Utajiri wa Magofu ya Rapta

Utajiri wa Magofu ya Rapta

Mkuu Mugabonihela nafuatilia kwa umakini sana simulizi hii. Iwe ni kweli au ya kutunga, salute mno kwa simulizi nzito. Kama alivyosema member mmoja Msanii kuwa kuna suala ya kisarufi kufanyia kazi. Pia suala la kingereza kwa kiasi kidogo tu. Mfano katika episode hii mwenyeji wako kakutukana hairless chimpanzee. Umeandika hearless chimpanzee na kutafsiri masokwe wagumu kuelewa. Ukweli ni kuwa alimaanisha sokwe wasio na nywele. Tuendelee mkuu. Tuko pamoja [emoji3577]
Ni kweli chief nakubali kwa 100% kuna makosa mengi ya kiuandishi, na hii inatokana au inasababishwa na mimi kukimbizana na muda kwani kuna majukumu yangu binafsi ambayo yanakula zaidi ya 70% ya muda wangu.

Lakini Haya yote tutayaweka sawa wakati wa kuchapa kitabu, na moja ya sababu iliyonisukuma kuwaambia wenye uhitaji wa haraka wa changie ni kwamba nikiwa nimechukua pesa ya watu lazima nitakua committed kuandika by any means.

Kama isingekua hao baadhi waliochangia basi uzi huu ungekua very slow.

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Mi nipo Sana mkuu, tuombe uzima, miongoni mwa nyuzi Kali Sana kuwahi kutokea hapa jf. Ilikuaje Hadi mwamba Javier akakamatwa na kuhukumiwa kifungo Cha maisha mwaka 2020?? Natamani kujua
Nitaelezea mbele chief ndio maana nimesema huko mbele kuna balaa zito kuanzia kwa fatemeh mwenyewe mpaka kwa bwana mmoja bado hatujamuona anaitwa Jamshid.

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
"Nitaelezea siku nyingine"
Ni mengi sana umeahidi Chief, na tungeomba urudi kutuelezea baada tu ya kumaliza hili
 
Hii picha hapa ndio ajali ambayo nilimpoteza merry ambae aliaga dunia akipatiwa matibabu hospital ya rufaa ya mkoa wa morogoro nakumbuka ilihusisha mabasi matatu.

Najitahidi kupunguza baadhi ya matukio ili tufikie kwenye lengo kuu mapema.View attachment 2603889
Imewzaje kunitoa machozi hii adithi? Daaah i will always remember you marry My Love[emoji24][emoji24]
 
Huu ni mwanzo mzuri wa kuwa mtunzi wa 'novel' na uandishi wa vitabu!

Kitabu kitakuwa kizuri sana! Kuna mambo machache ya sarufi ambayo natumaini ukiwaona wataalam wa fani husika watakusaidia kuboresha maudhui yote! [emoji122][emoji122]
 
Huu ni mwanzo mzuri wa kuwa mtunzi wa 'novel' na uandishi wa vitabu!

Kitabu kitakuwa kizuri sana! Kuna mambo machache ya sarufi ambayo natumaini ukiwaona wataalam wa fani husika watakusaidia kuboresha maudhui yote! [emoji122][emoji122]
Hili tatizo la sarufi natakiwa kulifanyia kazi mapema sana, na sio sarufi tu ata kingereza changu cha form 4 kinatakiwa kunyooshwa kidogo japo wazungu wananielewa vizuri tu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Wachaga, WATUTSI,wanyankole,wanyambo n.k wore wanajiita Waisrael!!!
Tunapoelekea ndio balaa meku, huko juu hii simulizi imeanza kawaida sana ndio maana wengi wakisoma lines mbili tatu wana comments shit wanaondoka ila wangejua kinachofuata.

Anyway tuendelee kula mtori nyama zipo chini.

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile ap
 
Amazing, mkuu basi tupia picha za hereni za Merry, alipoteza uhai wake ili uishi
 
Back
Top Bottom