vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,624
Utachukua hatua gani au nn kinachofuatia baada ya ww kujua utajiri alionao??? Unaonekana upo curious sana na mafanikio ambayo ameyapata bt nadhani unapaswa kuwa more curious na mbinu ambazo mtu amezitumia ili kufika alipofika na siyo kutaka kujua alichonacho... grow up!
Ana Kampuni yake iitwayo TZA, ameajiri wafanyakazi, reporters na waandishi wa habari, ana Mke aliyempata akiwa clouds Fm, yule demu alienda pale kwaajili ya kurecord tangazo ndio mchizi anasema alizimika na sauti yake so wakatafutana na ndo mpaka sasa ni wapenzi, Jamaa Ana website yake ya habari inayomuizngizia mamilioni ya pesa kupitia matangazo, pia ni partner wa Vodacom, na bila kusahau ameajiriwa cloudsFM... Hayo ni machache kati ya mengi ninayoyajua
yeah, Mkewe ni Marketing maneger wa kampuni flani kubwa tu, anayo nyuma Arusha, amewawezesha ndugu zake kibao, Kwenye kampuni yake ya TZA ameajiri wadogo zake kadhaa, Ni mfano wa kuigwaJamaa obviously ni example of a hard working person....Kuna picha moja niliiona akiwa kwenye nyumba aliyoanza kupanga na mafanikio anayoweza kuwanayo now si mchezo....
Ndugu unaelewa ulichoandika? Blogger is a person who keeps and updates a blog.MZEE MWENZANGU SITAKI KUAMINI KUWA BLOGGER INAWEZA KUMFANYA MTU AWE TAJIRI...JE ALIYEIGUNDUA HIYO BLOGGER ATAKUWAJE...? MIMI NADHANI HUYU KIJANA NI M'BANGAIZAJI KAMA WABANGAIZAJI WENGINE BADO HAJAFIKIA KWENYE UTAJIRI.
ok kumbe unauelewa mkubwa sasa kwanini umeshindwa kuelewa nilichomaanisha kulingana na mtoa mada...? nilichokuwa namaanisha milladiayo hawezi kuwa tajiri kwa kuwa yeye ni blogger na mtangazaji...labda kama kuna kazi nyingine ya siri anayoifanya ila kutegemea blogging na utangazaji kutoka si leo wala kesho....Blogger is a person who keeps and updates a blog, na ndio moja ya kazi anayofanya Millard Ayo!
Na umbea wangu wote lakini Millard huwa nafurahishwa na kazi zake hadi nashindwa kumdukua.