Mugabonihela
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 306
- 1,784
- Thread starter
- #581
Ni kweli chief nakubali kwa 100% kuna makosa mengi ya kiuandishi, na hii inatokana au inasababishwa na mimi kukimbizana na muda kwani kuna majukumu yangu binafsi ambayo yanakula zaidi ya 70% ya muda wangu.Mkuu Mugabonihela nafuatilia kwa umakini sana simulizi hii. Iwe ni kweli au ya kutunga, salute mno kwa simulizi nzito. Kama alivyosema member mmoja Msanii kuwa kuna suala ya kisarufi kufanyia kazi. Pia suala la kingereza kwa kiasi kidogo tu. Mfano katika episode hii mwenyeji wako kakutukana hairless chimpanzee. Umeandika hearless chimpanzee na kutafsiri masokwe wagumu kuelewa. Ukweli ni kuwa alimaanisha sokwe wasio na nywele. Tuendelee mkuu. Tuko pamoja [emoji3577]
Lakini Haya yote tutayaweka sawa wakati wa kuchapa kitabu, na moja ya sababu iliyonisukuma kuwaambia wenye uhitaji wa haraka wa changie ni kwamba nikiwa nimechukua pesa ya watu lazima nitakua committed kuandika by any means.
Kama isingekua hao baadhi waliochangia basi uzi huu ungekua very slow.
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app