mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Unazikwa ukiwa hai
Yesu atusaidie sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazikwa ukiwa hai
Yupo jamaa namfahamu yeye kila mwisho wa mwezi nasikia lazima alawitiwe,tarehe kama hizi unakuta analewa tuu na kulala huko mabar na ndio wanamtafunia hukoShetani ame advance uovu, upo utajiri wa kulawitiwa badala ya kutoa mtu kafara
Ndo kama hizo sasa zina mateso makubwaIfike muda tuwe tunafikiri kwa kina kama fulani utajiri wake ni wa kutumia akili alizozaliwa nazo au ni utajiri wa kishetani. Wote hapa tuna akili timamu na tunafanya maarifa ya kila aina kupata utajiri. Kwa nini wengine watuzidi utajiri wakati akili zao ni za kawaida tu? Zipo namna za nguvu za giza kuwapa watu utajiri
itakuwa wanachagua wenyewe sehemu y kuwa n kidondaAisee ombea hiko kidonda kisiwe kwenye nya maana kila nya itakapokuwa inakubabana unakuwa na mawazo jinsi utakavyokuwa unalia utakapokuwa unakunya ukipiga hadi ukunga
Nilishakuja na uzi apa unaohusu aina za utajiri ambazo ni common Tanzania ukiwemo utajiri ambao mtu anapewa kidonda ambayo kadiri kinavoongezeka ndo pesa inaongezeka
Ila amini kwamba shetani awezi kukuacha utumie pesa zake bila mateso😂😂
Finally nimekutana na jamaa ambaye alichukua utajiri huo, pesa kweli anayo lakini hicho kidonda kinavonuka kudadeki asikwambie mtu.
Jamaa hapendezi yaani yupo yupo tu😂 nguo izo izo siku tatu.
Ni hovyo tu, tutafute hela wajumbe katu usifikiri kuna pesa ya rahis rahisi
Ni dhahiri unaona jamaa hafurahii ile pesa.
Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa
Tembea uone mambo ya ajabu yaliyopo Tanzania hii, yaani ukiwa mtanzania tayari umeshajiunganisha na mambo ya shirki Moja Kwa moja😀 neema ya mungu ikuokoe tu. Usione mtu ana push ndinga kali ana drip na ni kijana mdogo tu, we jua utajiri una Siri nyingi sana. Hizi ni baadhi ya aina ya utajiri...www.jamiiforums.com
Sasa hapo inakua hamna raha ya pesa yaan una hela lakn hauna tofauti na maskini tena maskin ana furaha kukupita mwenye hela s bora nishike bunduki niingie benki tu
Hatarias hatarias acha aendelee kufurahia Maisha wapo wengi Mara nyingi kidonda kinakuwa mguu sehemu ya pembeni ya ugoko , na hawapendi kuhojiwa Wala maswali mingi
Inachelewa kuload
Ndo hivo ila expenses zake ni laki 5 kwenda juu per day na ni mcheza kamari wa kutupwa. Na kila day analiwa
Ushai kutana nao?
Shetani ame advance uovu, upo utajiri wa kulawitiwa badala ya kutoa mtu kafara
Wengine wanalawitiwa kama masharti ya kushamirisha utajiri
Sasa si anunue marashi kuzui harufu,ama kaka shetani haruhusu kuzui harufu
Sasa ndo nn
picha?
Ukisikia kafara za kichawi au za mizimu ndio hizo.... yaani wanakutesaaa halafu wanakupa Mali ya kukutana na baadae wanakukula nyama
Na hapo unawezakuta ana sharti la kutokulala kitandani au ndani ya nyumba yake nzuri. Na hatakiwi kujisaidia kwenye choo cha kisasa
Uchawi ni uchafu na upumbavu mkubwa sana
MHUBIRI 5:1
"Jitunze mguu wako uendapo nyumbani kwa Mungu; Maana ni heri kukaribia ili usikie, Kuliko kutoa kafara ya wapumbavu; Ambao hawajui kuwa wafanya mabaya."
UFUNUO 5:5-10
"Na mmojawapo wa wale wazee akaniambia, Usilie; tazama, Simba aliye wa kabila ya Yuda, Shina la Daudi, yeye ameshinda apate kukifungua kile kitabu, na zile muhuri zake saba.
Nikaona katikati ya kile kiti cha enzi na wale wenye uhai wanne, na katikati ya wale wazee, Mwana-Kondoo amesimama, alikuwa kana kwamba amechinjwa, mwenye pembe saba na macho saba, ambazo ni Roho saba za Mungu zilizotumwa katika dunia yote.
Akaja, akakitwaa kile kitabu katika mkono wa kuume wake yeye aliyeketi juu ya kile kiti cha enzi. Hata alipokitwaa kile kitabu, hao wenye uhai wanne na wale wazee ishirini na wanne wakaanguka mbele za Mwana-Kondoo, kila mmoja wao ana kinubi, na vitasa vya dhahabu vilivyojaa manukato, ambayo ni maombi ya watakatifu.
Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa, akawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi."
Wapenda kitonga ndo hayo mambo yanawaharibu , tafuta pesa , pata pesa , mambo ya kuroga ni ujinga na uoga ...mtaani pesa halali ipo sana tuu
Ushai kutana nao?
Mmmmh mpaka nimeogopa Yani. Kwa kweli Mungu atusadie.Utajiri wa madonda hasa kwa wale wapikaji masupu wanaohusika na mifugo au biashara yake!, (sharti moja wapo yale maji ya kuoshea kidonda lazima yamwagiwe kwenye chakula au kudekia kwenye biashara yake) Upumbavu mtupu huu, pia walaji manjiani tunakula mengi sana mungu atunusuru.
Naomba Kama Kuna mtu anaweza nisaidia ni wapi ntampata huyo mganga anisaidie jamani,0747658718Iko ambayo mkeo anakua malaya hatari na hapo ndo pesa I NAINGIA.. WALE wanaomla mkeo ndio kipato Chao kinahamia kwako.. Vijana wapenda vitonga wanaumia sana na hii style maana wao wanajua zali la mental kumla na kuhongwa vichenchi na mke wa mdosi kumbe wao ndio fursa