Utajiri wa Magofu ya Rapta

Utajiri wa Magofu ya Rapta

Afu sio kwa chai hii kali kabisa ya tangawizi. So mkuu wewe ukiondoka mademu huwa wanakufata tu[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]
1.ulikuwa unatoka sengerema kuendelea mwanza mjini, merry akakuungia[emoji23]
2.ukaomba kwenda dar es salaam , merry nae akaunga
3.ilikuwa urudishwe bongo ila ukaomba kwenda iran na fatemeh akaridhia
4.mara unatoka iran kurudi bongo, fatemeh nae akaomba mje wote hahaha mamaee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1487][emoji1487][emoji1487]
Acha kumuonea wivu jamaa,kwanza huyo faty ni SHEMALE.[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Last time niliisoma July kama sijakosea kumbe imeendelea. Ila Nina maswali kadhaa juu ya uhusiano wako na Fatemeh;
Ilikuwaje ukaachwa roaming around with such most valuable asset in MOIS? Ni kwamba MOIS walikuwa interested na mji wa Rapta mpaka kukuacha uendelee kukaa na huyo mpersian girl? Katika ulimwengu wa kiintelijensia hii ipo wazi kuwa once a mission is completed all evidences are being eliminated.
Ilikuwaje mpaka huyo bidada na untelijensia wake wote akafunguka kwako soon tu baada ya kutoka kuonana na director mpaka mambo ambayo hukupaswa kufahamu?
Kwakujua umuhimu wake wote ndani ya MOIS iweje atake kuondoka nawe kuja Tz kwamba miaka yake yote, wewe ndio ulikuwa a unique n exceptional man she ever met? Enlighten us pls
Tunakusubiri mkuu Mugabonihela
 
Watu wa jf baadhi wanazingua sana sometyms...mtu ametoa muda wake kuleta stori mara ohhh chai haya akinyamaza ohhhh mbona humalizii story....eti mbona hupost hivi huwa mnamlipa mtu...? Kama ni chai usisome acha...na msimforce mtu maana atatakiwa kwenda chooni mwisho wa siku si nyny mnaepeleka kaeni kw kutulia
 
A young boy, aliyefukuzwa secondary aombe kwenda Iran kwa issue simple ya kuonana na Shahzad tena majasusi wa Iran ninaowajua kdg wamkubalie, aishi na jasus wao 1 room? asafiri na top spies of Iran kwa ndege yao achilia mbali magari yao? alipiwe everything in VIP mode kwa kazi ipi haswa???? Jasus smart amuelezee mambo mengi mpk ya chumbani easily? a cheap african boy easy to buy?

Halafu...all trip hasa za nje mhusika anafanya mambo kibao halipi hata mia, analipiwa tu?(at least mpk epispde niliyoishia) Asee ana bahati kuliko hata majasusi....

Tuisome kwa kuichukulia kama normal Riwaya tu like ya VIPEPEO WEUSI but haina uhalisia. Few aspects can be verified but the story has above 95% fiction side!

Watakaoamini kuwa ni ya kweli nao wana haki hiyo kikatiba!


Lakini nakupongeza Msimuliaji...punguza tu kuitetea kama eti ni story ya kweli, ipo vzr na inavutia wengi kusoma!

Pia una akili zaidi ya super computer kukalili series yooote ya matukio... u are good dude!
Kuna sehemu akasema walikutana bodaboda mwanzon kabisa
Tanzania bodaboda wameanza kuja 2009 nyuma ya hapo hakukua na bodaboda

Kama ulivyosema ina-uongo mwingi kitu ambacho watanzania tufahamu maisha sio marahisi hivyo
 
Watu wa jf baadhi wanazingua sana sometyms...mtu ametoa muda wake kuleta stori mara ohhh chai haya akinyamaza ohhhh mbona humalizii story....eti mbona hupost hivi huwa mnamlipa mtu...? Kama ni chai usisome acha...na msimforce mtu maana atatakiwa kwenda chooni mwisho wa siku si nyny mnaepeleka kaeni kw kutulia
Wewe mkewe?
 
Back
Top Bottom