Bora uende kwa Lusungoo aisee
Nimewamithije humu....yani napatamani ila nimebanwa mbaya....
Kesho nina hot news mida ya hasubuhi so msicheze mbali ntaunganisha kidogo na ile ishu ya shigongo though ctamtaj jina umo ila mtaelewa, maana watu waliulizia sana ubuyu wa shigongo ila heading aitakuwa yake Dinazarde , Heaven on Earth, lusungo, snipa, TATIANA, mama kibunju, Evelyn Salt, Mrembo by Nature, Money Stunna

Lini Twende Dubai ?
This weekend darling
Namsubiri Aniambie anataka twende Dubai lini !
Sifanyi masyala sahizi !
Hahaha Dubai ya zenji or? Mi simtanii TATIANA Leo hapa hotel almanusura yule msanii amkane bwana ake kwa ajili yangu hiyo cologne tu naona Dada alidata
Kesho nina hot news mida ya hasubuhi so msicheze mbali ntaunganisha kidogo na ile ishu ya shigongo though ctamtaj jina umo ila mtaelewa, maana watu waliulizia sana ubuyu wa shigongo ila heading aitakuwa yake Dinazarde , Heaven on Earth, lusungo, snipa, TATIANA, mama kibunju, Evelyn Salt, Mrembo by Nature, Money Stunna
Hahaaaa Kumbe huyo msanii alitaka ?
Muulize TATIANA, mwenzako kesho nna Gem Na star wa Bongo Movie !
Afu Dubai kuleeeee sio hapo Zanzibar ulipoishia wewe !
Hapa Pesa Uchafu !
Na zinapendwa pesa Huo Mwili Kawe security !