Utajiri wa maaskofu Tanzania: Gwajima tajiri no.1

Spacio new model milioni 20 !!!!
Duh kapigwa
 
Ndugu yangu endelea kula jasho lako unaweza kuuona ufalme achana na majangili haya yalishamsaliti mungu kwa sababu ya pesa.

mi huwa nashangaa sana...na wale watu sijui huwa hawajui wananyonywa kila siku hata hizo sh 2

zao wanazozitafuta kwa tabu
 
Utaambiwa huna upako.

Tunaambiwa hatuna upako,tunaabudu sanamu,tunasali na kumuamubu bikira Maria kwan yey n nan...maneno lukuki wakisahau mwsho wa siku matendo yako ndo yatakuponya bila kusahau iman yako
 
Mbna hyo magari y cheap 2 spacio n 9m, harrier 18 not 35m, ipsum 9m not 16m.hyo mabasi n mafuso chakavu hata 45m hayafiki so usi2danganye kma anavyo wadanganya hao waumini wke.hvi hawa manabii feki wenye tamaa z fisi wana daftari y mapato n matumizi, wezii wakubwa hao kma wangekua wa2 w mungu wangejenga mashule n hospital bt kazi yao n majimbo n kununua magari, majumba wkti waumini wao kushnei wamechoka kimaisha.eti wana msafara n mabodyguard wao chezea god wewe kma una nguvu z kutenda miujiza walinzi wanini? Pumbafu zao
 
Kweli mafala hawaaishi duniani m2 anatoka chanika ana buku 2 mpka kawe church.sadaka anatoa buku so nauli y kurudi hana kisa mchungaji anataka noti c coins, mama mchungaji n watoto ful bata kila cku.mchungaji ana madem 10, vimada 20 wote wanamtegemea yeye, kwel kwa hizo cost clazma awapige 2 z kichwa apate hela, kwel kwa style hi wengi wataumia nlikutana n jordevi mwanza eti chakula bodyguard anaenda onja jikoni kma kina sumu, pumbafu zake kma anaweza fufua misukule mbna anaogopa kufa.hya makanisa yao n zaidi y saccos mana kanisa lake.accountant yeye.treasury yeye hamna m2 anaejua mapato n matumizi full bongo movie hapo
 

taaamaaa na u
 
Tunaambiwa hatuna upako,tunaabudu sanamu,tunasali na kumuamubu bikira Maria kwan yey n nan...maneno lukuki wakisahau mwsho wa siku matendo yako ndo yatakuponya bila kusahau iman yako

Mama Theresa atuombee. Ni mfano wa kuacha yote na kumfuasa Kristu.
Naogopa kuhukumu but matendo mengine yanaleta mashaka. Mungu turehemu
 
Jamani kwa siku anaingiza 3m
Siku 30 anaingiza 90m
12 almost a billion.... Sasa kahubiri kwa muda gani hadi sasa. May be he is right.
 
Tunaambiwa hatuna upako,tunaabudu sanamu,tunasali na kumuamubu bikira Maria kwan yey n nan...maneno lukuki wakisahau mwsho wa siku matendo yako ndo yatakuponya bila kusahau iman yako

Kama wewe ni Mkristo, biblia inakataza kuvisujudia viumbe au sanamu zozote isipokuwa yeye na wala hatupaswi kumfananisha na kitu chochote. Makosa ya hao wajiitao manabii na mitume haya halalishi sanamu. Napinga uhuni wa hao wachumia tumbo lakini pia sikubaliani na kuabudu sanamu wala kumwomba marehemu (bikira Maria, japo siyo bikira maana alikwisha zaa tayari) akuombee.
 

agiza bia nakuja kulipa
 

Kikubwa hapa waanze kulipa kodi kama biashara zingine....biashara ya dini inalipa sana!
Itatuongezeq pato la taifa.
 
Vingozi wa madhehebu kama catholic wao ndo hivyo tena,wanawaona wenzao wa kilokole haoo wanapaa juu.punde tutasikia jamaa anamiliki private jet.

Anamiliki private jet correctly tena ya abiria sita na helkopta marubani wake ni wachungaji ambao wanasomea huo urubani marekani kwa sasa,

alipewa kama zawadi na wajapan

chanzo ni yeye mwenyewe kwenye semina ya Arusha aliyasema.
 
Kuna uozo mkubwa sana kwenye haya makanisa uchwara ndugu yangu we acha tu natamani niongee mengi lkn ban itanikuta hapa au uzi utafungwa ni noma sana haya mambo dunia imekuwa ya ajabu sana kwa kutaka utajiri tu na tunasahau maisha baada ya kifo.

wivu na chuki zinakutafuna.
 

povu la nini save your little energy kah!! have mercy on your keyboard!!

pamoja na povu lote hilo lakini umeandika imposture mnajiteteaga sana ooh!! wakatoliki walutheri waislamu kuyashutumu makanisa ya kiroo,

lakini nani anaeyajaza hayo makanisa kila kukicha kama si nyinyi so ikisema wewe huendi wako wenzako ulliopokea nao sakramenti jana kama elfu moja wanahamia pentecoste.
 
kuna wchungaji wengine wana dhambi nyingi sana....kuliko sisi waumini
 
Aliyeleta dini katuroga vibaya wanadamu! Utashangaa baada ya majigambo hayo, waumini wanaruka kwa furaha "Haleluyah!" lakini wao wakitoka hapo hawana uhakika na kesho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…