Utajiri wa Diamond Platinumz wafikia Billion 8.6 za Kitanzania

Utajiri wa Diamond Platinumz wafikia Billion 8.6 za Kitanzania

Upuuzi tu, kuna mambo ya msingi zaid ya kujadili n kufikiri kuliko hii kitu, awe nazo asiwe nazo mie sioni tatzo juu ya hilo
 
nashangaa sana watu wanaobisha bila vigezo wamebaki kusingizia mahali anapokaa na gali anaoendesha lakini ukiangalia kiuhalisia bilioni 8 kwake inawezekana kabisa kama anatunza vizuri pesa anaingiza kutoka vyanzo vyake mfano
vodacom walimlipa zaidi ya milioni 600
red gold tomato walimlipa milioni 400
dstv walimlipa milioni 150
cocacola walimlipa zaidi ya millioni 70
uber tanzania zaidi ya millioni 60
show zake za nje analipwa zaidi ya milioni 80 kwa show na anafanya show zaidi ya 20 kwa mwaka
kwa mwezi malipo ya ringtone kwa kampuni mbalimbali ya simu analipwa zaidi ya milioni 30
show kubwa za ndani analipwa zaidi ya milioni 60 mfano tigo concet alilipwa milioni 100
ana wasanii wake amewekeza karibia anaanza kuvuna harmonize, reymond na rich mavoko
ndio msanii anaeongoza kwa kulipwa mirabaha nchini kenya anakusanya mamilioni
uganda napo wameanza kumlipa
ana nyumba kadhaa jijini dsm
Sasa mtu kama huyu anakosaje bilioni 8 tangu aanze mziki kama anatunza vizuri pesa zake?
tuache kujifanya wajuaji na wakosoaji
 
I believe mwanzo unakua mgumu lkn kama umeshafika bil.1 kuzifikia bil.8 kaz ndogo coz kuna investments ambazo unaweza round hiyo pesa zaidi ya mara 2 kwa mwaka axha matangazo ya biashara na shows....
 
Vijana tafuteni maisha acheni kucheza pool ili mutengeneze maisha yenu mngekuwa na pesa hivi vihela vinavyotajwa hapa visingewazuzua kiasi cha kurukwa na akili na kudhani kwa msanii kama DIAMOND hawezi kuwa nazo wakati mimi nilidhani yupo kwenye bilioni 50 huko kumbe bado yupo kwenye vijisenti.
 
DIAMOND kumbe bado hajui kuwekeza kwa mtu kama mimi ningeshaingia kwenye orodha ya Forbes kwa jinsi ya pesa anazozipata,angekuwa kwenye bilioni 50 au 60 kumbe yupo hapa hapa. Kumbukeni bilioni 1 = milioni 1,000 kwahiyo kama wewe ni mchakalikaji basi hivi ni vihela vya supu tu.
 
499cc37f4212d4e078b815bf87c3d050.jpg
 
Naona magufuli kawachanganya watu wengi damond sio bure labda za Zimbabwe
 
Mkiambiwa uwanja wa taifa kiingilio bure milango itafunguliwa saa nane alasiri nyinyi mnakwenda kukesha pale pale. Sasa sijui pesa mnatafuta saa ngapi, ndio maana mkiambiwa fulani anamiliki Bilioni lazima mlete zengwe.
 
Msitangaze sana utajiri wa mwenzenu manake TRA hawachelewi kumdai kodi yao,si unajua hii ni serikali ya hapa kodi tu(Joking).
Kumbukeni kilichowakuta TFF
 
3 zote hizo mkuu mbona unaenda mbali sana hata ukiwatia wote kwenye kapu moja hata nusu ya hizo hawafikii

Ivi huo utajiri unakokotolewaje

Na nani anayepaswa kusema neworth ya mtu, namaanisha source of info, ni mhusika mwenyewe au chombo flan mhususi
 
Back
Top Bottom