TUNAENDELEA NDUGU ZANGU
Nilitumia mda mwingi kuoga kuliko kawaida, lakini Sababu ya yote hayo ilikua ni kile ambacho wengi wamezoea kuita DEEP SHOWER THOUGHTS.
Najua wengi tunajua nini maana ya shower thoughts lakini kwa wachache wasiojua ni nini. ngoja niwape mwanga kwanza maana lengo la simulizi hii ni kujuzana pia machache ambayo wengi wetu hatuyafahamu.
Neno Shower thoughts linatafsiri zilizogawanyika sehemu mbili yaani kuna tafsiri rasmi ( formal ) na kuna tafsiri isiyo rasmi ( informal ).
Tuanze na hii informal au tafsiri isiyo Rasmi inayoelezea maana ya Neno hili shower thoughts,
Apa watu wengu wanatumia neno shower thoughts kumaanisha ni zile ideas au mawazo ambayo ndani yake yamebeba fikra pana na pevu lakini kama hujafikiria mara mbili unaweza kujua ni mawazo ya kipuuzi.
Wenyewe wanadai ideas hizi mara nyingi huja wakati ule mtu ametulia bafuni anaoga. Hii ni kwa mujibu wa informal au tafsiri ile isiyo rasmi,
Mfano wa mawazo au ideas zilizotokana na shower thoughts ni:-
-If one teacher can’t teach all subjects, why is one child expected to study all subjects?
-How does a sponge hold water when it’s full of holes?
-If life is unfair to everyone, does that mean life is actually fair?
-When you’re born deaf, what language do you think in?
-If Apple made a car, would it still have windows?
Tuishie apo kwa upande huo wa informal meaning au maana ya shower thoughts isiyo Rasmi. Lakin nadhani umeweza kuona kuwa ni aina fulani ya vimaswali ambavyo mtu hujiuliza akiwa peke yake na kama hivina maana ila kwa ndani kuna ukweli.
Ebu tuangalie tafsiri rasmi ambayo ndiyo nimeidhamiria kuilezea kulingana na jinsi nilivyotumia mda mwingi wakati nikiwa bafuni kwa siku ile.
Shower thoughts ni mawazo au namna ambavyo watu hutumia muda wao wakiwa bafuni ku recall au ku memorize matukio au ata kupanga mikakati yao ya kila siku.
Je! Ni kwanini ni bafuni na sio sehemu nyingine ambayo watu wanaweza kuitumia kwa kile kinachoitwa shower thoughts.
Jibu rahisi ni kwamba tukiwa bafuni huwa tuna uwezo mkubwa wa kufikiri nje ya box.
Hizi apa ni sababu za kwanini tukiwa bafuni mawazo huenda mbali zaidi mpaka kufikia hatua ya kuwaza nje ya box au wakati mwingine kuwaza nje ya uhalisia ( beyond reality).
BAFUNI HAKUNA USUMBUFU WA AINA YOYOTE: kwa kawaida unapokua bafuni akili ina relax sana na ata wewe unakua huru kwa sababu hutegemei mtu kukuingilia kwa namna yoyote. Wala Hutegemei vitu kama simu kuita yaani unakua wewe na akili yako tu. Wengine hujikuta wanaimba nyimbo ambazo huzipenda sana yote hii ni kwakua akili inakua ime relax.
Hii ni sababu ya kwanza ya kwanini wengi wetu tukiwa bafuni tunasafiri mbali sana kimawazo na kutupelekea kuwaza mengi yakiwemo mawazo ya kawaida au ata yasiyo ya kawaida.
MAZINGIRA NA VILE VINAVYOKUZUNGUKA UKIWA BAFUNI: mara nyingi mabafu yetu ndio comfort zone zetu au maeneo ya faraja kwa maneno mengine, kama sio basi jitahidi iwe hivyo. kawaida mtu anapokua kwenye comfort zone anakua mbunifu sana kwenye mawazo.
Kwa kutumia kigezo hiki unaweza kujua kwanini (ideas) au mawazo mengi na michongo mingi huanzia bafuni. Watu wengi hutafuta solution zinazohusu changamoto zao kwakua tu bafuni ni comfort zone ambayo akili inakua free ukiamini hakuna wa kukuingilia.
Mvumbuzi bwana Yoshiro Nakamatsu na Steve jobs ni watu maarufu duniani walioweka wazi kuwa wamepata ideas nyingi zilizoendesha maisha yao wakiwa kwenye mabafu yao.
Ila tuwekane sawa apa kwenye haya mabafu, kwanza kabisa sio kila bafu ni comfort zone. Kuna yale mabafu ya wenzangu na mimi yaani unaoga lakini unaona kila kitu nje, unakuta mtu yupo bafuni lakini kiwiliwili chote kipo nje akipita muuza njegere unamwambia asubiri utoke.
Hahahah ahaaaa apo sahau shower thoughts ndugu yangu, au unakuta mtu anaoga na kuna mwingine amepanga foleni nje. Hii mara nyingi tunaiona kwenye nyumba za kupanga ambazo asubuhi kila mtu anataka awahi usafiri wa kazini hivyo uki delay kidogo watu wana mind.
Wengine unakuta yupo bafuni lakini ameacha simu ndani huku amesahau aidha kufuta texts au kumblock mchepuko apo sahau shower thoughts.
Imagine umepanga chumba majimatitu karibu na stendi unasikia kelele zote za gari za stesheni na ferry ukiwa unaoga, Chief...!!!!!! hapo hakuna shower thoughts tafuta chaka lingine la ku invent progressive ideas.
Anyway! Kama bado haujajenga nyumba akikisha unajenga vyoo standard hususani bafu, ndio maana wenzetu unakuta kwenye nyumba bafu linatumia gharama kubwa mfano mwanadada kutoka familia ya Kardashians, Kendall Jenner bathtub yake inakadiliwa kufikia thamani ya dollar za kimarekani $40,000 ambayo ni sawa na (£32.7k) utaziconvert we mwenyewe kwa pesa ya mama Samia uone binti ametumia kiasi gani kwa ajili ya bafu.
Watu wengine mfano wa Kendall Jenner ni Donald trump, Mike Tyson na Bird man wa cash money hawa wote wanajua mchango wa shower thoughts ndio maana walitumia gharama kubwa kwa ajili ya mabafu yao.
Ebwana chai ya leo imekua ndefu sana ila natumaini umeingiza kitu yaani hujatoka mtupu kabisa. ebu sasa turudi kwenye simulizi yetu sasa,
Baada ya kutumia mda mrefu bafuni nilitoka, lakini wakati nikiwa bafuni moja ya mambo ambayo niliyotafakari sana ni mustakabali mzima wa maisha yangu au kwa kiswahili rahisi naweza sema muelekeo wa maisha yangu.
Nilijiambia mwenyewe kwamba ni lazima nijue natafuta nini kwenye maisha yangu bila kuwa focused sitakua na tofauti na kichaa anae enda safari ndefu na kurudi na makopo.
Hivyo basi safari yangu hiyo inatakiwa iwe na matunda au matokeo chanya kwenye maisha Yangu na hayo matokeo chanya hayawezi kuja bila kujua kwanza mimi mwenyewe natafuta nini.
Nikiwa dressing room huku naendelea kutafakari aliingia fatemeh ambaye hakutarajia kunikuta kwenye hali ile aliyonikuta yaani I was totally naked.
" Haaaaaaa aaaaaah aaaa!!!!!aaaaaa!..." Zilikua ni kelele za fatemeh baada ya kukutana na BBC yaani (The big black cock). Na mimi nilijitoa akili nikamfuata kumuuliza shida nini huku nikiwa vile vile shaft inaning'inia hewani kama Ndege yetu Mpya ya mizigo ya Air Tanzania Boeing B767-300F.
Fatemeh alipoona bado namfuata alikimbia kuelekea sitting room huku akiwa ana hema juu juu kwani hakutaka kukaa chumbani tena japo sikujua ni nini kilimleta kwenye chumba kile.
Kuna muda nilihisi fatemeh anaweza akawa na shida hasa za kisaikolojia kwani jinsi nilivyomuona kuna wakati alikua abnormal kabisa. Sikutaka kuumiza sana akili kuhusu hilo kwani niliamini inaweza kuwa ni background yake ndio imepelekea kuwa hivyo japo bado hajanipa story yake fully.
Niliamini hivyo kwani mara zote anazotaka kujaribu kunielezea background yake hua anaishia kulia na kupitiwa na usingizi hivyo nilitarajia kuwa binti huyu anaweza kuwa na story ya kuumiza sana.
Pia nikakumbuka tena kauli ya aparecida kuhusu kulelewa kwenye kituo cha yatima kilichoitwa nursery imam Ali.
Fatemeh alikuja akasogea tena karibu na mlango wa chumba kile,
FATEMEH: get me medicine on the table in the dressing room. And Please...!!!! come dressed, I don't want to see your cock.
( Nipe dawa zangu zipo juu ya meza uko dressing room na uje umevaa sitaki kuona dudu lako.)
Ni kweli nilipoangalia mezani pale niliona kikopo kidogo cheupe kimeandikwa RITALIN na maandishi mengine madogo kwa chini Methylphenidate hydrochloride.
Sikutaka kujiuliza ni dawa ya nini ila nilijua ni dawa zake ambazo hutumia kila siku ila siku hiyo alizisahau kwakua alishahama chumba hivyo aliisahau kuama na dawa hiyo.
Hili nisimtese sana binti huyo nilitoka nimevaa boxa tena aliyonunua yeye mwenyewe, kwani tulivyokua tunaishi hapo maisha yalianza kugeuka utafikiri mimi ndio mwenye mji kumbe nimekaribishwa tu yaani watoto wa mjini wanaita STOLO WAY.
Nilipotoka kufika mlangoni nilimkuta amegeuka eti hakutaka kuniangalia, aligeukia sitting room huku amenyoosha mkono wa kulia ili nimpatie zile dawa na mkono wa kushoto ameziba macho yake Incase nikienda mbele yake asinione.
Nilichofanya palepale ni kumbeba juu juu na kuelekea nae kwenye chumba chake alichohamia siku hiyo.
( Kwa sauti ya juu sana alilalamika)
FATEMEH: stop stop stop!!! I said stop
( Acha acha nimesema acha)
Yaani kama kungekua na mtu maeneo ya karibu ambaye angeweza kutusikia au kusikia kinachoendelea angejua zile zote zilikua ni mbwembwe za penzi jipya.
Nilimfikisha na kubwaga kitandani huku nikimpa zile dawa zake, aliniangalia kwa jicho la ukali lakini ni ule ukali flani hivi wa mchongo kwani alionekana kufurahia uwepo wangu.
FATEMEH: I'd better leave you there for Javier to cut off your head
( Kumbe bora ningekuacha kule Javier akukate kichwa)
MIMI: You reminded me of something, how is Javier's case going
( Umenikumbusha kitu hivi case ya Javier inaendeleaje?)
FATEMEH: I don't know anything because it's not my responsibility
( Sijui lolote kwani sio jukumu langu tena)
Wakati anaendelea kuongea nilimsikia akisema Bismillah na kumeza dawa zile nilizompatia.
MIMI: fet... Thank you very much, I'm glad you bought me such a nice clothes.
( Shukran sana, nimefurahi umeninunulia nguo nzuri sana)
FATEMEH: I just chose them, the one who bought it is someone else.
( Mi nimechagua tu aliyetoa ela ni mwingine)
MIMI: hhhhhmmm who bought it?
( Nani aliyenunua)
Kabla fatemeh hajajibu alisimama na kukimbilia bafuni ambako alitapika sana. Nilimfuata bafuni nikamkuta amekua dhaifu sana kiasi kwamba aliishiwa nguvu lakini ata macho yake ni kama yalianza kupoteza uono vizuri.
Nilimbeba tena kwa mara ya pili lakini wakati huu nilimbeba sio kwa masiala au utani kama ilivyokua mwanzo.
Apa nilimbeba kwani alionekana kuzidiwa japo sikujua alisumbuliwa na nini, apo nilianza kuhisi kweli kuna uwezekano kwenye maisha ya fatemeh kuna changamoto nyingi.
MIMI: let me take you to the hospital
( Ngoja nikupeleke hospital)
FATEMEH: no, don't worry, the situation will be fine
( Hapana usijali Ludovic, hali itakaa sawa)
But..!!! where have you been all this while, please don't leave me alone again.
( Ulikua wapi siku zote hizo Ludovic, tafadhali naomba usiniache peke yangu tena)
Maneno ya fatemeh yalinichoma sana kwani aliongea kwa hisia huku sura yake ikijawa na machozi. Nilijikuta na mimi machozi yananitoka kwani nilijitahidi kuyazuia lakini ikashindikana nilitamani sana kujua huyu binti alikua anaishi vipi na ana changamoto zipi.
Tukiwa kitandani huku amelala kwenye miguu yangu fatemeh alipitiwa na usingizi. Sura yake ya upole akiwa usingizini ilionekana kuwa imebeba mengi sana ambayo kwa umri wake hakustahili adhabu hiyo.
Kwa kua ilikua ni usiku na hatukuandaa chakula, ilinibidi nielekee jikoni kuandaa chakula kwani ni wazi fatemeh akiamka atahitaji chakula.
Niliikumbuka kauli yake ya mchana kwamba; alishindwa kuendelea na shughuli zake kwakua alihisi kuna kitu kimepungua na hivyo alikuja kwa shahzad kunisubiri nje.
Apo niligundua nimekua tumaini jipya kwenye maisha yake au tuseme tu ndio nimekua tumaini lake pekee kwenye maisha yake kwani kwa haraka fatemeh alionekana kutokua ata na rafiki licha ya kukosa ndugu.
Toka nimefika apo hajawahi kuja yoyote kumsalimia au ata kumjulia hali kwani hakuwepo Tehran kwa muda mrefu. Na nilishangaa pia ata dereva anaemuendesha hawajuani kabisa.
Je! Fatemeh ni nani? Je kuna watu wana monitor maisha ya fatemeh, kama kweli kuna watu wana monitor maisha ya binti huyo vipi kuhusu mimi. maana yake wananiona kila ninacho fanya na binti huyu.
Kama wananiona, je! Wanafurahishwa na hiki kinachoendelea, je ni kweli fatemeh hana marafiki kabisa kwani alisoma wapi.
Haya yote yalikua ni maswali niliyokua najiuliza wakati huo nikiwa jikoni naanda msosi.
Niliendelea kujiuliza jambo lingine,
Hiki kituo cha kulelea watoto yatima kilichoitwa nursery imam Ali kipo sehemu gani? Na kwanini mlezi wa fatemeh aliuawa?
Hivi siwezi kufika kwenye kituo hicho na kupata mawili matatu yanayomuhusu fatemeh,
Apana ngoja nianze kukifatilia kituo hicho najua shahzad atakua anakijua kilipo nitajaribu kumuuliza lakini pia kumuelezea situation ya fatemeh japo yeye mwenyewe fatemeh ataki kuliweka wazi jambo hili.
Ebwana!!! sasa mangi nataka kujipa majukumu ya u spy eti nianze kuchunguza maisha ya fatemeh kuanzia kwa marafiki zake, shule aliyosoma na kituo cha kulelea watoto yatima alicholelewa.
Je! Nitafanikiwa? Vipi shahzad ataniunga mkono kwenye hili au ataniona kigeugeu kwani kilichonipeleka huko sio maisha ya fatemeh ni mzigo wa mali uliopo huko mafia rapta.
Tukae kwa kutulia wale mnaoniharakisha niende rapta Niseme tu rapta ndio destination yetu hivyo simulizi haiwezi kuisha kabla hatujafika huko.
0623329512 Whatsapp kwa uhitaji wa muendelezo,
Mzigo utaisha hapahapa
MFANO WA MABAFU MAWILI TOFAUTI BAFU LINALOSAPOTI SHOWER THOUGHTS NA LISILO SAPOTI.
Hapo chini [emoji116]