Utajiri wa ndagu

Kudadekiiiii
Iko mbinu ya kuwachanganya Mashetani unaenda kwa Mashekhe unasomewa Salat al-Janazah wakimaliza wanapiga Salat al-mayyit unakuwa ushazikwa huku unadunda.
Ila hapo hata Mbwa ukipita wanakaa kimyaa
 
Hahaha hahaha
Natamani kuona sura ya mtu ambaye kuku kala punje moja!

Unaishi kwa wasiwasi tuu, huna amani!

Uvivu wa kutafuta hela utatumaliza
Haaa haaa aende tu mwenyewe asinishirikishe mie akashirikiane na ndugu zake, kuku ale punje moja namwambia achimbe kabisa na kaburi lake ili tusihangaike
 
Hahaha hahaha hahaha
Hiyo ni mbaya sana jamanii... Punje moja tuu ukitoka hapo unaanza kuhesabia siku
 
Tangawizi imezidi.
 
Nieleweshe hiyo ndo inakuaje
Iko mbinu ya kuwachanganya Mashetani unaenda kwa Mashekhe unasomewa Salat al-Janazah wakimaliza wanapiga Salat al-mayyit unakuwa ushazikwa huku unadunda.
Ila hapo hata Mbwa ukipita wanakaa kimyaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…