Mimi hunter ..
Nimefurahi hata Kama ni stori lakini amegusa sehem ambazo nyingine ni kweli nimeenda mwenyewe Nina mpaka ushahidi
Ametaja lindi ni kweli pale Kuna sehem moja Kuna pango nimeingia Sana Pana....hapo lindi ukivuka na boti kwenda kitunda.
Kuhusu mji huo uliopotea ni kweli na sio ulipotea Bali umefichwa kwa macho ya kawaida ni ngumu kuufikia .
Lakini inawezekana.
Kunduchi ni kweli hapo kila mwezi huwa nafika mpaka hao walinzi wameshanizoea ..
Tena hapo ndo Kuna taarifa ambazo hata waosimamie eneo Hilo wenyewe hawazijui wao wanaona Yale ni makuburi kumbeeee
Kuna sehem ipo kigamboni ...
Kama una uhakika unajiweza nitafute .