Kuna watu wanadhani billioni ni kitu rahisi sana kuwa nacho achana na hiyo billion 8 wanayodanganya nayo..
Show moja Diamond akiwa nje ya nchi analipwa Million 50.. Tufanye anafanya show nje ya nchi week zote 52 za mwaka, hiyo ni Billion 2.5 kwa mwaka, tufanye kafanya hizo show miaka miwili mfululizo inatupa Billion 5.. Anasema Vodacom walimpa Million 800, DSTV nao tufanye Million 100, Uber Million 100, Tomato Million 100, Caller tunes Billion 1.. Hapo Jumla tunapata Billion 7.1.. Na hapo hatujaweka matumizi yoyote.. Sasa hizo billion 8.6 katolea wapi.. Billion kuimiliki msifikiri mchezo.. Angekuwa anamiliki Billion 8 asingetembelea kile kigari kwa miaka mitatu sasa..