Watu mnasahau kuwa utajiri wa mtu,hauanzi from no where kuna starting point..nachomanisha diamond hajaanza game mwaka jana au juzi,ana miaka karibia 7 kwenye game so kama ni savings kahifadh za kutosha, pia mtoa mada umempgia hesabu za pesa anazopata kutokana na music na endorsements,ina maana dai hana investments apart from music? nakumbuka bongo5.com kat ya mwaka 2012 au 13 walsema ana utajir za ya bilion,watu wana shares na makampuni uko,watu wana fixed assets wanazo lease per months au year znawaingzia pesa nzuri..mfano dai ana nyumba zaid ya 10,tuchukulie ana pangsha kwa 500k/mnth ina maana ana m60 per year