Utajiri wa Magofu ya Rapta

Utajiri wa Magofu ya Rapta

Ni kwanini Shahzad na wanafamilia kadhaa waliungana kuhakikisha mji huu uliozama baharini kisiwani mafia unaonekana.

Kwanza kabisa Shahzad alipata kusikia habari za mji huu na kwa namna gani mji huu ulikua na mali nyingi. Wafanya biashara wa mwanzo kabisa kufika eneo hilo maarufu kama rapta ndio walianza kupeleka habari za mji huu nje ya eneo hili la pwani.

Mfano habari za mji wa rapta zilienea sana maeneo ya Persian gulf na uajemi ya kale kiujumla, lakini pia habari hizo ziliwafikia uchina, Roma na ata ugiriki.

Hivyo wengi wa wageni kutokea maeneo hayo walifika azania wakiwa tayari waliwahi kusimuliwa kuhusu mji wa rapta.

Ndio maana tunasema wageni walikuja na taarifa za uhakika huku wenyeji wakiamini ni habari za kusadikika.

Shahzad alipata kusikia uwepo wa shehena na akiba ya dhahabu iliyotokana na uwepo wa bandari ndani ya mji huo. Kwani mji huo ndio ulikua kitovu cha exports zote za dhahabu na shaba huku mji ukisifika kwa kuwa na viongozi waliopendelea mapambo ya dhahabu.

Kwa maelezo ya Shahzad ni kwamba ndani ya mji huo kuna masanamu mengi yaliyopambwa kwa kutumia dhahabu.

Ni hivi!!! Kiasili inaaminika kuwa kwenye maji ya bahari au bahari yenyewe ina zaidi tani million 20 za dhahabu. Kinacholeta ugumu ni technology ya ku extract dhahabu hiyo.

Lakini hii ipo tofauti na mji wa rapta wenyewe una dhahabu ambayo haikua ya asili, apa nikimaanisha dhahabu hiyo ilitolewa maeneo mengine yaliyozunguka pwani ya Africa mashariki au Azania.
Hayo yalikua ni maelezo marefu kutoka kwa Shahzad kwenda kwa Schulz, Shahzad huyu yeye ndie ambae alikua ni mjukuu wa wale waliohusika kwenye kuitafuta rapta hapo awali.

Alichokua anakifanya Shahzad ni kumshirikisha Schulz ambae kwa nyakati hizo alitoka kwenye taifa lenye nguvu kisiasa na kijeshi.

Shahzad huyu aliamini kumshirikisha Schulz ingekua njia rahisi yeye kufika eneo hilo kwani kwa kipindi hicho taifa hilo la ujerumani lilionekana kushikiria baadhi ya maeneo ya kuzunguka pwani ya Africa mashariki.

Mambo yaliharibika baada ya kufa kwa mahusiano baina ya nchi hizo mbili, hali hiyo ilisababishwa na allied power kuivamia Iran na kumtoa kiongozi wa Persia ambaye alikumbatia mahusiano ya nchi hiyo na ujerumani.
Hivyo Schulz aliondoka Iran huku akiwa hajafanikiwa lolote yaani hawakufanikiwa kutoka yeye na Shahzad.

Mbaya zaidi ata hizo documents au machapisho hakufanikiwa kuyatia mikononi mwake zaidi ya kuambiwa kuwa yaliwekwa ndani ya maktaba ya taifa.

The National Library and Archives of Iran (NLAI) wengine waliita National Library of the Islamic Republic of Iran. Maktaba hii ilikuwepo mjini Tehran,

Sasa Schulz alianzia wapi harakati zake za kuitafuta rapta na alishirikiana na nani??.......

Hayo yalikua ni maelezo ya aliyopewa Javier na sharmahd walipokutana na mzee Schulz.

Schulz aliwapa maelezo hayo mabwana hawa baada ya kugundua walikua wana asili ya Iran hivyo kama wataweza kupata machapisho hayo wanaweza kwenda ukanda huo wa Africa mashariki.

Kwa mujibu wa Javier ni kwamba mwenzake ambaye ni sharmahd hakuwa interested na misheni hiyo hivyo hawakutekeleza lolote.

Usiku ule wote tuliutumia kwa kuongea mengi yaliyohusu utajiri uliopo maeneo yale ya kuzunguka Africa mashariki.

Javier alionekana kuwa anafuatilia sana taarifa zilizohusu ukanda huu kuliko ata mimi mwenyeji ambae nimezaliwa uko.

Baada ya kukucha siku ilianza kama kawaida tulitakiwa kufika maabara kwa wakati kuendelea na uzalishaji.
Nilimkuta Manuela katika muonekano ule ule wa kila siku tofauti na ule muonekano wa usiku wa jana yake.

JAVIER: hey! Have you seen your trash
( Dogo umemuona demu wako)

Baada ya kuingia maabara na kumkuta Manuela, javier alininong'oneza kuniuliza kama nimemuona demu wangu.

Javier aliamini usiku ule sikumuacha salama alidai nimepita tayari lakini kwa Wakati mwingine aliniomba tu niwe mvumilivu kwani kuna pisi kali hua zinakuja kutokea Lima.

Kikubwa alisisitiza tupige kazi mzigo upatikane kwa wakati hivyo ndio nitapata fursa ya kuwaona warembo hao.
Manuela alikua cool unaweza sema hatukuonana usiku wa jana yake. Muonekano wake wa udhaifu ulionekana wazi kabisa ata mimi niliwaza huyu ndio yule wa jana kweli?!!!!?

Yule Manuela wa jana alikua na sifa mbili, kwanza alikua strong na pili alikua romantic sana ila huyu wa asubuhi hakuwa na sifa yoyote kati ya hizo.

Na siku ya leo tulitakiwa kukamilisha mzigo kwani tulishamalizana uzalishaji wa cocaine base (Freebase and Crack Cocaine).

0623329512 WhatsApp
 
Well
 
Shughuli zilikua nyingi sana siku ile, ila kwa mikono yangu miwili nilifanikiwa kuiandaa fish scale Cocaine kwa kufuata maelekezo machache niliyopewa na Catarina.

Jambo hili liliwafurahisha sana wenzangu hususani Javier na Catarina kwani kwa wakati huo Manuela alionekana kuwa mbali kimawazo. Hivyo sikumuona akiwa miongoni mwa waliofurahia kazi ile ya mikono yangu.

Muda mwingi nilimuangalia Manuela japo haikua direct nilitumia macho ya wiziwizi ili kujihakikishia hivi ni kweli huyu ndio yule wa jana usiku.

Nakumbuka kwa kile kitendo alichonifanyia nilihisi kwanza yule Manuela wa jana usiku hakua na meno kabisa
(Jokes)

Wakati huu nilitamani kujua mambo machache mfano, Manuela amelijuaje jina langu halali na atawezaje kunitoa humo. Hivyo basi nilikua nimekaa maabara muda wote nikimlia timing nipate japo dakika 5 za kuteta nae.

Sikua na muogopa kabisa Javier, niliyekua namuhofia mda wote alikua ni Catarina ambaye nimeshaelekezwa kuwa anawivu wa mapenzi sana.

Tukiwa ndani alikuja Daniel lakini kilichonishangaza zaidi ni kwamba hata yeye hakuruhusiwa kuingia maabara. Aliishia mlangoni na kisha Catarina alimfuata na hatukujua wanaongea nini huko.

Javier alihisi nahitaji kuongea na Manuela ila alijua nilikua namuhofia Catarina hivyo na yeye alihamishia shughuli zake kando na pale tulipokua tumekaa.

Kitendo kile kilinipa fursa ya mimi kuongea na Manuela maneno mawili matatu.

MIMI: are you the one we met yesterday?
( Hivi wewe ndio yule tulikutana jana kweli?)

MANUELA: What do you want from me, speak quickly
( Unataka ni kwanini kwangu,ongea haraka)

Lile jibu sikulitarajia kabisa, ni dhahiri hakutaka maongezi na mimi na swala hili lilinifanya kuwa mpole zaidi. Hapa niligundua Manuela hakutaka mazoea kabisa wakati huo.

Ila nilimkumbusha jambo moja kwamba aliniahidi kunisaidia kutoka pale lakini hakunieleza chochote kuhusu namna ya kunitoa wala hakunipa mipango yake.
Jibu la Manuela lilikua ni moja tu, UTATOKA NA MIMI.

Pia aliendelea kusisitiza kama nataka kutoka kwa haraka sehemu hiyo basi nimsaidie kujua ni nani mwingine hukutana na Javier akiachana na Jamshid sharmahd.

Huyu Jamshid sharmahd tayari amehukumiwa kifo na mahakama kuu ya Iran kwa makosa ambayo kama baadae nitapata nafasi nitayaelezea vizuri.

Hukumu hiyo ilipita mwaka jana au mwaka huu kama sikosei lakini alitiwa nguvu miaka ile ya 2020 mwanzoni.

Kuna muda nilijiona kama nakua msaliti kwa Javier ambae hakuonyesha ubaya wowote kwangu zaidi ya lugha zake za kibaguzi kwa watu weusi.

Kwa haraka nilimjibu kuwa mpaka kufikia muda huo nimemjua sharmahd peke yake. Hivyo kama nitafanikiwa kuwa jua wengine nitamjulisha hapo baadae.

Lakini pia nilimuomba kama ameweza kujua ni namna gani wazazi wangu wanahangaika kunitafuta basi awape taarifa kwa namna yoyote kama bado nipo hai na awape moyo nitarudi.

Bila huruma Manuela alijibu hilo sio jukumu lake kikubwa nipambanie maisha yangu kwani kina mzee massawe na mke wake wamesha umaliza mwendo.

Hapo niligundua hataki story zile lakini pia bado tulikua na nafasi ya kuendelea kuongea kutokana na kutokuwepo kwa yoyote karibu yetu.

0623329512 Whatsapp
 
Hatimaye timerud kwa Manuela
JamiiForums-1374833720.jpg
 
Bora tumerudi kwa Manuela.[emoji39][emoji39]
We miss you Manuela [emoji1787][emoji1787].
Ila Manuela anaoneka ni mtu hatari sana na yupo hapo kwa kazi maalum. Atamtorosha jamaa na kwenda nae Iran [emoji1130].
Alafu nimeona Kama akiwa Iran Anaitwa Fateme.!! Si bure huyu manuela ni Jasus wa Iran
 
Shughuli zilikua nyingi sana siku ile, ila kwa mikono yangu miwili nilifanikiwa kuiandaa fish scale Cocaine kwa kufuata maelekezo machache niliyopewa na Catarina.

Jambo hili liliwafurahisha sana wenzangu hususani Javier na Catarina kwani kwa wakati huo Manuela alionekana kuwa mbali kimawazo. Hivyo sikumuona akiwa miongoni mwa waliofurahia kazi ile ya mikono yangu.

Muda mwingi nilimuangalia Manuela japo haikua direct nilitumia macho ya wiziwizi ili kujihakikishia hivi ni kweli huyu ndio yule wa jana usiku.

Nakumbuka kwa kile kitendo alichonifanyia nilihisi kwanza yule Manuela wa jana usiku hakua na meno kabisa
(Jokes)

Wakati huu nilitamani kujua mambo machache mfano, Manuela amelijuaje jina langu halali na atawezaje kunitoa humo. Hivyo basi nilikua nimekaa maabara muda wote nikimlia timing nipate japo dakika 5 za kuteta nae.

Sikua na muogopa kabisa Javier, niliyekua namuhofia mda wote alikua ni Catarina ambaye nimeshaelekezwa kuwa anawivu wa mapenzi sana.

Tukiwa ndani alikuja Daniel lakini kilichonishangaza zaidi ni kwamba hata yeye hakuruhusiwa kuingia maabara. Aliishia mlangoni na kisha Catarina alimfuata na hatukujua wanaongea nini huko.

Javier alihisi nahitaji kuongea na Manuela ila alijua nilikua namuhofia Catarina hivyo na yeye alihamishia shughuli zake kando na pale tulipokua tumekaa.

Kitendo kile kilinipa fursa ya mimi kuongea na Manuela maneno mawili matatu.

MIMI: are you the one we met yesterday?
( Hivi wewe ndio yule tulikutana jana kweli?)

MANUELA: What do you want from me, speak quickly
( Unataka ni kwanini kwangu,ongea haraka)

Lile jibu sikulitarajia kabisa, ni dhahiri hakutaka maongezi na mimi na swala hili lilinifanya kuwa mpole zaidi. Hapa niligundua Manuela hakutaka mazoea kabisa wakati huo.

Ila nilimkumbusha jambo moja kwamba aliniahidi kunisaidia kutoka pale lakini hakunieleza chochote kuhusu namna ya kunitoa wala hakunipa mipango yake.
Jibu la Manuela lilikua ni moja tu, UTATOKA NA MIMI.

Pia aliendelea kusisitiza kama nataka kutoka kwa haraka sehemu hiyo basi nimsaidie kujua ni nani mwingine hukutana na Javier akiachana na Jamshid sharmahd.

Huyu Jamshid sharmahd tayari amehukumiwa kifo na mahakama kuu ya Iran kwa makosa ambayo kama baadae nitapata nafasi nitayaelezea vizuri.

Hukumu hiyo ilipita mwaka jana au mwaka huu kama sikosei lakini alitiwa nguvu miaka ile ya 2020 mwanzoni.

Kuna muda nilijiona kama nakua msaliti kwa Javier ambae hakuonyesha ubaya wowote kwangu zaidi ya lugha zake za kibaguzi kwa watu weusi.

Kwa haraka nilimjibu kuwa mpaka kufikia muda huo nimemjua sharmahd peke yake. Hivyo kama nitafanikiwa kuwa jua wengine nitamjulisha hapo baadae.

Lakini pia nilimuomba kama ameweza kujua ni namna gani wazazi wangu wanahangaika kunitafuta basi awape taarifa kwa namna yoyote kama bado nipo hai na awape moyo nitarudi.

Bila huruma Manuela alijibu hilo sio jukumu lake kikubwa nipambanie maisha yangu kwani kina mzee massawe na mke wake wamesha umaliza mwendo.

Hapo niligundua hataki story zile lakini pia bado tulikua na nafasi ya kuendelea kuongea kutokana na kutokuwepo kwa yoyote karibu yetu.

0623329512 Whatsapp
Still

Wakati huu nilitamani kujua mambo machache mfano, Manuela amelijuaje jina langu halali na atawezaje kunitoa humo. Hivyo basi nilikua nimekaa maabara muda wote ni timing nipate japo dakika 5 za kuteta nae.

Sikua na muogopa kabisa Javier, niliyekua namuhofia mda wote alikua ni Catarina ambaye nimeshaelekezwa kuwa anawivu wa mapenzi sana.

Tukiwa ndani alikuja Daniel lakini kilichonishangaza zaidi ni kwamba hata yeye hakuruhusiwa kuingia maabara. Aliishia mlangoni na kisha Catarina alimfuata na hatukujua wanaongea nini huko.

Javier alihisi nahitaji kuongea na Manuela ila alijua nilikua namuhofia Catarina hivyo na yeye alihamishia shughuli zake kando na pale tulipokua tumekaa.

Kitendo kile kilinipa fursa ya mimi kuongea na Manuela maneno mawili matatu.

MIMI: are you the one we met yesterday?
( Hivi wewe ndio yule tulikutana jana kweli?)

MANUELA: What do you want from me, speak quickly
( Unataka ni kwanini kwangu,ongea haraka)

Lile jibu sikulitarajia kabisa, ni dhahiri hakutaka maongezi na mimi na swala hili lilinifanya kuwa mpole zaidi. Hapa niligundua Manuela hakutaka mazoea kabisa wakati huo.

Ila nilimkumbusha jambo moja kwamba aliniahidi kunisaidia kutoka pale lakini hakunieleza chochote kuhusu namna ya kunitoa wala hakunipa mipango yake.
Jibu la Manuela lilikua ni moja tu, UTATOKA NA MIMI.

Pia aliendelea kusisitiza kama nataka kutoka kwa haraka sehemu hiyo basi nimsaidie kujua ni nani mwingine hukutana na Javier akiachana na Jamshid sharmahd.

Huyu Jamshid sharmahd tayari amehukumiwa kifo na mahakama kuu ya Iran kwa makosa ambayo kama baadae nitapata nafasi nitayaelezea vizuri.

Hukumu hiyo ilipita mwaka jana au mwaka huu kama sikosei lakini alitiwa nguvu miaka ile ya 2020 mwanzoni.

Kuna muda nilijiona kama nakua msaliti kwa Javier ambae hakuonyesha ubaya wowote kwangu zaidi ya lugha zake za kibaguzi kwa watu weusi.

Kwa haraka nilimjibu kuwa mpaka kufikia muda huo nimemjua sharmahd peke yake. Hivyo kama nitafanikiwa kuwa jua wengine nitamjulisha hapo baadae.

Lakini pia nilimuomba kama ameweza kujua ni namna gani wazazi wangu wanahangaika kunitafuta basi awape taarifa kwa namna yoyote kama bado nipo hai na awape moyo nitarudi.

Bila huruma Manuela alijibu hilo sio jukumu lake kikubwa nipambanie maisha yangu kwani kina mzee massawe na mke wake wamesha umaliza mwendo.

Hapo niligundua hataki story zile lakini pia bado tulikua na nafasi ya kuendelea kuongea kutokana na kutokuwepo kwa yoyote karibu yetu.

0623329512
 
INAENDELEA
Nakumbuka kwa kile kitendo alichonifanyia nilihisi kwanza yule Manuela wa jana usiku hakua na meno kabisa
(Jokes)

Wakati huu nilitamani kujua mambo machache mfano, Manuela amelijuaje jina langu halali na atawezaje kunitoa humo. Hivyo basi nilikua nimekaa maabara muda wote nikimlia timing nipate japo dakika 5 za kuteta nae.

Sikua na muogopa kabisa Javier, niliyekua namuhofia mda wote alikua ni Catarina ambaye nimeshaelekezwa kuwa anawivu wa mapenzi sana.

Tukiwa ndani alikuja Daniel lakini kilichonishangaza zaidi ni kwamba hata yeye hakuruhusiwa kuingia maabara. Aliishia mlangoni na kisha Catarina alimfuata na hatukujua wanaongea nini huko.

Javier alihisi nahitaji kuongea na Manuela ila alijua nilikua namuhofia Catarina hivyo na yeye alihamishia shughuli zake kando na pale tulipokua tumekaa.

Kitendo kile kilinipa fursa ya mimi kuongea na Manuela maneno mawili matatu.
 
INAENDELEA
Nakumbuka kwa kile kitendo alichonifanyia nilihisi kwanza yule Manuela wa jana usiku hakua na meno kabisa
(Jokes)

Wakati huu nilitamani kujua mambo machache mfano, Manuela amelijuaje jina langu halali na atawezaje kunitoa humo. Hivyo basi nilikua nimekaa maabara muda wote nikimlia timing nipate japo dakika 5 za kuteta nae.

Sikua na muogopa kabisa Javier, niliyekua namuhofia mda wote alikua ni Catarina ambaye nimeshaelekezwa kuwa anawivu wa mapenzi sana.

Tukiwa ndani alikuja Daniel lakini kilichonishangaza zaidi ni kwamba hata yeye hakuruhusiwa kuingia maabara. Aliishia mlangoni na kisha Catarina alimfuata na hatukujua wanaongea nini huko.

Javier alihisi nahitaji kuongea na Manuela ila alijua nilikua namuhofia Catarina hivyo na yeye alihamishia shughuli zake kando na pale tulipokua tumekaa.

Kitendo kile kilinipa fursa ya mimi kuongea na Manuela maneno mawili matatu.
Chaukorofi unaleta ukorof
JamiiForums790734876.jpg
 
Back
Top Bottom