Utajiri wa Diamond Platinumz wafikia Billion 8.6 za Kitanzania

Huo utajiri una manufaa gani kwenye nchi iliyo top five ya nchi maskini duniani????

kama ilivyo kawaida ya watanzania...wivu katika ubora wake..... kama haukusaidii wewe kuna watanzania walioajiriwa na Daimond na wanaendesha familia zao!
 
Huo utajiri uko wapi?
  1. Ni fedha cash at bank ?
  2. Au ana raslimali zenye thamani hiyo? Ni zipi?
  3. Je ana Biashara zenye thamani hiyo? Ni zipi?
hata hivyo nampa pongezi kama kweli amefika huko! Maana kuna wafanyabiashara wakubwa hapa Tanzania, wana maghorofa, maduka makubwa pamoja na magari mengi, lakini still bado hawana hiyo fedha tajwa hapa!
 
Hahahahahah kwa hiyo wewe wakenya umewaona ndio mfano wa watu wa maana kwako alafu unamdharau Diamond!! Kweli dunia haiishi maajabu.

Nimeshakwambia maisha umeyakosea mwenyewe usimlaumu mtu unajitesa bure kuchukia watu.

Dimond ndo mdudu gani??

Yani kabisa unabinya pua kumsifia mtu

Wakenya wanawadharau kwasababu nyie wambea sana, halafu hampendi kazi mnapenda ngono na pombe

Endelea kumsifua ukiona haitoshi mpe na tigo
 
Hahahahahah kwa hiyo wewe wakenya umewaona ndio mfano wa watu wa maana kwako alafu unamdharau Diamond!! Kweli dunia haiishi maajabu.

Nimeshakwambia maisha umeyakosea mwenyewe usimlaumu mtu unajitesa bure kuchukia watu.

Kwanza tunahitaji tujue TRA inanufaokaje na iyo bilioni 8.6

Sio unaleta story za tandale hapa

Hata ela ya Kula huna
 
Halafu we bwana post zako ni za kitoto sana

Mwenzako ameuliza pato la taifa limeongezekaje hapo??

We unasema awaulize mengi na bakhresa

Ninyi ndo mnaofanya wakenya wazidi kuja kuwatawala hapo hapo kwenu
halafu na wewe acha uboya unauliza pato la taifa limeongezeka vp kupitia jamaa???
Kama wew ukirusha tu hela mpesa serikali inachukua chao je unazani voda wanavotumia nyimbo za diamond kwny miito serikali haipati chao?
Diamond anamajumba kibao unadhani hayalipii kodi? gar yake ilikua na platenumber jina, hujui kuwa alikua analipa ml.5,?
Hivi hujui kuwa mziki wa bongo unaliongezea pato taifa? hasa huyo diamond? na juzkat hujaskia madawati 600? acha usennge!
 
Huo utajiri una manufaa gani kwenye nchi iliyo top five ya nchi maskini duniani????
Nimepitia posts za watu wengi humu jamii, lakini kijana umebarikiwa roho mbaya kupita kiasi. Inaonyesha hufurahishwi hata kidogo na maendeleo ya nduguzo wa damu kwa hoja hizo hizo.

Hakika wewe ni mtu mbaya sana.
 
Umetumwa? Mi nina experience na interview za wasanii hasa wanapotakiwa kutaja gharama za video wanazoshoot South, networth n.k huwa wana mtindo wakufanya multiplication kwenye original figure ili ku-deceive public na kucreate attention tuwaone special sana,

kwa taarifa yako tu Diamond wala msanii yoyote wa Bongo hakuna anayefikisha walau 3bil. Damn

Kuna watu wanadhani billioni ni kitu rahisi sana kuwa nacho achana na hiyo billion 8 wanayodanganya nayo..

Show moja Diamond akiwa nje ya nchi analipwa Million 50.. Tufanye anafanya show nje ya nchi week zote 52 za mwaka, hiyo ni Billion 2.5 kwa mwaka, tufanye kafanya hizo show miaka miwili mfululizo inatupa Billion 5.. Anasema Vodacom walimpa Million 800, DSTV nao tufanye Million 100, Uber Million 100, Tomato Million 100, Caller tunes Billion 1.. Hapo Jumla tunapata Billion 7.1.. Na hapo hatujaweka matumizi yoyote.. Sasa hizo billion 8.6 katolea wapi.. Billion kuimiliki msifikiri mchezo.. Angekuwa anamiliki Billion 8 asingetembelea kile kigari kwa miaka mitatu sasa..
 
Umemaliza kesi mkuu
 
Hahahahahah kwa hiyo wewe wakenya umewaona ndio mfano wa watu wa maana kwako alafu unamdharau Diamond!! Kweli dunia haiishi maajabu.

Nimeshakwambia maisha umeyakosea mwenyewe usimlaumu mtu unajitesa bure kuchukia watu.

Sio kila mtu anayekupinga anakuchukia.. Mjifunze hilo kwanza, Billion 8 bakini mkiziongelea ila hiyo pesa huyo dogo hana.. Billion 8 angekaa kwenye nyumba kama ile uko porini?? Umeona nyumba na magari wanayopush yule dogo mnaija wa 5 star music?? Mtu ana ki BMW hajakibadilisha mwaka wa tatu huu na nyumba ya kawaida kabisa inaitwa Ikulu alafu mnadanganya ana Billion 8
 
Kuna watu wanadhani billioni ni kitu rahisi sana kuwa nacho achana na hiyo billion 8 wanayodanganya nayo..

Show moja Diamond akiwa nje ya nchi analipwa Million 50.. Tufanye anafanya show nje ya nchi week zote 52 za mwaka, hiyo ni Billion 2.5 kwa mwaka, tufanye kafanya hizo show miaka miwili mfululizo inatupa Billion 5.. Anasema Vodacom walimpa Million 800, DSTV nao tufanye Million 100, Uber Million 100, Tomato Million 100, Caller tunes Billion 1.. Hapo Jumla tunapata Billion 7.1.. Na hapo hatujaweka matumizi yoyote.. Sasa hizo billion 8.6 katolea wapi.. Billion kuimiliki msifikiri mchezo.. Angekuwa anamiliki Billion 8 asingetembelea kile kigari kwa miaka mitatu sasa..
Kwa asie jua pesa ana dhani billion ni pesa ya masihara lkn swali linakuja je, mziki unalipa kiasi hicho? ana assets zipi japo za billion 2?
 
Kuna watu wanadhani billioni ni kitu rahisi sana kuwa nacho achana na hiyo billion 8 wanayodanganya nayo..

Show moja Diamond akiwa nje ya nchi analipwa Million 50.. Tufanye anafanya show nje ya nchi week zote 52 za mwaka, hiyo ni Billion 2.5 kwa mwaka, tufanye kafanya hizo show miaka miwili mfululizo inatupa Billion 5.. Anasema Vodacom walimpa Million 800, DSTV nao tufanye Million 100, Uber Million 100, Tomato Million 100, Caller tunes Billion 1.. Hapo Jumla tunapata Billion 7.1.. Na hapo hatujaweka matumizi yoyote.. Sasa hizo billion 8.6 katolea wapi.. Billion kuimiliki msifikiri mchezo.. Angekuwa anamiliki Billion 8 asingetembelea kile kigari kwa miaka mitatu sasa..

Humu ndani kuna malofa sana yani sijui huwa wanawashwa anakurupuka tu mtu anasema bilioni 8
 
halafu na wewe acha uboya unauliza pato la taifa limeongezeka vp kupitia jamaa???
Kama wew ukirusha tu hela mpesa serikali inachukua chao je unazani voda wanavotumia nyimbo za diamond kwny miito serikali haipati chao?
Diamond anamajumba kibao unadhani hayalipii kodi? gar yake ilikua na platenumber jina, hujui kuwa alikua analipa ml.5,?
Hivi hujui kuwa mziki wa bongo unaliongezea pato taifa? hasa huyo diamond? na juzkat hujaskia madawati 600? acha usennge!

Naona unamtetea

Haya basi mpe na mkate kabisa aumege
 
Humu ndani kuna malofa sana yani sijui huwa wanawashwa anakurupuka tu mtu anasema bilioni 8
Hivi unaweza kutuambia sababu ya kuongea maneno makali kiasi hiko ni ipi, hii ya bil 8 au ........ hapa tunalumbana kwa hoja si matusi.
 
Back
Top Bottom