Utajiri wa Millard Ayo

Utajiri wa Millard Ayo

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
1,034
Reaction score
2,624
Habari wakuu...

Tumezoea maceleb wengi wa bongo huwa hawafichi utajiri wao au mahusiano yao... Wengi wamekuwa wakifanya show off sana... Wengine hufikia hatua ya kukopa au hata kudanganya watu ilimradi aonekane ana pesa...

Sasa huyu jamaa Millard Ayo amekuwa msiri sana......Yaani mwenyewe anapiga mzigo tu utafkiri sio celeb wa Bongo....huyu jamaa msiri kupita maelezo.

Lakini pia natambua uwepo wa serikali ya wambea hapa nchini yenye wanachama kama warumi , Nifah na wengineo ambao sidhani kama huwa wanapitwa na jambo...

Sasa kuna wanaojua huyu dogo ana utajiri kiasi gani?.. Ikiwezekana picha ya Nyumba yake, gari yake na pia mahusiano yake... Ana date na nani?

Naomba kuwasilisha..
 
Utachukua hatua gani au nn kinachofuatia baada ya ww kujua utajiri alionao??? Unaonekana upo curious sana na mafanikio ambayo ameyapata bt nadhani unapaswa kuwa more curious na mbinu ambazo mtu amezitumia ili kufika alipofika na siyo kutaka kujua alichonacho... grow up!
 
Watanzania wengi wanakuwa masikini kwa kujifanya much know...Yani mtu anaongea pumba halafu anajiona anaongea point za maana...Sasa bila kujua alichonacho how can I be inspired....Inspiration zinapatikana baada ya kujua mafanikio ya mtu anayekuinspire...
 
Ana Kampuni yake iitwayo TZA, ameajiri wafanyakazi, reporters na waandishi wa habari, ana Mke aliyempata akiwa clouds Fm, yule demu alienda pale kwaajili ya kurecord tangazo ndio mchizi anasema alizimika na sauti yake so wakatafutana na ndo mpaka sasa ni wapenzi, Jamaa Ana website yake ya habari inayomuizngizia mamilioni ya pesa kupitia matangazo, pia ni partner wa Vodacom, na bila kusahau ameajiriwa cloudsFM... Hayo ni machache kati ya mengi ninayoyajua
 
Jamaa obviously ni example of a hard working person....Kuna picha moja niliiona akiwa kwenye nyumba aliyoanza kupanga na mafanikio anayoweza kuwanayo now si mchezo....
 
Jamaa obviously ni example of a hard working person....Kuna picha moja niliiona akiwa kwenye nyumba aliyoanza kupanga na mafanikio anayoweza kuwanayo now si mchezo....
yeah, Mkewe ni Marketing maneger wa kampuni flani kubwa tu, anayo nyuma Arusha, amewawezesha ndugu zake kibao, Kwenye kampuni yake ya TZA ameajiri wadogo zake kadhaa, Ni mfano wa kuigwa
 
Blogger is a person who keeps and updates a blog, na ndio moja ya kazi anayofanya Millard Ayo!
ok kumbe unauelewa mkubwa sasa kwanini umeshindwa kuelewa nilichomaanisha kulingana na mtoa mada...? nilichokuwa namaanisha milladiayo hawezi kuwa tajiri kwa kuwa yeye ni blogger na mtangazaji...labda kama kuna kazi nyingine ya siri anayoifanya ila kutegemea blogging na utangazaji kutoka si leo wala kesho....
 
The young man is busy trying to make most of it in 24 hours of the day...tunaanza kumjadili.!!!

Kama amefisadi itaingia akilini
 
Huwezi kuamini kama ndiyo yeye huyu huyu alikuwa akitembeza Mayai kwa miguu kutoka kwao Kimara hadi hapo Ubungo karibia na Maji kwa akina Mama Siku huku chini kavaa ndala tu. Ndiyo maana huwa tunasema humu kuwa TUSIDHARAURIANE kwani maisha HUBADILIKA muda na wakati wowote.

Millard Ayo mdogo wangu najua watasema mengi na wameshasema mengi juu yako ila sisi tunaokujua TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI na nina hamu sana Vijana wenzio wajifunze kutoka ulipopitia. Nakutabiria makubwa zaidi mazuri na Mwenyezi Mungu akupiganie. Achana na Waswahili " vijino pembe ".
 
Nifah na warumi mmeitwa huku kwenye uzi wakiumbea njooni mtusaidie basi
Na umbea wangu wote lakini Millard huwa nafurahishwa na kazi zake hadi nashindwa kumdukua.
Japo kuna machache nayafahamu ila kwa heshima yake ngoja niyaache chini ya kapeti.
Jamaa hana show off's za kijinga...ni vyema maisha yake tukayaacha private na kujadili kazi zake tu,
Asante.
 
Back
Top Bottom