabisaAisee!! Hivi ni kwa nini watu masikini hupenda kuona wenye nacho wanataabika? Hatari sana hii.
Unafikiri biashara ya kiwanda ni kama hilo banda lako chipsi kwamba miaka miwili tu tayari aanze kupata faida
Kwani yeye kunukuu rekodi za matajir duniani kuna kosa, mpk umlinganishe na UMASIKINI WA MAWAZO?Umasikini wa mawazo ni umasikini kushinda wote kabisa
ndio wanao hao watu wanaowaza hivo kama mleta mada. Eti unafurahia dangote kushuka nafas kitajiri
pesa alizonazo anaweza kula kizaz cha tatu hata cha nne cha ukoo wake
au yeye mwenyewe hadi afe na asifanye kaz yoyote ama business yoyote
Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu