The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
hakuna tajiri limefanikiwa kwa pesa halali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hawa viongozi waliofanya haya maamuzi ni watanzania kweli?. Aisee uzalendo kumbe hautamkwi tu mdomoni. Haya matumbo yetu ndiyo maana ngozi nyeusi hatuendelei. Tuna mawazo ya kula tu na kufunga tai!. Hatuwazi juu ya hatma ya nchi yetu. Tunawaza miaka mitano mitano tu. Hatuwazi miaka 100 ijayo. Ndiyo maana mali za nchi zetu kila mtu anajichukulia tu. Mchina haya!, Mhindi hayaa!, mwingereza hayaa, mbongo hayaaaaaaaa!. Tumekwisha.Hii ardhi Nyerere aliilinda sana mpaka aliwafukuza Lornrho Brothers walikuwa wakilima chai kwenye milima ya Usambara na Mafinga. Lonrrho walifungua kesi London. Tumekuja kuitoa kwa bei ya maandazi
Kwani walifanya peke yao, bunge na baraza la ma waziri alikuafiki.?....muache unafiki mbona mnaendelea kuchagua chama kile kile na wahusika wote mnao kwenye cabinet ya uongozi ya sasa, mbona nyie wananchi wakeleketwa hamkuandamana au kuweka pingamizi mahakamani.....uvivu wafkra huzaa umasikini wakipato umasikini huzaa wivu na wivu huzaa uhalifu kuua au kuteka....Wakamatwe wawekwe ndani, ( sero)
Huu ni ukweli mchunguKwani walifanya peke yao, bunge na baraza la ma waziri alikuafiki.?....muache unafiki mbona mnaendelea kuchagua chama kile kile na wahusika wote mnao kwenye cabinet ya uongozi ya sasa, mbona nyie wananchi wakeleketwa hamkuandamana au kuweka pingamizi mahakamani.....uvivu wafkra huzaa umasikini wakipato umasikini huzaa wivu na wivu huzaa uhalifu kuua au kuteka....
undefinedusikute mkuu ni wa 2006,so hujui ilikuaje,serikali haiwezi kumiliki viwanda karne hii,nchi ilifisika,masharti ya IMF ilikuwa ni kuanzisha soko huria ili waweze kutuokoa,waliona hawawezi kutupa mkopo bila kuweka mazingira ya mkopo wao kulipika,na ili ulipike sharti ilikuwa free market economy and privatisation,wakijua kuwa watu binafsi wangemiliki viwanda wangelipa kodi na serikali ingepata mapato,undefinedmkapa was right,na viwanda viliuzwa kwa mjibu wa sheria,Kwahiyo haiwezekani kukamatwa?
baba yake alishakuwa tajiri...mtoto wa Fernandes(Benjamin) ameacha kazi ya $200,000..kapuku utathubutuTajiri huzaliwa sio hutegenezwa ......Wtznia weusi wangapi wako tayari kuacha kazi ya $60,000 kwa mwaka ni sawa na 130m za kitanzania New York USA urudi Tz hii.
undefinedmkataba wa umiliki wa ardhi ni miaka 99 tu,unaachia ama una apply upyaHivi hawa viongozi waliofanya haya maamuzi ni watanzania kweli?. Aisee uzalendo kumbe hautamkwi tu mdomoni. Haya matumbo yetu ndiyo maana ngozi nyeusi hatuendelei. Tuna mawazo ya kula tu na kufunga tai!. Hatuwazi juu ya hatma ya nchi yetu. Tunawaza miaka mitano mitano tu. Hatuwazi miaka 100 ijayo. Ndiyo maana mali za nchi zetu kila mtu anajichukulia tu. Mchina haya!, Mhindi hayaa!, mwingereza hayaa, mbongo hayaaaaaaaa!. Tumekwisha.
Nakuongeza wanachama wa ccm watoto wetu wakipata bora elimuKwani ye si mbongo.Nijuavo umasikini ni matumizi mabaya ya akili,wakati sisi tunawaza kufanya mazoezi kitandani wao wanawaza pesa hivo hatulingani.
Basi aliwanyonya sn ndugu zetu wenye rangi nyeusi kwenye hayo maviwanda yao, ndio c wanajulikana walivyo wakax kwa wabongo
undefinedwalinunua pia kisheria,iliundwa kamisheni ya ubinafsishaji,undefinedprograme ya IMF ilikuwa ndo hiyo ya Structual Adjustment programe,undefinedmambo ya cost sharing,free market na privatisation,kambarage hakukubaliana na masharti ya IMF akaamua kuachia ngazi kuliko kugeuka nguzo ya chumvi,pengine tungekuwa na maendeleo makubwa kama venezuelakwani yeye pekee ndiye aliyenunuaundefinedmkapa mwenyewe alinunuaundefinedbakhresa mwenyewe alinunuaundefinedwakina Dialo na watu wengine kibaoundefinedlazima tukubali tu kuwa wakweli utajiri hauji kirahisi hivyo kwa kuwa na chuki kwa waliofanikiwaundefined "hata ukipola itapotea ili yatimie maandishi"
Tena hiyo ni pesa nyingi sana mkuu, ulipwe tuu 1.5m uache kazi ndugu zako watahisi umelogwa si bureTajiri huzaliwa sio hutegenezwa ......Wtznia weusi wangapi wako tayari kuacha kazi ya $60,000 kwa mwaka ni sawa na 130m za kitanzania New York USA urudi Tz hii.
Nadhani viwanja vya makazi ndio viwe miaka 99. Mashamba yawe 33 ili iwe rahisi kuyataifisha pale ambapo yatakuwa hayaendelezwi. Hii itasaidia mashamba kuzalisha kuliko sasa yamekaa tu.undefinedmkataba wa umiliki wa ardhi ni miaka 99 tu,unaachia ama una apply upya
Hizo ni chuki binafsi. Ni makosa yetu kama nchi hivyo tutumie busara katika kurekebisha kasoro zetu na si vinginevyokwani yeye pekee ndiye aliyenunua
mkapa mwenyewe alinunua
bakhresa mwenyewe alinunua
wakina Dialo na watu wengine kibao
lazima tukubali tu kuwa wakweli utajiri hauji kirahisi hivyo kwa kuwa na chuki kwa waliofanikiwa
"hata ukipola itapotea ili yatimie maandishi"
Kwahiyo haiwezekani kukamatwa?
Ashastaafu namlea mimi hana shida kiivyo ila angemjua huyu angemfata wakumbushane😁🤣🤣🤣. Aende akaombe kibarua MeTL.