Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama yuko poa nikimwambia MO alitekwa ananiuliza ndo nani huyo.Haya maisha acha tu. Msalimie mama😂😂
Wivu wa kike unasumbua sana!Na tusiwateke watu kwa misingi ya wivu. Makosa ni ya Serikali ya Tanzania. Yeye alichangamkia fursa. Saizi ndo tunapata akili baada ya mali nyingi kumilikiwa na familia moja. Kazi sana nchi hii
Hawakujitwalia walinunuaNa warudishe mali zote walizojitwalia kutokana na utawala wao. Saizi watu wananyang'anywa ardhi na mali zingine kutokana na uzembe na matumizi mabaya ya madaraka ya viongozi wetu. Hii siyo sawa. Wahusika wote wawajibishwe badala ya kuhangaika tu na matajiri
Hizi ndo mbinu wanazitumia kwa waunga juhudi. State sponsored blackmail - shameSi ndio maana huyu mmoja tulimteka na kum black mail ili aachie, utaona siku c nyingi mali zetu zinavyorudi, akikaidi tu zile video tulizomrekodi kule mafichoni tunaziachia. Dadeki
Huo ndo wivu wa kijinga, ardhi ya kulima imejaa tele, hata asilimia 20 ardhi inayofaa kwa kilimo haijatumika. Acheni wivu bhana!Watafutwe walipo warudishe mali za watanzania. Watanzania wengi hawana hata ardhi ya kulima, wengine wanaitumia tu kukopea mikopo na kuwakodishia wananchi. Haya yote ni mapungufu yanayotakiwa kufanyiwa kazi. Lakini mfumo wa kutatua changamoto hiz usiwe wa uonevu. Sheria na taratibu zizingatiwe.
Wabongo hata mpewe ardhi kiasi gani kama akili ya kuitumia haipo ni kazi buree.. Kuna viwanda vingapi tumeshindwa kuviendesha. Heri yao na ajira wanatoa. Huu ni wivu wa ka nn waoNa warudishe mali zote walizojitwalia kutokana na utawala wao. Saizi watu wananyang'anywa ardhi na mali zingine kutokana na uzembe na matumizi mabaya ya madaraka ya viongozi wetu. Hii siyo sawa. Wahusika wote wawajibishwe badala ya kuhangaika tu na matajiri
Waambie ndugu it seems many people are not informed. Wanakuja na mihemko na wivu bila kujua historia.undefinedusikute mkuu ni wa 2006,so hujui ilikuaje,serikali haiwezi kumiliki viwanda karne hii,nchi ilifisika,masharti ya IMF ilikuwa ni kuanzisha soko huria ili waweze kutuokoa,waliona hawawezi kutupa mkopo bila kuweka mazingira ya mkopo wao kulipika,na ili ulipike sharti ilikuwa free market economy and privatisation,wakijua kuwa watu binafsi wangemiliki viwanda wangelipa kodi na serikali ingepata mapato,undefinedmkapa was right,na viwanda viliuzwa kwa mjibu wa sheria,
Hakuna mtu mbaya Tanzania kumzidi Benjamini Mkapa, ni bora Mwinyi alikuwa akiuza wanyama tu.Wako kwenye mahekalu yao Mbezi na tunawapa heshima zote kuwa ni wastaafu
Nakumbuka iyo hela ilivyokuwa ndefu na thamani zaidi ukilinganisha na sasa na wakati huo nadhani uchumi ulikuwa na nguvu sana chini ya clintonTajiri huzaliwa sio hutegenezwa ......Wtznia weusi wangapi wako tayari kuacha kazi ya $60,000 kwa mwaka ni sawa na 130m za kitanzania New York USA urudi Tz hii.
hakuna akili yoyote isipokuwa tu kuna watu awamu hii wanajifanya wana akiliNa tusiwateke watu kwa misingi ya wivu. Makosa ni ya Serikali ya Tanzania. Yeye alichangamkia fursa. Saizi ndo tunapata akili baada ya mali nyingi kumilikiwa na familia moja. Kazi sana nchi hii
Una hoja ila sasa lugha uliyotumia kuwasilisha hoja yako ndio tatizo.MBONA MENGI WALIMBANIA KUMUUZIA HIVYO VIWANDA KWA BEI POA WAKATI NI MSWAHILI MWENZAO. WALIMBANIA HIVIHIVI KILIMANJARO HOTEL. YANI KISA MCHAGA CCM NYINYI MANYANGAU SANA. NA HII CHUKI YA KISENGE YA KIKABILA CCM WANAYO HADI LEO.
MTU NI MBANTU MWENZENU NA ABILITY ANAYO YANI MNAMBANIA MNAWAUZIA RANGI TOFAUTI.
SADDIST NA HOVYO KABISA