big soap
Senior Member
- Feb 22, 2020
- 197
- 270
Si unajua ndugu yangu, Kuna mda akili inahitaji inachotaja.Naona unakula melody ya twente pasenti, asilimaile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unajua ndugu yangu, Kuna mda akili inahitaji inachotaja.Naona unakula melody ya twente pasenti, asilimaile.
SawA chawa tumekusikiaNdugu zangu nilichelewa kufanya booking, hivyo nitaondoka huku Mbeya Alhamis kisha jumapili ya tarehe 15 tutaendelea na simulizi yetu.
Nitashusha episode back to back.
Poa kupe endelea kuwepo.SawA chawa tumekusikia
Tena "back to back",kwa sauti ya Hajji Manara!Ndugu zangu nilichelewa kufanya booking, hivyo nitaondoka huku Mbeya Alhamis kisha jumapili ya tarehe 15 tutaendelea na simulizi yetu.
Nitashusha episode back to back.
Yule jamaa alisema atamkomesha, sijui nn kimemtokea master,,,, [emoji2]kitalembwa Lovelovie mafian Cartel mmash Restless Hustler vipi hamjamuona master huko??? Nasikia amepotea aiseee mkimuona mwambie anatafutwa kwa udi na uvumba hukuuu arostooo!!!
😳😳😳 Master ndo nani ccy?!kitalembwa Lovelovie mafian Cartel mmash Restless Hustler vipi hamjamuona master huko??? Nasikia amepotea aiseee mkimuona mwambie anatafutwa kwa udi na uvumba hukuuu arostooo!!!
Nani huyo tena?? Amuachie Master wetu aiseeehhh! Tuko arosto vibaya sanaYule jamaa alisema atamkomesha, sijui nn kimemtokea master,,,, [emoji2]
UMUGHAKA alienda kuonana na To yeye baada ya Ile ep ya mwisho.🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂! Unaniangushaaa sis lol!! Master ni UMUGHAKA sis
Yule jamaa kisu chake ni butuYule jamaa alisema atamkomesha, sijui nn kimemtokea master,,,, [emoji2]
Nmecheka xn had vimkojo vmenitoka kidogoMisukule ya Umughaka inasubiri kabeji huku ikitukanana matusi makali ,mingine inalaumu na kusonya
Kuna id moja hivi,,,, scroll huko juu walikuwa wanabishana sijui nn,,,,! Jamaa alidai anawachafua wapemba na atamkomesha !Nani huyo tena?? Amuachie Master wetu aiseeehhh! Tuko arosto vibaya sana
[emoji2][emoji1][emoji2]TenaYule jamaa kisu chake ni butu