DOKEZO Utajiri wa Koplo Adronis Mushi wa Kituo cha Polisi Kabuku uchunguzwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
1. Tume ya Maadili ni Kwa ajili ya Viongozi wa Umma tu (sheria imeainisha).
2. Fanya kazi Kwa bidii, acha shobo Kwa Mali za watu.
3. Mushi akakae kijijini Kabuku halafu aone fursa azembee?
Fursa za kubambikia watu mirungi?
 
Ni sheria ya kipumbavu yenye kulenga Nini.
Bilioni moja nayo hela
7. (a) maintains a standard of living above that which is properlycommensurate with his present or past lawful ilcome: (h) owns property disproportionate to his present or past lawful I income, unless lie gives a satisfactory explanation to the court as to how he was able to maintain such a standard of living or how such property came under his ownership.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Vp andre
W chenge umewahi kuwasanua tume ya maadili wachunguze mali zake?
 
Prado na nyumba sio utajiri wewe ni mahitaji muhimu🤣🤣🤣🤣
 
Kwa ninavyojua sisi waTanzania tulivyo, utakuta wewe ni askari mwenzio ila hauko kwenye mirija, unamchomea utambi, sema kama vipi kweli achunguzwe tu
 
Acha wivu, wewe nenda kakimbie marathon 🏃. Mimi nilifikiri ni millionaire in usd. Kumbe Prado na forester. Ukitaka kuwa kama yeye mfuate jenga ukaribu atakuabia au utaona njia anazo tumia kuwa na unafuu wa maisha. Kama ingekuwa ni rushwa basi wote police wa hapo wangekuwa kama yeye na mada yako ingekuwa utajiri wa kutisha wa police wa eneo hilo.
 
Watashindwa KUtAJIRIKA WANAVYODHULUMU RAIA KWELI?
 
1. Tume ya Maadili ni Kwa ajili ya Viongozi wa Umma tu (sheria imeainisha).
2. Fanya kazi Kwa bidii, acha shobo Kwa Mali za watu.
3. Mushi akakae kijijini Kabuku halafu aone fursa azembee?
Hivi polisi siyo mtumishi wa umma?kama kuna shida,afuatiliwe.
 
Lifestlyle audit , hili likifanyika sidhani kama kuna askari polisi atachomoka !
 
Kwa utawala huu uliopo usitegemee hatua yoyote hata ya kuhamishwa tu hawa taichukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…