Mugabonihela
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 306
- 1,784
- Thread starter
- #321
Ni kwanini Shahzad na wanafamilia kadhaa waliungana kuhakikisha mji huu uliozama baharini kisiwani mafia unaonekana.
Kwanza kabisa Shahzad alipata kusikia habari za mji huu na kwa namna gani mji huu ulikua na mali nyingi. Wafanya biashara wa mwanzo kabisa kufika eneo hilo maarufu kama rapta ndio walianza kupeleka habari za mji huu nje ya eneo hili la pwani.
Mfano habari za mji wa rapta zilienea sana maeneo ya Persian gulf na uajemi ya kale kiujumla, lakini pia habari hizo ziliwafikia uchina, Roma na ata ugiriki.
Hivyo wengi wa wageni kutokea maeneo hayo walifika azania wakiwa tayari waliwahi kusimuliwa kuhusu mji wa rapta.
Ndio maana tunasema wageni walikuja na taarifa za uhakika huku wenyeji wakiamini ni habari za kusadikika.
Shahzad alipata kusikia uwepo wa shehena na akiba ya dhahabu iliyotokana na uwepo wa bandari ndani ya mji huo. Kwani mji huo ndio ulikua kitovu cha exports zote za dhahabu na shaba huku mji ukisifika kwa kuwa na viongozi waliopendelea mapambo ya dhahabu.
Kwa maelezo ya Shahzad ni kwamba ndani ya mji huo kuna masanamu mengi yaliyopambwa kwa kutumia dhahabu.
Ni hivi!!! Kiasili inaaminika kuwa kwenye maji ya bahari au bahari yenyewe ina zaidi tani million 20 za dhahabu. Kinacholeta ugumu ni technology ya ku extract dhahabu hiyo.
Lakini hii ipo tofauti na mji wa rapta wenyewe una dhahabu ambayo haikua ya asili, apa nikimaanisha dhahabu hiyo ilitolewa maeneo mengine yaliyozunguka pwani ya Africa mashariki au Azania.
Hayo yalikua ni maelezo marefu kutoka kwa Shahzad kwenda kwa Schulz, Shahzad huyu yeye ndie ambae alikua ni mjukuu wa wale waliohusika kwenye kuitafuta rapta hapo awali.
Alichokua anakifanya Shahzad ni kumshirikisha Schulz ambae kwa nyakati hizo alitoka kwenye taifa lenye nguvu kisiasa na kijeshi.
Shahzad huyu aliamini kumshirikisha Schulz ingekua njia rahisi yeye kufika eneo hilo kwani kwa kipindi hicho taifa hilo la ujerumani lilionekana kushikiria baadhi ya maeneo ya kuzunguka pwani ya Africa mashariki.
Mambo yaliharibika baada ya kufa kwa mahusiano baina ya nchi hizo mbili, hali hiyo ilisababishwa na allied power kuivamia Iran na kumtoa kiongozi wa Persia ambaye alikumbatia mahusiano ya nchi hiyo na ujerumani.
Hivyo Schulz aliondoka Iran huku akiwa hajafanikiwa lolote yaani hawakufanikiwa kutoka yeye na Shahzad.
Mbaya zaidi ata hizo documents au machapisho hakufanikiwa kuyatia mikononi mwake zaidi ya kuambiwa kuwa yaliwekwa ndani ya maktaba ya taifa.
The National Library and Archives of Iran (NLAI) wengine waliita National Library of the Islamic Republic of Iran. Maktaba hii ilikuwepo mjini Tehran,
Sasa Schulz alianzia wapi harakati zake za kuitafuta rapta na alishirikiana na nani??.......
Hayo yalikua ni maelezo ya aliyopewa Javier na sharmahd walipokutana na mzee Schulz.
Schulz aliwapa maelezo hayo mabwana hawa baada ya kugundua walikua wana asili ya Iran hivyo kama wataweza kupata machapisho hayo wanaweza kwenda ukanda huo wa Africa mashariki.
Kwa mujibu wa Javier ni kwamba mwenzake ambaye ni sharmahd hakuwa interested na misheni hiyo hivyo hawakutekeleza lolote.
Usiku ule wote tuliutumia kwa kuongea mengi yaliyohusu utajiri uliopo maeneo yale ya kuzunguka Africa mashariki.
Javier alionekana kuwa anafuatilia sana taarifa zilizohusu ukanda huu kuliko ata mimi mwenyeji ambae nimezaliwa uko.
Baada ya kukucha siku ilianza kama kawaida tulitakiwa kufika maabara kwa wakati kuendelea na uzalishaji.
Nilimkuta Manuela katika muonekano ule ule wa kila siku tofauti na ule muonekano wa usiku wa jana yake.
JAVIER: hey! Have you seen your trash
( Dogo umemuona demu wako)
Baada ya kuingia maabara na kumkuta Manuela, javier alininong'oneza kuniuliza kama nimemuona demu wangu.
Javier aliamini usiku ule sikumuacha salama alidai nimepita tayari lakini kwa Wakati mwingine aliniomba tu niwe mvumilivu kwani kuna pisi kali hua zinakuja kutokea Lima.
Kikubwa alisisitiza tupige kazi mzigo upatikane kwa wakati hivyo ndio nitapata fursa ya kuwaona warembo hao.
Manuela alikua cool unaweza sema hatukuonana usiku wa jana yake. Muonekano wake wa udhaifu ulionekana wazi kabisa ata mimi niliwaza huyu ndio yule wa jana kweli?!!!!?
Yule Manuela wa jana alikua na sifa mbili, kwanza alikua strong na pili alikua romantic sana ila huyu wa asubuhi hakuwa na sifa yoyote kati ya hizo.
Na siku ya leo tulitakiwa kukamilisha mzigo kwani tulishamalizana uzalishaji wa cocaine base (Freebase and Crack Cocaine).
0623329512 WhatsApp