Utajiri wa Diamond Platinumz wafikia Billion 8.6 za Kitanzania

Utajiri wa Diamond Platinumz wafikia Billion 8.6 za Kitanzania

nikawaida yake kila akichemka kimataifa huko ili arudi nyumbani kupigana vijembe na kina Wema sepetu lazima atengeneze story..!!! 8bilions kirahisi tu
 
Sio kila mtu anayekupinga anakuchukia.. Mjifunze hilo kwanza, Billion 8 bakini mkiziongelea ila hiyo pesa huyo dogo hana.. Billion 8 angekaa kwenye nyumba kama ile uko porini?? Umeona nyumba na magari wanayopush yule dogo mnaija wa 5 star music?? Mtu ana ki BMW hajakibadilisha mwaka wa tatu huu na nyumba ya kawaida kabisa inaitwa Ikulu alafu mnadanganya ana Billion 8
Ney mwenyewe alituambia ana bilioni mara nyumba kajenga kwa milioni 75 wakati nyumba za milioni kumi tena kwa kudunduliza..!!mimi na hisi nirahisi kuitaja pesa yetu hovyohovyo sababu haina thamani tena
 
Naskia diamond huwa hapendi black coffee hahahahahhhhahahahahhahahhahahhahahah.
 
Hata wewe ukitaka kufanikiwa acha vitu vifuatavyo
PO...NYA....KU.....
PO=pombe.......NYA=nyama.....KU=utamalizia mwenyewe
 
Maneno makali ndo yapi??

Huyo mnaemuita domo hana ujanja wa kuwa hata na mil 1

Labda izo bilioni 8.6 za kuchapisha tandale
Kuwa nazo au kutokuwa nazo ni swala moja,lakini nakushangaa unavyojenga hoja za kuonyesha kabisa una chuki zilizokuzidi dhidi yake na ulikuwa unatafuta pa kuzitolea na ndio leo umepapata,kijana fanya kazi acha kuchukia ya wenzako.
 
hivi unaijua pesa inayo ongelewa hapa au unataka kubishana
Wewe mvivu wakuzitafuta ndio umeziona nyingi sana na ndio maana unapinga bila kuleta ushahidi wa unachokijua wewe.
 
Huna akili wewe
Hongera wewe mwenye akili unayedhani utafanikiwa kwa kutuletea chuki zako hapa,fanya kazi na bilioni utaona hela ya dagaa acha chuki pambana na maisha yako.
 
Ana vitega uchumi gani?? Hiyo nyumba ya porini na ile pale Africana ambazo total equity yake haifiki hata Million 300 kwa pamoja.. Na wewe ulivyo mpuuzi unakubali anafanya show 104 za kulipwa Million 50 kwa miaka miwili mfululizo.. Jerk!?!?!?
Hili ndio ulitakiwa kulijua kwanza kabla ya kupinga, kumbe umepinga wakati hujui lolote kumuhusu yeye halafu wajiona mjanja ........Tafuta pesa kijana hata ukisikia watu wanataja mabilioni utahisi unatajiwa tsh.100/= tu.
 
nikawaida yake kila akichemka kimataifa huko ili arudi nyumbani kupigana vijembe na kina Wema sepetu lazima atengeneze story..!!! 8bilions kirahisi tu
Hivi bro umeisoma hii habari kweli .......... maana kilichoandikwa na ulichokichangia ni tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom