Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Yeye aliambiwa anapelekwa Chumbe, akapelekwa alipoambiwa panaitwa chumbe, hakuhoji zipo ngapi, hakuhoji wameenda Chumbe ipi, ilikuwa si wajibu wake kuhoji hayo sababu hakua hata akijua kama kuna sehemu inaitwa Chumbe.

Inawezekana hakwenda Chumbe, inawezekana hiyo Chumbe ni code tu ambayo akina Ally Mpemba huitumia kulitambulisha eneo hilo.

Ni kama vile Mganga anavyoitwa Kiti, ina maana ungeanza kuhoji ni kiti gani, sofa cha plastic au mbao?
 
Jibu safi sana hili,
 
Hapana shaka sasa atakuwa amejua ni Chumbe ipi alipelekwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…