Utajiri wa Dangote waporomoka; Sasa yuko nafasi ya 105 kutoka nafasi ya 51

Utajiri wa Dangote waporomoka; Sasa yuko nafasi ya 105 kutoka nafasi ya 51

Ningeshangaa, uwekeze Tanzania harafu utajiri wako uzidi kupanda, lazima usipojiongeza utaisha

hapa ni kazi tu.
Kuporomoka kwa utajiri kumesababishwa sana na kushuka kwa thamani ya Naira ambapo amewekeza sana Nigeria halafu soko la simenti linaushindani mkali,

Don't tress urself with knowing all answers to every question. Don't worry nobody will be clever enough to ask you
 
Aisee!! Hivi ni kwa nini watu masikini hupenda kuona wenye nacho wanataabika? Hatari sana hii.
Hiyo ndiyo legacy aliyotuachia Nyerere yaani kuchukia matajiri (yeye alipenda kuwaita mabeberu au mabepari), kujinasibisha na unyonge, kupenda ujamaa na kufanya wananchi wadhani serikali itawaletea kila kitu hata mkate itawaletea mezani ukiwa na butter.
 
Hiyo ndiyo legacy aliyotuachia Nyerere yaani uchukia matajiri (yeye alipenda kuwaita mabeberu au mabepari), kujinasibisha na unyonge, kupenda ujamaa na kufanya wananchi wadhani serikali itawaletea kila kitu hata mkate itawaletea mezani ukiwa na butter.
Aisee! Bado tafakari ya nyakati, muhusika na uhalisia vinahitajika. Laa sivyo, tutaanza kuitana majina mabaya ya mbwa wa majalalani kule uswahilini.
 
Aisee!! Hivi ni kwa nini watu masikini hupenda kuona wenye nacho wanataabika? Hatari sana hii.
Umasikini wa mawazo ni umasikini kushinda wote kabisa
ndio wanao hao watu wanaowaza hivo kama mleta mada. Eti unafurahia dangote kushuka nafas kitajiri
pesa alizonazo anaweza kula kizaz cha tatu hata cha nne cha ukoo wake
au yeye mwenyewe hadi afe na asifanye kaz yoyote ama business yoyote

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
 
Kwani yeye kunukuu rekodi za matajir duniani kuna kosa, mpk umlinganishe na UMASIKINI WA MAWAZO?
Bila shaka we ndo masikini wa mawazo. Jiongeze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwekeza Tanzania ni bora ukatalii mwezini..
 
Back
Top Bottom