Utajiri wa Irene Uwoya ni balaa

Sasa shosti bahati ndio hii unachomoa.. mume hat a Dubai utampata

Muache ajifanye anaipenda ndoa huyo , ngoja yamkute kama ya wastara ndo achangamke maana na yey alikuwag iv iv , sasa iv naona akil imemkaa sawa
 
Muache ajifanye anaipenda ndoa huyo , ngoja yamkute kama ya wastara ndo achangamke maana na yey alikuwag iv iv , sasa iv naona akil imemkaa sawa

Hahahaa...binamu wacha mi nichangamkie fursa. Dubai kwanza mume majaaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…