technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Mo ni tapeli utajiri wake uchunguzwe Sana jamaa anawaliza simba
Tajiri namba moja Tanzania anakosa milion 300 kulipa bonus?
Bilioni 20 zimeishaje ? si zilingefanya uwekezaji pesa za kununua hisa si zinatakiwa kufanya uwekezaji?
Simba ni uwekezaji gani wamefanya wakati hata makao makuu tu hawana?
Mo alitoa ile bilioni 2 ya ujenzi wa uwanja iliwekwa wapi? Au zilikuwa siasa zake hewa ?
Pesa za Wanasimba za ujenzi wa uwanja zipo wapi?
Pesa za matangazo ya mo extra kwenye jezi za simba yanalipa kiasi gani?
Kwanini Mo anaongea uongo juzi kwenye mkutano mkuu wa uchaguzi wa mwenyekiti wa simba tuliambiwa simba imejiendesha kwa faida kutoka kwao ceo
Leo Mo anasema anapata hasara?
Mo anapataje hasara wakuu mimi sielewi?
Mapato na matumizi ya simba yapoje ?
Aise utajiri wa Mo uchunguzwe sio mtu mzuri huyu jamaa hana uwazi
Kama ameweza kuendesha makampuni yake bila hasara anashindwaje kuendesha simba bila hasara
Tunaongea sio kuponda Hakuna raha ya Yanga pekee bila Simba simba ikifa yanga nayo itakosa mvuto!!!
Huyu jamaa mimi binafsi sijawai kuelewa yanga itachukua ubingwa mpaka waseme ukweli bilion 20 ziliwekwa account gani!!.