Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu na dalili zake ndo kama zile za mwanzoIpo ndugu yangu! Jana ndo nimetoka kitandani, ilinikanyaga vilivyo
umentenga sana ulipotolea wapYes love
Hii Ni kawaida ya wazee wa huko yaani Ni nature yao Mana Wana hela na wamesoma mno ivyo huwa wanajisikiaga Kama wengine Ni wajinga Mana hawakusoma.yule mzee alikuwaga kama na kakiburi fulani hivi ambako kalikuwa ka kijinga,
Anko Naona Kama aliolewa unadhani hapa anaweza akaishi na Bibi yako tokea mogabiri huko na huku anaongea let say kikurya tu. Watt hawatakuwa na time naye. Wameshazoeshwa kwenda Moshi unadhani hapo Kuna ndugu Tena. Hapo Ni ukoo wa mwanamke unanemeekaAnko wangu alikuwaga akoromi kwa yule mwanamke bali hasira za kugombezwa na mkewe zilikuwaga zinaishia kwa wanae au mimi kwa wakati ule nipo kwake.
Kwanza ile tumeingia ndani wakati tumefika,mabegi yakawekwa sebuleni baadae akaitwa mama alivyokuja tukamsalimia,kaka akanitambulisha,nikaulizwa naondoka lini,nikamwambia nitakaa kwa wiki 3Ilikuwaje
Kwanza ile tumeingia ndani wakati tumefika,mabegi yakawekwa sebuleni baadae akaitwa mama alivyokuja tukamsalimia,kaka akanitambulisha,nikaulizwa naondoka lini,nikamwambia nitakaa kwa wiki 3
Baada ya siku mbili baba mkubwa akapigiwa simu,huwa anaishi marekani akaanza kunilalamikia kwanini nimeenda pale bila taarifa,eti natakiwa nitoe taarifa maana hapo ni mjini.Yaan familia ya watu walioko vizuri kiuchumi lakini wanaogopa wageni maana mama alikuwa mhasibu BoT
Kaugali wanapika kadogo afu kila mtu anakula kwa muda wake,siku zingine kaka angu anagomba eti tumemwachia ugali mdogo,kuna siku mama alikuta ninakula akaniambia niwe na kataka ugali kidogo ili nimwachie na kaka maana huwa anagomba na wakati huo nimekata kaugali kenye ukubwa wa vipande viwili vya mkate
Muda wote niliokaa pale nikuoga maji ya chumvi wakati maji baridi yapo na nilikuwa nanunua kwa pesa yangu,kuna wakati huyo mama anakuwa na beki 3 nikipita naona kabisa wananisema kwa kilugha na wanacheka,huyo mama alikuwa ni mtu wa tanga
nipo humu humu sema ni mwendo wa kimya kimyaumentenga sana ulipotolea wap
Wewe kwenye hii dunia hujaishi hata robo...kuna watu wanapitia magumu..Hivi vsa vyote vmekutokea ww tu...?😄😄😃 hizi stry za kijiweni
Hii vipi tena, si ufungue uzi wako!?Kwanza ile tumeingia ndani wakati tumefika,mabegi yakawekwa sebuleni baadae akaitwa mama alivyokuja tukamsalimia,kaka akanitambulisha,nikaulizwa naondoka lini,nikamwambia nitakaa kwa wiki 3
Baada ya siku mbili baba mkubwa akapigiwa simu,huwa anaishi marekani akaanza kunilalamikia kwanini nimeenda pale bila taarifa,eti natakiwa nitoe taarifa maana hapo ni mjini.Yaan familia ya watu walioko vizuri kiuchumi lakini wanaogopa wageni maana mama alikuwa mhasibu BoT
Kaugali wanapika kadogo afu kila mtu anakula kwa muda wake,siku zingine kaka angu anagomba eti tumemwachia ugali mdogo,kuna siku mama alikuta ninakula akaniambia niwe na kataka ugali kidogo ili nimwachie na kaka maana huwa anagomba na wakati huo nimekata kaugali kenye ukubwa wa vipande viwili vya mkate
Muda wote niliokaa pale nikuoga maji ya chumvi wakati maji baridi yapo na nilikuwa nanunua kwa pesa yangu,kuna wakati huyo mama anakuwa na beki 3 nikipita naona kabisa wananisema kwa kilugha na wanacheka,huyo mama alikuwa ni mtu wa tanga
Hahaha na hv anasema alikuwa mzuri shida tu zilimfanya achakaeSema jamaa alikua mwema pia, kakuachia mkewe kwa week 2