Utajiri wa Mohammed Dewji (MO) na Kampuni ya MeTL umechangiwa na maamuzi ya Serikali ya awamu ya tatu

Na tusiwateke watu kwa misingi ya wivu. Makosa ni ya Serikali ya Tanzania. Yeye alichangamkia fursa. Saizi ndo tunapata akili baada ya mali nyingi kumilikiwa na familia moja. Kazi sana nchi hii
Wivu wa kike unasumbua sana!
 
Hawakujitwalia walinunua
 
Si ndio maana huyu mmoja tulimteka na kum black mail ili aachie, utaona siku c nyingi mali zetu zinavyorudi, akikaidi tu zile video tulizomrekodi kule mafichoni tunaziachia. Dadeki
Hizi ndo mbinu wanazitumia kwa waunga juhudi. State sponsored blackmail - shame
 
Huo ndo wivu wa kijinga, ardhi ya kulima imejaa tele, hata asilimia 20 ardhi inayofaa kwa kilimo haijatumika. Acheni wivu bhana!
 
Wabongo hata mpewe ardhi kiasi gani kama akili ya kuitumia haipo ni kazi buree.. Kuna viwanda vingapi tumeshindwa kuviendesha. Heri yao na ajira wanatoa. Huu ni wivu wa ka nn wao
 
Waambie ndugu it seems many people are not informed. Wanakuja na mihemko na wivu bila kujua historia.
 
Hawakujitwalia walinunua
Yes. Walinunua kwa bei ya kutupa. Kwa msingi huu tatizo ni la watawala wetu. Maamuzi yao ndiyo matokeo ya matendo haya. Ni uonevu kwakweli
 
Wabongo hata mpewe ardhi kiasi gani kama akili ya kuitumia haipo ni kazi buree.. Kuna viwanda vingapi tumeshindwa kuviendesha. Heri yao na ajira wanatoa. Huu ni wivu wa ka nn wao
Makosa ya wengine anaadhibiwa mwingine.
 
Tajiri huzaliwa sio hutegenezwa ......Wtznia weusi wangapi wako tayari kuacha kazi ya $60,000 kwa mwaka ni sawa na 130m za kitanzania New York USA urudi Tz hii.
Nakumbuka iyo hela ilivyokuwa ndefu na thamani zaidi ukilinganisha na sasa na wakati huo nadhani uchumi ulikuwa na nguvu sana chini ya clinton
 
MBONA MENGI WALIMBANIA KUMUUZIA HIVYO VIWANDA KWA BEI POA WAKATI NI MSWAHILI MWENZAO. WALIMBANIA HIVIHIVI KILIMANJARO HOTEL. YANI KISA MCHAGA CCM NYINYI MANYANGAU SANA. NA HII CHUKI YA KISENGE YA KIKABILA CCM WANAYO HADI LEO.

MTU NI MBANTU MWENZENU NA ABILITY ANAYO YANI MNAMBANIA MNAWAUZIA RANGI TOFAUTI.

SADDIST NA HOVYO KABISA
 
Na tusiwateke watu kwa misingi ya wivu. Makosa ni ya Serikali ya Tanzania. Yeye alichangamkia fursa. Saizi ndo tunapata akili baada ya mali nyingi kumilikiwa na familia moja. Kazi sana nchi hii
hakuna akili yoyote isipokuwa tu kuna watu awamu hii wanajifanya wana akili
 
Nimesoma thread na comments kama zote, angalau nimeambulia hili la Msingi:

UMASKINI = Ni matumizi mabaya ya Akili.

#WabejaSana
 
Una hoja ila sasa lugha uliyotumia kuwasilisha hoja yako ndio tatizo.
 
Nimesoma thread na comments kama zote, angalau nimeambulia hili la Msingi:

UMASKINI = Ni matumizi mabaya ya Akili.

#WabejaSana
🀣🀣🀣.
 
Sasa kumbe huyu kaendeleza biashara ya baba yake?
Mimi ninataka mtu anaeanzisha kitu from scratch kama Steve Jobs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…