Mkuu nadhani hapo utakuwa umewapa ukweli hawa wasio wakatoliki kina Mzito Kabwela Eiyer 2013 mgen Nyenyere Matola MOSSAD II na walokole wengine weeengi waliojaa humu!
Kumbe tabia hii ya wizi wa ile michango wanayo sana hawa eee??
Nadhani hawa wakija watakwambia kuwa Ule UPAKO UMEUKOSA!
teh teh teh teh!
Wacha kutetea wahalifu!
Hebu tueleze hapa. Ni nani ktk nyie wagalatia alinaepambana na hawa majizi ili apate huo ufalme wa mbinguni??
Haya ndio matatizo ya kuwa mwanachama wa chama cha kukopeshana na ile tabia mbaya ya kuzoea kudokoadokoa hio michango YA WANAKONDOO!
Matokeo yake unaanza kuwatetea wizi bila kujijua!
si vizuri kumnenea mabaya nabii wa bwana ikiwemo gwajima na wengineo.
Luka 18:7 Na Mungu, je! Hatawapatia haki wateule wake wanaomlilia mchana na usiku, naye ni mvumilivu kwao ? 8 Nawaambia, atawapatia haki upesi; walakini, atakapokuja Mwana wa Adamu, je! Ataiona imani duniani?
Gwajima ameahidi kuhakikisha waislamu wengi wanaritadi.
kahtaan jiandae kumpokea yesu mwenye nguvu, mfalme wa wafalme na bwana wa mabwana.
kumbuka wakristo wakweli wameshika chenye "nguvu".
Teh teh teh teh!
We unamuita mdanganyifu NABII??
Ama kweli hio imani yenu inaingia kwenye shimo baya mno!
WALE Wauza unga wa sembe woote wakishawapa misaada kidogo tu mnaanza.kuwatungia nyimbo za kuwasifu!
Wewe sio kwamba huna macho!
Lkn ni wale wenye macho LKN HAWAONI!
Mtaongozwa na mashetani mpaka mwisho!
We weka vi mstari vyako vya andiko kutetea uhalifu.
Iko siku utakuja kujuta tu.
View attachment 129109View attachment 129110View attachment 129111View attachment 129112
hivi hujui hata kule afghanistan wanauza miadarati lakini huku bongo hawaachi kuwaiga jinsi wanavyovaa vipedo.
mkuu mkuu hapana shirika kati ya mungu na shetani. penye nuru giza uondoka. atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi(1yohana 3:7).
najua kahtaan hili unalijua fika na dhamiri yako ikikushuhudia ya kuwa yesu ndiye mwenye nguvu na mamlaka lakini umenuwiwa kukaza shingo yako ili usibadilike.
hata ulaya huduma ya counseling haitolewi bure. huyu jamaa yupo kwenye profession yake ya kuwafanyia counseling walimwengu katika mambo ya kiroho zaidi, na wao ndio wanamlipa bila shuruti...kiroho safi.Sasa umeshaskia sheikh wa afghanistan ana mali kama huyo jamaa yako!
Acha kukumbatia uhalifu.
Hebu piga hesabu ya kipato cha huyo jamaa na mali alionayo. Uone kama zinakubaliana!
Nyie msio na elimu mnaweza kuuzwa kwa bei rahisi sana.
hata ulaya huduma ya counseling haitolewi bure. huyu jamaa yupo kwenye profession yake ya kuwafanyia counseling walimwengu katika mambo ya kiroho zaidi, na wao ndio wanamlipa bila shuruti...kiroho safi.
kwa taarifa yako kwa umati wote watu wenye elimu ya juu humu huwakosi.
shida iliyopo ni wivu wa pesa anazopata thats it. haishangazi hata hivyo ni kweli pia wapo hata wachungaji wengine watakuwa wanamwonea wivu kwa utajiri wake. lakini ni ngumu kwao kuwa na ushahidi wa mabaya afanyayo.Dream on mate!
Iko siku utamuona front page na vifurushi vyake!
Hapo ndipo utakapo ficha uso wako kwenye gunia.
Time is tickling!
shida iliyopo ni wivu wa pesa anazopata thats it. haishangazi hata hivyo ni kweli pia wapo hata wachungaji wengine watakuwa wanamwonea wivu kwa utajiri wake. lakini ni ngumu kwao kuwa na ushahidi wa mabaya afanyayo.
kama ni dhambi basi wanasiasa ndio watakao kuhukumiwa kwa ahadi hewa na kuzungumza uongo kwa ujanja mbele za wananchi wakiwapa matumaini feki, huku wao wakitajirika kwa jasho la wananchi na kuwaacha wananchi wakiwa choka mbaya na matumaini hewa.
na wanasiasa kama marais, wabunge, watunzi wa vitabu, wanamuziki, wanatengeneza fedha nyingi sana kwa kukusanya watu wengi na kuuza maneno kwa watu tena mengine yasiyo na mantiki wala maadili yoyote kwa jamii, na wengi wamejikuta wakiwa mamilionea kwa usanii wao, japo jamii inawaona kama wanaofaa na wakuigwa, je si bora huyu anayekusanya watu na kuwafundisha watu kuacha wizi, shirki, na kuwaasa watu kumcha mungu huku anatengeneza pesa ndefu kupitia kazi yake?
Believe me, umaskini wa nchi hii chanzo chake ni wanasiasa wasiojali maslahi ya taifa na kujali maslahi yao binafsi, na ndiyo wenye ushawishi mkubwa sana kwa jamii.
Ahh sasa mbona unanishambulia bila kosa?
Kwani mimi kukuita uone hoja za watu wengine imekuwa kosa?
We toa hoja mi sijasema lolote litakalofanya dini yako ionekana mbaya ni hizi mbege zako tu zinakutia wasiwasi!
Teh teh teh
Nani kakuambia kuwa nawatetea waovu?Unayo shida ya fikra sana hembu rudia halafu ujitendee haki hapa.Narudia hakuna dini au dhehebu halijawahi pata shida ya kuwa na watu walipotoka kimaadili toka ktk kundi la walioheshimika sana.MAra nyingi hadi waumini kushindwa amini.
Sasa hawa wachungwaji wanaofanya biashara za haramu mbona bado WANAENDELEA KUWACHUNGA WANAKONDOO??
Ni umbea tuu huu..kwa taarifa yako CCM wangetumia kodi vizuri na kuongeza ukusanyaji wa kodi ,Tanzania ingekuwa mbalia sana.
Sadaka za waumini ni nyingi sana..Catolic Long time walishashtuliwa na wenzao wa ualaya kuwa sadaka za ndani zinatosha kabisa endesha makanisa,kuliko kutegemea misaada.
HAya makanisa madogo yanategemea mabaraza yao ya wazee yapo imara kiasi gani ili mchungaji asichanganye kapu lake na la kanisa km ana tabia za utovu wa nidhamu.
Ila pia wengine wanapewa hela binafsi na waumini wenye masiafa na utajiri km zawadi ,majitambo au mitego ya rushwa.....mchungaji husika anaweza pima
Wee msukule.
Hapa tunaongelea UTAJIRI WA MAASKOFU!
Na sio MAKANISA.
Nani kawapa ruhusa hawa maaskofu kutumia michango ya watu kujinufaisha wao??
Wacha kutetea.uhalifu. au na wewe ni ktk wale wizi wa sadaka?
kwanini mimi naongelea nini?Askofu ni mchungaji tuu wewe kilaza....sadaka itaibwaje km ipo mikoni mwake?huko ni kufuja.....si kuiba.Nilishakupa majibu ,ila kwa vile unapenda sana kashifu wengine ukidhani ndipo utakuwa msafi.Kaoge wewewe acha upuuzi.
MBONA JOHN MOSMA NYOTA AKA YOHANA MSOMA RAMLI ALIKUWA NA UTAJIRI WA KUTISHA PAMOJA NA KUWA NA SURA ILIYOCHAKAA VILE...ULIJIULIZA ANAIBIA MISIKITI KIASI GANI NA MINISTRY YAKE YA UGANGA (KTK IBADA YA SHETANI) alikuwa akitendea washarika wake haki?
Wee msukule.
Hapa tunaongelea UTAJIRI WA MAASKOFU!
Na sio MAKANISA.
Nani kawapa ruhusa hawa maaskofu kutumia michango ya watu kujinufaisha wao??
Wacha kutetea.uhalifu. au na wewe ni ktk wale wizi wa sadaka?
Sasa hawa wachungwaji wanaofanya biashara za haramu mbona bado WANAENDELEA KUWACHUNGA WANAKONDOO??
hata huko nako sio kubaya mkuu kwa kupiga deal za utajiri.angalia maisha wanayo ishi watu walio karibu na mababa askofu,maparoko,wazee wa kanisa nk. utaona kimaisha wanatofautiana na waumini wenzao wa kawaida.hakuna kanisa linalo run dirty busness behind doors kama kanisa letu la katoliki (mim ni mkatoliki).kinacho lisaidia kanisa hili lisiyumbe ni ule mfumo wake iliyojiwekea wa kujiendesha kitaasisi zaidi badala ya mtu mmoja,na hii imesaidia sana kulinda siri za ubadhirifu au maovu yanayofanywa na vingozi wa kanisa hili.