samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Ungekisoma alichoandika hadi mimi nikauliza hivi, basi naamini kwa mtu ambaye akili zake ziko full chaji muda wote asingeniuliza upuuzi kama huu.Na akiamini atamzidishia nini kwa mfano??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekisoma alichoandika hadi mimi nikauliza hivi, basi naamini kwa mtu ambaye akili zake ziko full chaji muda wote asingeniuliza upuuzi kama huu.Na akiamini atamzidishia nini kwa mfano??
Hivi hilo jamaa litashinda kweli uchaguzi ??? (Trump)Huo ni uongo wa mchana kweupe.
Hizo million za endorsement mnazosema kalipwa mna uhakika amelipwa hizo pesa?? Na kama amelipwa mbona hakuna fair price mnasema tu zaidi ya kiasi fulani?? Na kama amelipwa unafikiri kodi inachukuliwa ngapi hapo?? Mbona miamala yake ya kodi TRA sio kwa mapato hayo ya hizo pesa mnazodanganyana kwenye mitandao.. Akilipwa na Uber Million 60 unazosema unafikiri zote zinaingia mfukoni mwake?? Hiyo 60 million anaweza kwenye account akaingiza 30 au 35 pekee hizo zingine zikaishia kwenye kodi na malipo kwa mameneja wake..nashangaa sana watu wanaobisha bila vigezo wamebaki kusingizia mahali anapokaa na gali anaoendesha lakini ukiangalia kiuhalisia bilioni 8 kwake inawezekana kabisa kama anatunza vizuri pesa anaingiza kutoka vyanzo vyake mfano
vodacom walimlipa zaidi ya milioni 600
red gold tomato walimlipa milioni 400
dstv walimlipa milioni 150
cocacola walimlipa zaidi ya millioni 70
uber tanzania zaidi ya millioni 60
show zake za nje analipwa zaidi ya milioni 80 kwa show na anafanya show zaidi ya 20 kwa mwaka
kwa mwezi malipo ya ringtone kwa kampuni mbalimbali ya simu analipwa zaidi ya milioni 30
show kubwa za ndani analipwa zaidi ya milioni 60 mfano tigo concet alilipwa milioni 100
ana wasanii wake amewekeza karibia anaanza kuvuna harmonize, reymond na rich mavoko
ndio msanii anaeongoza kwa kulipwa mirabaha nchini kenya anakusanya mamilioni
uganda napo wameanza kumlipa
ana nyumba kadhaa jijini dsm
Sasa mtu kama huyu anakosaje bilioni 8 tangu aanze mziki kama anatunza vizuri pesa zake?
tuache kujifanya wajuaji na wakosoaji
Ungekisoma alichoandika hadi mimi nikauliza hivi, basi naamini kwa mtu ambaye akili zake ziko full chaji muda wote asingeniuliza upuuzi kama huu.
Lazima ashinde.Hivi hilo jamaa litashinda kweli uchaguzi ??? (Trump)
kwan ni manufaa yake au ya nchi?? usiwe unacomment uku umeshika kilobaHuo utajiri una manufaa gani kwenye nchi iliyo top five ya nchi maskini duniani????
Popoma wwIvi kwanza unajua maana ya bilioni??
Bilioni halafu unakaa madale Nyumba ya kupanga ukuta umejemgwa juu ya bomba la dawasco
Asubirie kwanza hasira ya jiji
Humu ndani huwa mnapost upupu sana
Ndo maana wakenya wanawaona kama vibwengo
Hater Sio halotel?Dimond ndo mdudu gani??
Yani kabisa unabinya pua kumsifia mtu
Wakenya wanawadharau kwasababu nyie wambea sana, halafu hampendi kazi mnapenda ngono na pombe
Endelea kumsifua ukiona haitoshi mpe na tigo
Ulitaka ajenge uwan kwenu ndo useme mjin?Sio kila mtu anayekupinga anakuchukia.. Mjifunze hilo kwanza, Billion 8 bakini mkiziongelea ila hiyo pesa huyo dogo hana.. Billion 8 angekaa kwenye nyumba kama ile uko porini?? Umeona nyumba na magari wanayopush yule dogo mnaija wa 5 star music?? Mtu ana ki BMW hajakibadilisha mwaka wa tatu huu na nyumba ya kawaida kabisa inaitwa Ikulu alafu mnadanganya ana Billion 8
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Alishawahi kulazwa TMJ vipi,ulichangishwa sh'ngapi ???
una miaka mingapi hujapimwa akili?Hata milioni 50 hana kwenye account yake, hiyo ni porojo kwa wajinga.
Analipa kodi kiasi gani kwa mwezi au mnashabikia wakwepa kodiKumekuwepo na tetesi nyingi kuhusu utajiri wa Diamond umefikia kiasi gani. Hilo ni swali ambalo hajawahi kulijibu kwa uhakika zaidi ya kutoa tu hints na kuwaacha wanaouliza kubaki na majibu yao wenyewe vichwani.
Lakini kupitia kipindi maalum cha kituo cha runinga cha E!TV, E Vip kilichorushwa Jumapili ya June 26, tunaweza kusema walau kwa uhakika staa huyo ana utajiri mkubwa kiasi gani. Diamond ana utajiri wa dola milioni 4 za Kimarekani ambao kwa shilingi ya Tanzania ni zaidi ya bilioni 8.6.
Si kitu kinachoshangaza tena kwa Diamond kutokana na hatua aliyofikia akiwa msanii anayelipwa fedha nyingi zaidi Tanzania kwa sasa. Fedha zake nyingi zinatokana na show zake zisizokauka za ndani na nje ya nchi, mikataba ya ubalozi na matangazo kutoka makampuni kama Vodacom, Cocacola, DSTV na Red Gold. Hivi karibuni alipata deal jingine la kutangaza huduma ya taxi ya Uber.
Pia amekuwa akiingiza fedha nyingi kupitia biashara ya nyimbo zake hasa miito ya simu, malipo ya mirabaha kutoka nchi za jirani kama Kenya bila kusahau biashara za mtandaoni zikiwemo Youtube.
Uwekezaji wake kwenye label ya WCB ni kitu kingine kikubwa ambacho kitaanza kumuingizia fedha nyingi siku za usoni. Hadi sasa amesaini wasanii wanne wakiwemo Rich Mavoko, Raymond, Harmonize na dada yake Queen Darleen.
Lakini pia staa huyo anafahamika kwa kuwekeza zaidi fedha kwenye ardhi na nyumba huku akidaiwa kumiliki maeneo mengi jijini Dar es Salaam.
Na ndio maana nilisema "kama mtu akili zake zipo full chaji muda wote asingeuliza swali lile" na kweli akili zako haziko sawa. Mwenye akili zilizotulia hawezi kutukana mtandaoni wakati hunijui sikujui ni maandishi tu ndio yanayotuunganisha sasa ya nini hutukane ?????Na wewe unayeandika unyambi kama huu ndio uko full chaji??
So bure unagongwa kinyaka msewe wewe!
Kwani ushamaliza kunyonya weye au unaanza kuwa....
hizo ndo dalili kuandika hoja mbuzi na ukijibiwa kistaarabu una hemkwa!
Ulitaka nijibu unavyotaka wewe au nikutongoze?
Shenzi baga moyo wewe...
usiniletee ma. Vi ku. N. Ya na M. A. V. I. Kujamba!
Yeye ndo rais wako?Huo utajiri una manufaa gani kwenye nchi iliyo top five ya nchi maskini duniani????