vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,624
Habari wakuu...
Tumezoea maceleb wengi wa bongo huwa hawafichi utajiri wao au mahusiano yao... Wengi wamekuwa wakifanya show off sana... Wengine hufikia hatua ya kukopa au hata kudanganya watu ilimradi aonekane ana pesa...
Sasa huyu jamaa Millard Ayo amekuwa msiri sana......Yaani mwenyewe anapiga mzigo tu utafkiri sio celeb wa Bongo....huyu jamaa msiri kupita maelezo.
Lakini pia natambua uwepo wa serikali ya wambea hapa nchini yenye wanachama kama warumi , Nifah na wengineo ambao sidhani kama huwa wanapitwa na jambo...
Sasa kuna wanaojua huyu dogo ana utajiri kiasi gani?.. Ikiwezekana picha ya Nyumba yake, gari yake na pia mahusiano yake... Ana date na nani?
Naomba kuwasilisha..