Utajiri wa nchi ni akili za Watu sio rasilimali kama madini na nyinginezo

Mbona sioni mkitolea mifano au kulinganisha na waarabu ambao nao wametajirika kwa mafuta yao badala yake inatumika mifano ya wazungu tu au waarabu si mfano sahihi ya watu wenye akili?
Waarabu wana msimamo na values, kule hawababaishwi na kiumbe yoyote. Pia wana viongozi wenye vision
 
Umeandika vizuri sana hapa, umeeleweka.

Kwamba ardhi [rasilimali] tayari ipo, kama zilivyo kule kwa walioendelea, tulichokosa sisi ni siasa safi za kuwaletea watu maendeleo badala ya kujinufaisha binafsi, na uongozi bora hapa kuna rushwa, ufisadi na kila aina ya wizi unaodumaza maendeleo yetu.

Tatizo la viongozi wetu wamezielekeza akili zao kwenye wizi, wakati wale wengine walioendelea wamezielekeza akili zao kwenye maendeleo, japo nao wana rasilimali zao wanazozitumia vizuri kuwaletea maendeleo watu wao, hivyo kwangu rasilimali ni kichocheo cha maendeleo, sio cha kupuuzwa hata kidogo.

Umuhimu wa rasilimali kwenye kuleta maendeleo mahala ni mkubwa, kwani akili anazokuwa nazo mlengwa zinatumika kutengeneza/fikiria rasilimali za kuwaletea maendeleo kitaifa, mfano Uholanzi na Land Reclamation waliyofanya.
 
Kuna mmoja humu akishupaza shingo kwa hizo kauli za utajiri wa Tz.

Ni kweli tuna madini, misitu, mbuga za wanyama, misitu n.k, lakini hivyo vitu havipo kwetu pekee.
Kuna mahali vipo tena vingine kwa wingi zaidi ya kwetu. Na kwingine kwa uchache mno huenda hawatufikii hata robo lakini ndo hao wanafanikiwa zaidi.

Ubinafsi unatumaliza.
 

Ndiyo maana waswahili wanasema bora ukose mali kuliko akili. Maendeleo ya mtu, jamii, nchi au hata bara hautegemei uwingi wa kile walicho nacho, bali akili ya kutunza na kukitumia walicho nacho.

Na ndiyo maana waswahili pia husema, penye miti hapana wajenzi. Hiyo inamaanisha kwamba ili nyumba ijengwe, inahitaji zaidi ya vifaa vya ujenzi, yaani akili na maarifa.
 

Umesema yote Kwa muhtasari. Kongole Mkuu
 
Umesema yote Kwa muhtasari. Kongole Mkuu

Watu wetu, jamii yetu, nchi zetu na bara letu halita weza kupiga hatua bayana na dhahiri za maendeleo, mpaka pale tutakapotambua thamani ya kile tulicho nacho, namna ya kukitunza na kukitumia kwa ajili ya maendeleo yetu.
 
Watu wetu, jamii yetu, nchi zetu na bara letu halita weza kupiga hatua bayana na dhahiri za maendeleo, mpaka pale tutakapotambua thamani ya kile tulicho nacho, namna ya kukituza na kukitumia kwa ajili ya maendeleo yetu.

Hatari Sana Mkuu
 
Yule baba alikuwa na likichwa kubwa kama tembo, lakini ajili ndogo kama sisimizi.
Watu wapumbavu na wajinga kama wewe mlitokana na mimba zisizotarajuwa.sijui mnafikiri kwa kutumia makalio!?.Akili za jpm baada ya miaka 10 nchi ingekuwa juu sana,sio watu majizi kama wewe.
 
Watu wapumbavu na wajinga kama wewe mlitokana na mimba zisizotarajuwa.sijui mnafikiri kwa kutumia makalio!?.Akili za jpm baada ya miaka 10 nchi ingekuwa juu sana,sio watu majizi kama wewe.
Unaelekea mama yako alikuwa malaya. Sasa unafikiri kila mtu alizaliwa kwa bahati mbaya kama wewe. Unaniita mwizi nilikuibia matako ya mamako? Shoga wewe.
 
Naunga mkono

Utajiri wa nchi ni akili za Watu sio rasilimali kama madini na nyinginezo​

 
Naunga mkono

Utajiri wa nchi ni akili za Watu sio rasilimali kama madini na nyinginezo​

Ni kweli mfano tanzania ina madini, bahari, maziwa, na kila kitu lakini watu wake hawana akili ndio maana wapo kama mazezeta
 
Ndiyo! Tanzania ni tajili wa rasilimali, mimi sibishi. Kinachokwamisha ni sera za uvunaji wa rasilimali hizo. Wapo Watanzania wenye akili za namna Bora ya kutumia rasilimali hizo ila wanakwamishwa na mamlaka.
 
Huu uzi uchapishwe, kopi zipelekwe mashuleni na vyuoni wanafunzi wausome kila asubuhi.
Hapa jF upigwe pin hapo juu, ukilog in ukutane now.

Utajiri wa akili ni bora zaidi kuliko mali.
Ndio maana wazungu baada ya kuona kwao wameishiwa malighafi waliamua kuja afriia na mabara mengine kutafuta hizo malighafi.
 
Ft

Naam mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…