Utajiri wa kidonda

Utajiri wa kidonda

Ifike muda tuwe tunafikiri kwa kina kama fulani utajiri wake ni wa kutumia akili alizozaliwa nazo au ni utajiri wa kishetani. Wote hapa tuna akili timamu na tunafanya maarifa ya kila aina kupata utajiri. Kwa nini wengine watuzidi utajiri wakati akili zao ni za kawaida tu? Zipo namna za nguvu za giza kuwapa watu utajiri
 
Ifike muda tuwe tunafikiri kwa kina kama fulani utajiri wake ni wa kutumia akili alizozaliwa nazo au ni utajiri wa kishetani. Wote hapa tuna akili timamu na tunafanya maarifa ya kila aina kupata utajiri. Kwa nini wengine watuzidi utajiri wakati akili zao ni za kawaida tu? Zipo namna za nguvu za giza kuwapa watu utajiri
Ndo kama hizo sasa zina mateso makubwa
 
Unakuta jitu halijasoma na halina ujuzi wowote lina utajiri wa kutisha, linaajiri wasomi na wenye ujuzi kwa kuwalipa mshahara linaotaka. Cha kutilia mashaka utajiri wake kwenye miradi yake kunakuwa na mambo ya ushirikina na masharti fulanifulani ya giza kumbe ni utajiri wa kishetani
 
Utajiri ni haki ya waana wa Mungu, usikubali Shetani akupe masharti ya kumiliki. Ukitaka kumiliki mali, hiyo ni haki yako kutoka kwa Mungu Mwenyezi. Tumia njia za Ki-mungu na sio za kishetani.
Nilishakuja na uzi apa unaohusu aina za utajiri ambazo ni common Tanzania ukiwemo utajiri ambao mtu anapewa kidonda ambayo kadiri kinavoongezeka ndo pesa inaongezeka
Ila amini kwamba shetani awezi kukuacha utumie pesa zake bila mateso😂😂

Finally nimekutana na jamaa ambaye alichukua utajiri huo, pesa kweli anayo lakini hicho kidonda kinavonuka kudadeki asikwambie mtu.
Jamaa hapendezi yaani yupo yupo tu😂 nguo izo izo siku tatu.
Ni hovyo tu, tutafute hela wajumbe katu usifikiri kuna pesa ya rahis rahisi
Ni dhahiri unaona jamaa hafurahii ile pesa.


Sasa hapo inakua hamna raha ya pesa yaan una hela lakn hauna tofauti na maskini tena maskin ana furaha kukupita mwenye hela s bora nishike bunduki niingie benki tu

Hatarias hatarias acha aendelee kufurahia Maisha wapo wengi Mara nyingi kidonda kinakuwa mguu sehemu ya pembeni ya ugoko , na hawapendi kuhojiwa Wala maswali mingi

Inachelewa kuload

Ndo hivo ila expenses zake ni laki 5 kwenda juu per day na ni mcheza kamari wa kutupwa. Na kila day analiwa

Ushai kutana nao?

Shetani ame advance uovu, upo utajiri wa kulawitiwa badala ya kutoa mtu kafara

Wengine wanalawitiwa kama masharti ya kushamirisha utajiri

Sasa si anunue marashi kuzui harufu,ama kaka shetani haruhusu kuzui harufu

Sasa ndo nn


Ukisikia kafara za kichawi au za mizimu ndio hizo.... yaani wanakutesaaa halafu wanakupa Mali ya kukutana na baadae wanakukula nyama

Na hapo unawezakuta ana sharti la kutokulala kitandani au ndani ya nyumba yake nzuri. Na hatakiwi kujisaidia kwenye choo cha kisasa

Uchawi ni uchafu na upumbavu mkubwa sana

MHUBIRI 5:1
"Jitunze mguu wako uendapo nyumbani kwa Mungu; Maana ni heri kukaribia ili usikie, Kuliko kutoa kafara ya wapumbavu; Ambao hawajui kuwa wafanya mabaya."



UFUNUO 5:5-10
"Na mmojawapo wa wale wazee akaniambia, Usilie; tazama, Simba aliye wa kabila ya Yuda, Shina la Daudi, yeye ameshinda apate kukifungua kile kitabu, na zile muhuri zake saba.

Nikaona katikati ya kile kiti cha enzi na wale wenye uhai wanne, na katikati ya wale wazee, Mwana-Kondoo amesimama, alikuwa kana kwamba amechinjwa, mwenye pembe saba na macho saba, ambazo ni Roho saba za Mungu zilizotumwa katika dunia yote.

Akaja, akakitwaa kile kitabu katika mkono wa kuume wake yeye aliyeketi juu ya kile kiti cha enzi. Hata alipokitwaa kile kitabu, hao wenye uhai wanne na wale wazee ishirini na wanne wakaanguka mbele za Mwana-Kondoo, kila mmoja wao ana kinubi, na vitasa vya dhahabu vilivyojaa manukato, ambayo ni maombi ya watakatifu.

Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa, akawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi."

Wapenda kitonga ndo hayo mambo yanawaharibu , tafuta pesa , pata pesa , mambo ya kuroga ni ujinga na uoga ...mtaani pesa halali ipo sana tuu
 
Yupo rafiki yangu mmoja alikuwa na kidonda (Sio kikubwa sana), hicho kidonda ni Cha miaka nenda rudi hakiponagi tu, tulikuwa hatujajua shida nini! Lakini baada Kuna uvumi ulienda jaama anapoga pesa na hicho kidonda chake

Mpaka leo yupo anapeta tu na kidonda chake.
 
Ndio maana hayo mateso yanahamishiwa kwa mtu mwingine na tajiri anabaki na raha zake. Kuna jamaa alimpa mtoto mateso ya "funza" mwili mzima. Yaaani acha tu!! Yeye anapeta tu kwenye viti virefu baa.
 
Niweke sawa hapo kidogo... wengine wana vidonda ila vimefichwa.

Wanavaa vizuri tu na huwezi kugundua wala kujua kama wana vidonda vya kishetani na inasenekana hawasikiagi maumivu wala hakuna harufu... inakuwa siri ili watu wasigundue.
 
Utajiri wa madonda hasa kwa wale wapikaji masupu wanaohusika na mifugo au biashara yake!, (sharti moja wapo yale maji ya kuoshea kidonda lazima yamwagiwe kwenye chakula au kudekia kwenye biashara yake) Upumbavu mtupu huu, pia walaji manjiani tunakula mengi sana mungu atunusuru.
 
Utajiri wa madonda hasa kwa wale wapikaji masupu wanaohusika na mifugo au biashara yake!, (sharti moja wapo yale maji ya kuoshea kidonda lazima yamwagiwe kwenye chakula au kudekia kwenye biashara yake) Upumbavu mtupu huu, pia walaji manjiani tunakula mengi sana mungu atunusuru.
Mmmmh mpaka nimeogopa Yani. Kwa kweli Mungu atusadie.
 
Iko ambayo mkeo anakua malaya hatari na hapo ndo pesa I NAINGIA.. WALE wanaomla mkeo ndio kipato Chao kinahamia kwako.. Vijana wapenda vitonga wanaumia sana na hii style maana wao wanajua zali la mental kumla na kuhongwa vichenchi na mke wa mdosi kumbe wao ndio fursa
Naomba Kama Kuna mtu anaweza nisaidia ni wapi ntampata huyo mganga anisaidie jamani,0747658718
 
Back
Top Bottom