Utajiri wa maaskofu Tanzania: Gwajima tajiri no.1

ahsante kwa kumbukumbu hii nzuri, ila wanawatia waumini wao umasikini kwa kuwakwangua kila walichonacho....

Si ndo maana unakuta mchungaji ana mshahara mbuzi halafu anatembelea lexus ya milion 200!
 
Ukatoliki? Aisee huku nako ndiko kulikooza kama nini!

Mkuu nowadays dini za sasa si kama zile za uzao wa yesu kristo!
Kama tukifanya financial interpretation ndani ya makanisa katoliki bila kuficha, basi kuna uozo mwingi sana unaofanyika!

Usikumbatie uovu!
Wizi mtupu.

Ngoja nijibakie na ukatoliki wangu.
 
Teh teh teh teh teh! Na mimi nakuunga mkono mia fil mia!

Cc Nyenyere Nicholas mgen H1N1 wabara
 
Last edited by a moderator:
kwani mkuu we hufahamu kuwa Hao wamesamehewa kodi MAISHA YAO YOTE??

We waulize hawa hapa chini. Kila walichonacho kimesamehewa kodi na mfumo kristo!

cc mgen Userne H1N1 Nyenyere

ahsante kwa kumbukumbu hii nzuri, ila wanawatia waumini wao umasikini kwa kuwakwangua kila walichonacho....

Si ndo maana unakuta mchungaji ana mshahara mbuzi halafu anatembelea lexus ya milion 200!

Teh teh teh teh teh! Na mimi nakuunga mkono mia fil mia!

Cc Nyenyere Nicholas mgen H1N1 wabara

Angalia namna bora ya kujipatia ipato.

Last edited by a moderator:

ulitegemea watu wawe malaika?sasa kungekuwa n ahaja gani ya kupambana ili kuupata ufalme wa Mungu?Hakuna dini duniani haijawahi kumbwa na matatizo ya kimaadili ya kutosha.

Bado watu wataokolewa kwa mengi ila Grace pia itaamua huo ukombozi sana.
 
Kwani ni kihusucho dini isiyo yako hutounga mkono?Kwa akili yako unadhani kuwafanye wengine waonekane wabaya kuifanya dini ya kivita kuwa nzuri.

Ahh sasa mbona unanishambulia bila kosa?
Kwani mimi kukuita uone hoja za watu wengine imekuwa kosa?
We toa hoja mi sijasema lolote litakalofanya dini yako ionekana mbaya ni hizi mbege zako tu zinakutia wasiwasi!
Teh teh teh
 
nasubiri siku ni nikifika KWETU PAZURI! ntafurahi nikiwakuta watumishi wote wakubwa!
 
Mwenye namba yake ya simu,plz!
Ahh sasa mbona unanishambulia bila kosa?
Kwani mimi kukuita uone hoja za watu wengine imekuwa kosa?
We toa hoja mi sijasema lolote litakalofanya dini yako ionekana mbaya ni hizi mbege zako tu zinakutia wasiwasi!
Teh teh teh
 
Wizi mtupu.

Ngoja nijibakie na ukatoliki wangu.

hata huko nako sio kubaya mkuu kwa kupiga deal za utajiri.angalia maisha wanayo ishi watu walio karibu na mababa askofu,maparoko,wazee wa kanisa nk. utaona kimaisha wanatofautiana na waumini wenzao wa kawaida.hakuna kanisa linalo run dirty busness behind doors kama kanisa letu la katoliki (mim ni mkatoliki).kinacho lisaidia kanisa hili lisiyumbe ni ule mfumo wake iliyojiwekea wa kujiendesha kitaasisi zaidi badala ya mtu mmoja,na hii imesaidia sana kulinda siri za ubadhirifu au maovu yanayofanywa na vingozi wa kanisa hili.
 
Last edited by a moderator:
ulitegemea watu wawe malaika?sasa kungekuwa n ahaja gani ya kupambana ili kuupata ufalme wa Mungu?Hakuna dini duniani haijawahi kumbwa na matatizo ya kimaadili ya kutosha.

Bado watu wataokolewa kwa mengi ila Grace pia itaamua huo ukombozi sana.

Wacha kutetea wahalifu!
Hebu tueleze hapa. Ni nani ktk nyie wagalatia alinaepambana na hawa majizi ili apate huo ufalme wa mbinguni??
Haya ndio matatizo ya kuwa mwanachama wa chama cha kukopeshana na ile tabia mbaya ya kuzoea kudokoadokoa hio michango YA WANAKONDOO!

Matokeo yake unaanza kuwatetea wizi bila kujijua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…