Utajiri Wa Elon Musk unaweza Kufadhili Bajeti Ya Tanzania kwa Miaka zaidi ya kumi mfululizo Pasipo Mtu yeyote kulipa kodi wala ushuru wa aina yoyote

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Hivi Dunia Jamani kuna watu wana Hela,kuna watu wana pesa,kuna watu wana Fedha. Watu wana hela mpaka unajiuliza wao wanazipata wapi wakati kuna watanzania wanafanya kazi usiku na mchana kuanzia migodini ,mashambani , mabarabarani,viwandani lakini hawapati pesa hizo.

Sasa unaambiwa kuwa Tajiri Nambari moja Duniani Elon Musk Amevunja rekodi ya Dunia kwa utajiri ambao haujawahi kufikiwa na Mwanadamu wa aina yeyote yule ambaye amewahi kuzaliwa katika uso wa Dunia hii.

Jamaa amefikisha utajiri wa Dollar Billion Mia nne za kimarekani ambapo ukichenji kwa pesa za kitanzania ni sawa na Kiasi cha Trilioni 970 yaani Trilioni Mia Tisa Sabini.Daa hizo ni hela ndugu zangu na msije mkafukiria na namba.hayo ni Ma pesa tena Ma Dollari tu ya kimarekani. Siyo mchezo angekuwa ni mtanzania angetaka watu wawe wana mfunga hadi kamba za viatu.

Lakini jamaaa pamoja na mapesa yote hayo halingii wala hajisikii wala hana kiburi wala dharau wala matusi.Sasa ingekuwa ni Mbongo ungeona anajibetua hadi mdomo wakati anaongea na kutoa maneno machafu machafu utafikiri ametafuna tunda lililooza mdomoni mwake. Hata Trafiki barabarani wangekuwa wanamuogopa na kumtetemekea utafikiri mtu au wanandoa waliopata mtoto baada ya kukaa kwa miaka mingi bila kupata mtoto.

Sasa basi hayo mapesa ya Elon musk maana yake ni kwamba angeweza kufadhili bajeti ya Tanzania kwa miaka zaidi ya kumi pasipo mtanzania yeyote yule kulipa kodi wala ushuru wala tozo wala nini.yaani watu wangekuwa wananunua magari yao na kuyaingiza Nchini na kuanza kuendesha huru kabisa huku wamefungua na kushusha vioo vyao .

Kazi ya serikali ingekuwa ni kutumia tu kujenga na miradi makubwa makubwa yenye kutoa na kutiririsha fursa za ajira kwa vijana kama chemchemi iliyo kandokando ya mto.Tanzanja ingekuwa kama ulaya au Marekani vile.Rais wetu angekuwa anapita kuangalia utekelezaji wa miradi ya maendeleo tu na kuwapungia mikono wananchi.

Watu wangekuwa wanasoma bure hadi vyuo vikuu,ajira zingekuwa za kumwaga kila kona na kwa kila secta tofauti na sasa vijana unakuta wanakimbizana kwenye usaili wa nafasi sabini huku wao wakiwa maelfu.Embu ona tu ajira za ualimu zilikuwa elfu kumi na moja lakini walioitwa kwenye usaili walikuwa laki moja na sabini hapo wengine walikuwa wamechujwa .yaani saizi hata ajira ukitangaza nafasi za kufagia ofisi unaona vijana wanamiminika kama mafuriko ya Masika.

Hata hivyo nampongeza sana RAIS Samia kwa juhudi kubwa anazoendea nazo za kutoa ajira kwa vijana tangia alipoingia madarakani.najua siyo wote watakaopata maana amekuta vijana wengi sana mitaani ambao hawana ajira lakini wamesoma sana.kwa sasa kila kitongoji kina vijana waliomaliza vyuo vikuu ila hawana ajira na hawana hata mitaji ya kulima .maana wengine hukimbilia kusema vijana limeni bila kujua kuwa kilimo ni gharama na kinahitaji mtaji wa kutosha.

Kidumu chama cha Mapinduzi.Kidumu chama Tawala.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Hadi Sina uko sahihi
Screenshot_2024-12-12-18-45-52-30.png
 
Wewe umesikia wapi? Wacha kukurupuka wewe mtoto.
 
Usipende kusikia sikia tu dogo.Dunia kiganjani pako.ila wewe huwezi kuelewa maana akili zako ni kama ulishakabidhi kwa mtu na wewe kubakia tu na kichwa kama mzigo tu wa misumari.😆😆
 
Hu

Huna kazi ya kufanya wewe kweli!
 
Usipende kusikia sikia tu dogo.Dunia kiganjani pako.ila wewe huwezi kuelewa maana akili zako ni kama ulishakabidhi kwa mtu na wewe kubakia tu na kichwa kama mzigo tu wa misumari.😆😆
Kiganjani ndiyo lakini siyo kwa kukurupuka huko. Tuliza kichwa unazidi kujivua nguo wewe kilaza.
 
Huwezi ukaelewa maana wewe habari unazofuatilia ni zile za umbeya na upashikuna tu.
Wewe uliyeokota post toka parody account ya Elon Musk juzi na kuileta kwa mbwembwe hapa ndiye unaendekeza umbea. Smartphone yenyewe umeijua juzi tu hapa unajiona unajua sana,wewe bado mshamba na kilaza sana
 
Back
Top Bottom