Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

UMUGHAKA shetani mwenyewe niko nae hapa tunasubiria muendelezo maana hata yeye anashangazwa na Matukio yako. Lakini akakana abadani HUKUWAHI KUMUAMINI SABABU IMANI YAKO KWAKE ILIKUWA NUSUNUSU.

Asema unamsemea uongo. Nimepost kwa niaba yake, ye hana bundle.

fanya kamuendelezo mkuu
 
Hata mil 2 tu huwezi mpa mtu wa namna hiyo. Jamaa ana fail sana. anaamini anasimulia watu wote wenye akili ndogo. Anatakiwa anapotunga asicheze mbali na uhalisia.....
Mara nyingi watunzi wa story hujaribu kuweka vionjo ili kuleta ladha, yaani msanii siku zote hujaribu kufanya kile ambacho hakiwezekani ili Kuleta antetion kwa Hadhira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…