Utajiri wa Magofu ya Rapta

Utajiri wa Magofu ya Rapta

Huuzi nimesoma nikiwa mtoto..sahv nnawajukuu bado tu mugabo nihela hujamalizia unataka mpaka ufe ndoulete
 
Niko kisiwa cha mafia, nimewahi kusikia mzee mmoja akiongelea kuzama kwa kisiwa hicho cha Rapta. Treasury hunters karibuni tuzamie
 
Mimi hunter ..
Nimefurahi hata Kama ni stori lakini amegusa sehem ambazo nyingine ni kweli nimeenda mwenyewe Nina mpaka ushahidi
Ametaja lindi ni kweli pale Kuna sehem moja Kuna pango nimeingia Sana Pana....hapo lindi ukivuka na boti kwenda kitunda.
Kuhusu mji huo uliopotea ni kweli na sio ulipotea Bali umefichwa kwa macho ya kawaida ni ngumu kuufikia .
Lakini inawezekana.
Kunduchi ni kweli hapo kila mwezi huwa nafika mpaka hao walinzi wameshanizoea ..
Tena hapo ndo Kuna taarifa ambazo hata waosimamie eneo Hilo wenyewe hawazijui wao wanaona Yale ni makuburi kumbeeee
Kuna sehem ipo kigamboni ...
Kama una uhakika unajiweza nitafute .
 
Nina hamu ya kujua kaka hayo ya Kunduchi
 
Back
Top Bottom