Utajiri wa Mo uchunguzwe

Utajiri wa Mo uchunguzwe

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Mo ni tapeli utajiri wake uchunguzwe Sana jamaa anawaliza simba

Tajiri namba moja Tanzania anakosa milion 300 kulipa bonus?

Bilioni 20 zimeishaje ? si zilingefanya uwekezaji pesa za kununua hisa si zinatakiwa kufanya uwekezaji?

Simba ni uwekezaji gani wamefanya wakati hata makao makuu tu hawana?

Mo alitoa ile bilioni 2 ya ujenzi wa uwanja iliwekwa wapi? Au zilikuwa siasa zake hewa ?

Pesa za Wanasimba za ujenzi wa uwanja zipo wapi?

Pesa za matangazo ya mo extra kwenye jezi za simba yanalipa kiasi gani?

Kwanini Mo anaongea uongo juzi kwenye mkutano mkuu wa uchaguzi wa mwenyekiti wa simba tuliambiwa simba imejiendesha kwa faida kutoka kwao ceo

Leo Mo anasema anapata hasara?

Mo anapataje hasara wakuu mimi sielewi?

Mapato na matumizi ya simba yapoje ?

Aise utajiri wa Mo uchunguzwe sio mtu mzuri huyu jamaa hana uwazi

Kama ameweza kuendesha makampuni yake bila hasara anashindwaje kuendesha simba bila hasara

Tunaongea sio kuponda Hakuna raha ya Yanga pekee bila Simba simba ikifa yanga nayo itakosa mvuto!!!

Huyu jamaa mimi binafsi sijawai kuelewa yanga itachukua ubingwa mpaka waseme ukweli bilion 20 ziliwekwa account gani!!.
 
Watz ina bidi tupunguze ujuaji wa kipumbavu ,ww unavyo mlalamikia Mo kwani yeye ni mmiliki wa Simba ya kwamba kila jukumu la Simba ndo anatakiwa kulitatua?
Mo ni mwana hisa anaye miliki Asilimia 49 ya hisa pale Simba na asilimia 51 iliyo baki inamilikiwa na wanachama wa Simba,hivyo Mo anatoa pesa kutokana na hisa anazo miliki na pia wana chama wanatakiwa kutoa pesa kutokana na hisa wanazo miliki ili kuendesha klabu,je unavyo hoji kuhusu Mo kutoa pesa vipi kuhusu wanachama wanao miliki Asilimia 51 ya hisa wao wana kazi gani.

Kama mnataka Mo awajibike kwa kila kitu ndani ya Simba basi mruhusuni ainunue moja kwa moja aimiliki iwe timu yake.
 
Mo ni tapeli utajiri wake uchunguzwe Sana jamaa anawaliza simba

Tajiri namba moja Tanzania anakosa milion 300 kulipa bonus?

Bilioni 20 zimeishaje ? si zilingefanya uwekezaji pesa za kununua hisa si zinatakiwa kufanya uwekezaji?

Simba ni uwekezaji gani wamefanya wakati hata makao makuu tu hawana?

Mo alitoa ile bilioni 2 ya ujenzi wa uwanja iliwekwa wapi? Au zilikuwa siasa zake hewa ?

Pesa za Wanasimba za ujenzi wa uwanja zipo wapi?

Pesa za matangazo ya mo extra kwenye jezi za simba yanalipa kiasi gani?

Kwanini Mo anaongea uongo juzi kwenye mkutano mkuu wa uchaguzi wa mwenyekiti wa simba tuliambiwa simba imejiendesha kwa faida kutoka kwao ceo

Leo Mo anasema anapata hasara?

Mo anapataje hasara wakuu mimi sielewi?

Mapato na matumizi ya simba yapoje ?

Aise utajiri wa Mo uchunguzwe sio mtu mzuri huyu jamaa hana uwazi

Kama ameweza kuendesha makampuni yake bila hasara anashindwaje kuendesha simba bila hasara

Tunaongea sio kuponda Hakuna raha ya Yanga pekee bila Simba simba ikifa yanga nayo itakosa mvuto!!!

Huyu jamaa mimi binafsi sijawai kuelewa yanga itachukua ubingwa mpaka waseme ukweli bilion 20 ziliwekwa account gani!!.
 
Mo ni tapeli utajiri wake uchunguzwe Sana jamaa anawaliza simba

Tajiri namba moja Tanzania anakosa milion 300 kulipa bonus?

Bilioni 20 zimeishaje ? si zilingefanya uwekezaji pesa za kununua hisa si zinatakiwa kufanya uwekezaji?

Simba ni uwekezaji gani wamefanya wakati hata makao makuu tu hawana?

Mo alitoa ile bilioni 2 ya ujenzi wa uwanja iliwekwa wapi? Au zilikuwa siasa zake hewa ?

Pesa za Wanasimba za ujenzi wa uwanja zipo wapi?

Pesa za matangazo ya mo extra kwenye jezi za simba yanalipa kiasi gani?

Kwanini Mo anaongea uongo juzi kwenye mkutano mkuu wa uchaguzi wa mwenyekiti wa simba tuliambiwa simba imejiendesha kwa faida kutoka kwao ceo

Leo Mo anasema anapata hasara?

Mo anapataje hasara wakuu mimi sielewi?

Mapato na matumizi ya simba yapoje ?

Aise utajiri wa Mo uchunguzwe sio mtu mzuri huyu jamaa hana uwazi

Kama ameweza kuendesha makampuni yake bila hasara anashindwaje kuendesha simba bila hasara

Tunaongea sio kuponda Hakuna raha ya Yanga pekee bila Simba simba ikifa yanga nayo itakosa mvuto!!!

Huyu jamaa mimi binafsi sijawai kuelewa yanga itachukua ubingwa mpaka waseme ukweli bilion 20 ziliwekwa account gani!!.
Unatokwa mapovu kwa hela za mtu mwingine! Tafuta hela zako uwalipe bonus wewe. Kwani analazimika kutumia hela zake kadiri unavyotaka wewe?
 
Hili swali linamkeraga sana babu yangu Bayumi Kilomoni.
Wengi huwa tunalaumu sana, lakini ukimuuliza umewekeza ngapi, atasema nimewekeza kushangilia tu.
Watu wanatakiwa wajue, muwekezaji anataka faida, na hayupo pale ili kuwatengenezea wengine.
Kama kuna kasoro, warejea kwenye mkataba, na si kupiga makelele majukwaani.​
 
Mo ni tapeli utajiri wake uchunguzwe Sana jamaa anawaliza simba

Tajiri namba moja Tanzania anakosa milion 300 kulipa bonus?

Bilioni 20 zimeishaje ? si zilingefanya uwekezaji pesa za kununua hisa si zinatakiwa kufanya uwekezaji?

Simba ni uwekezaji gani wamefanya wakati hata makao makuu tu hawana?

Mo alitoa ile bilioni 2 ya ujenzi wa uwanja iliwekwa wapi? Au zilikuwa siasa zake hewa ?

Pesa za Wanasimba za ujenzi wa uwanja zipo wapi?

Pesa za matangazo ya mo extra kwenye jezi za simba yanalipa kiasi gani?

Kwanini Mo anaongea uongo juzi kwenye mkutano mkuu wa uchaguzi wa mwenyekiti wa simba tuliambiwa simba imejiendesha kwa faida kutoka kwao ceo

Leo Mo anasema anapata hasara?

Mo anapataje hasara wakuu mimi sielewi?

Mapato na matumizi ya simba yapoje ?

Aise utajiri wa Mo uchunguzwe sio mtu mzuri huyu jamaa hana uwazi

Kama ameweza kuendesha makampuni yake bila hasara anashindwaje kuendesha simba bila hasara

Tunaongea sio kuponda Hakuna raha ya Yanga pekee bila Simba simba ikifa yanga nayo itakosa mvuto!!!

Huyu jamaa mimi binafsi sijawai kuelewa yanga itachukua ubingwa mpaka waseme ukweli bilion 20 ziliwekwa account gani!!.

Bonus ya kupambana
 
Kumekucha Simba 😂🤣😅
 
Huyu ndiye mafia boss wa Tanzania. Unakumbuka swala la kocha wa makipa wa simba?
 
Back
Top Bottom