Utajiri wa Irene Uwoya ni balaa

Utajiri wa Irene Uwoya ni balaa

Huyo Mwanaume asije kuwa BABA LORAA mume wa mwanamama Mmoja Mkazi wa Mbezi Beach ambaye ni Mlezi wa Bongo Movie anaitwa MAMA LORAA, Kwa ajili ilishavuma zamani kwamba BABA LORAA anakula huo IRENE UWOYA na kuna kipindi walionekana kwenye Hotel moja maarufu Jijini arusha wakiwa wawili tu na Kwenye Pozi tata….:israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel:

Unanikosha sana mama kibunju , huyu mama alishamuonyaga sana uwoya kuhus mumewe, ila naona bibie kanogewa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom