Utajiri wa Diamond Platinumz wafikia Billion 8.6 za Kitanzania

Acha hasira, maana unaongea kama vile kakulazimisha uamini wakati yeye kaulizwa swali akalijibu, sasa wewe uwe umeamini au hujaamini hayo ni matatizo yako sisi hayatuhusu.
Nimegundua wengi wanaobishia utajiri wa diamond ni vijana wa umri wake ambao wengi wao bado wanaishi kwao ambao ikatokea siku akapata milioni mtaa mzima utajua.
 
Point mkuu ukiwa mchakalikaji milioni elfu moja nindogo sana
 
Pengine anauza madawa ya kulevya...
 
Hapo umeongea point...tsh 8billion nisawa na 400m za kenya..hio pesa unaeza kununua magari matatu makubwa...mbona jaguar anamiliki kampuni ya kuuza magari na pia anamiliki ndege...jaguar ndo mwanabiashara halisi katika wasanii east africa...kama diamond anamiliki hio pesa na anatumia gari moja miaka mitano basi hajui kuekeza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…